Category: Habari

  • Jamii yahamasishwa kuchangia damu – HabariLeo

    Jamii yahamasishwa kuchangia damu – HabariLeo

    KIGOMA: Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Dk Damas Kayera ameihamasisha jamii kujenga utamaduni wa kuchangia damu mara kwa mara ili kusaidia kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo katika hospitali na vituo vya afya. Dk Kayera ameyasema hayo leo Mei 29, 2026 katika viwanja vya Shule ya Msingi Makere wilayani Kasulu wakati wa maadhimisho…

    Continue Reading

  • Wawili kortini wakidaiwa kusafirisha bangi Dar

    Wawili kortini wakidaiwa kusafirisha bangi Dar

    Dar es Salaam. Wakazi wawili wa Mburahati kwa Jongo, Abubakar Naseeb (41) na Stara Kombo (35)  wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka moja la kusafirisha gramu 640 za dawa za kulevya aina ya bangi. Washtakiwa hao wamefikishwa Mahakama hapo leo Ijumaa Mei 29, 2026 na kusomewa kesi ya jinai namba 11851/2026 na…

    Continue Reading

  • KUIMARISHWA KWA MIFUMO YA USIMAMIZI WA MAAFA TANZANIA KWATOA SOMO MAPAI MSUMBIJI – Habari Mpya

    KUIMARISHWA KWA MIFUMO YA USIMAMIZI WA MAAFA TANZANIA KWATOA SOMO MAPAI MSUMBIJI – Habari Mpya

    Na, Mwandishi wetu, Mapai – Msumbiji TANZANIA imeendelea kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha udhibiti wa maafa unaanzia ngazi ya chini ya jamii, hatua inayolenga kuongeza ufanisi katika tahadhari, maandalizi na mwitikio wa haraka pindi majanga yanapotokea. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na…

    Continue Reading

  • Waandishi wa Mwananchi wang’ara Tuzo za Ejat

    Waandishi wa Mwananchi wang’ara Tuzo za Ejat

    Dar es Salaam. Waandishi wawili wa Mwananchi ni miongoni mwa washindi waliochukua tuzo katika kinyang’anyiro cha Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (Ejat) kwa mwaka 2025. Waandishi hao ni Julius Maricha ambaye ameshinda Tuzo ya Uandishi Bora wa Afya ya Uzazi na Devotha Kihwelo ameshinda Tuzo ya Babari Bora ya Utawala Bora 2025.…

    Continue Reading

  • Wawakilishi waikalia kooni Kampuni ya Rand Water tatizo la maji Zanzibar

    Wawakilishi waikalia kooni Kampuni ya Rand Water tatizo la maji Zanzibar

    Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wameikalia kooni kampuni ya Rand Water, wakidai imeshindwa kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji visiwani humo, huku wakisisitiza kuwa bila Serikali kuweka bajeti zinazotekelezeka, tatizo hilo litaendelea kuwaumiza wananchi. Wawakilishi hao, wameeleza kuwa licha ya Serikali kuja na sera inayoruhusu ushirikiano kati ya sekta binafsi na Serikali katika…

    Continue Reading

  • MSI YAIBUA TUZO MAALUM KWA WANAHABARI WA AFYA YA UZAZI EJAT 2025 – Habari Mpya

    MSI YAIBUA TUZO MAALUM KWA WANAHABARI WA AFYA YA UZAZI EJAT 2025 – Habari Mpya

    Na.Sophia Kingimali Katika hatua ya kuhamasisha uandishi wa habari unaogusa maisha ya wananchi moja kwa moja, Shirika la MSI Tanzania limezindua rasmi Tuzo ya Uandishi wa Habari za Afya ya Uzazi ndani ya Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2025. Tuzo hiyo mpya inalenga kuongeza hamasa kwa wanahabari kuandika taarifa zenye kuelimisha…

    Continue Reading

  • 78 wakamatwa kwa uhalifu Shinyanga

    78 wakamatwa kwa uhalifu Shinyanga

    Shinyanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga, limekamata watuhumiwa 78 kwa makosa mbalimbali pamoja na silaha moja aina ya bastola ikiwa na risasi 11, iliyoripotiwa kuibiwa Mei 10, 2026 katika mtaa wa Nyakato wilayani Kahama. Silaha hiyo ilikuwa mali halali ya Richard Mhabi, huku watu wawili wakishikiliwa kuhusiana na tukio hilo na tayari wamefikishwa kwenye…

    Continue Reading

  • Kituo cha mafuta Arusha kuongeza ajira

    Kituo cha mafuta Arusha kuongeza ajira

    ARUSHA: UZINDUZI wa kituo kipya cha mafuta cha Orxy wilayani Karatu mkoani Arusha ni hatua muhimu ya kuongeza fursa za ajira, kurahisisha upatikanaji wa nishati ya mafuta kwa wasafirishaji na kuchochea shughuli za kiuchumi. Akizungumza leo Mei 29, 2026 katika hafla ya uzinduzi wa kituo hicho kitakachoendeshwa chini ya Kampuni ya Halyaz, Mkuu wa Wilaya…

    Continue Reading

  • UZINDUZI WA KITUO CHA MAFUTA CHA ORYX KARATU KURAHISISHA UPATIKANAJI MAFUTA – Habari Mpya

    UZINDUZI WA KITUO CHA MAFUTA CHA ORYX KARATU KURAHISISHA UPATIKANAJI MAFUTA – Habari Mpya

    Na Mwandishi Wetu UZINDUZI wa wa kituo kipya cha mafuta cha Orxy wilayani Karatu mkoani Arusha umeelezwa kuwa ni hatua muhimu ya kuongeza fursa za ajira, kurahisisha upatikanaji wa nishati ya mafuta kwa wasafirishaji nchini na kuchochea shughuli za kiuchumi katika eneo linalotajwa kuwa lango kuu la utalii nchini. Akizungumza leo Mei 29, 2026 katika…

    Continue Reading

  • CCM: Wazee ni hazina ya taifa, tutawalinda na kuwaheshimu

    CCM: Wazee ni hazina ya taifa, tutawalinda na kuwaheshimu

    Siha. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuwalinda na kuwaheshimu wazee kwa kutambua mchango wao mkubwa katika historia ya taifa na maendeleo ya nchi, kikieleza kuwa wazee ni hazina ya hekima inayopaswa kuthaminiwa. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa Mei 29,2026 na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi wakati akizungumza katika…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports