Category: Habari
-

Kigoma kuondoa vikwazo vya wasafirishaji saruji
KIGOMA: SERIKALI mkoani Kigoma imeahidi kutatua changamoto zisizo za kikodi zinazowakabili wafanyabiashara na wasafirishaji wa malighafi ya kutengeneza saruji (Clinker) kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupitia Bandari ya Kigoma kuelekea Rwanda. Ahadi hiyo imetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Hassan Rugwa, baada ya kupokea ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Rwanda ulioongozwa na Habib…
-

BUNGE LAPITISHA SH. BILIONI 210.2 KWA WIZARA YA ARDHI MWAKA 2026/2027 – Habari Mpya
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mei 29, 2026 limepitisha jumla ya Shilingi bilioni 210.2 kwa ajili ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kutekeleza majukumu yake katika mwaka wa fedha 2026/2027. Fedha hizo zinajumuisha Shilingi bilioni 100.2 kwa matumizi ya kawaida na Shilingi bilioni…
-

Mtendaji Simanjiro miaka 20 jela kwa ubadhirifu wa Sh3.3 milioni
Simanjiro. Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Ruvu Remit wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Godbless Mollel amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la ubadhirifu na wizi wa fedha za kijiji. Hukumu hiyo imetolewa Mei 28, 2026 na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Wilaya ya Simanjiro, Onesmo Nicodemos katika shauri la uhujumu uchumi namba 22415/2025. Mahakama hiyo…
-

MAHUNDI AWASILISHA RANDAMA, BAJETI YA MAENDELEO YA JAMII KUSOMWA JUMATATU – Habari Mpya
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi, leo tarehe 29 Mei, 2026 amewasilisha Randama ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 mbele ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni…
-

Askofu Kassala ahimiza malezi sawa kwa watoto, aonya ubaguzi
Geita. Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Flavian Kassala ametoa wito kwa wazazi na walezi nchini kutimiza wajibu wao wa malezi na usimamizi bora wa watoto bila ubaguzi. Askofu Kassala amesema kutokana na maendeleo ya kiuchumi na teknolojia, kwa sasa imeibuka jamii hatarishi ambapo baadhi ya watu hawapendi kuzaa huku wengine wakitelekeza watoto baada ya…
-
NILIVYOOKOA HOTELI YANGU BAADA YA REVIEWS MBAYA NA WATEJA KUPUNGUA KWA MIEZI KADHAA – Habari Mpya
Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilihisi kama ndoto yangu ilikuwa karibu kuanguka mbele ya macho yangu. Nilikuwa nimewekeza kila kitu nilichokuwa nacho kufungua hoteli yangu ndogo. Ilikuwa ndoto ambayo nilikuwa nimeibeba kwa miaka mingi. Mwanzoni mambo yalikuwa mazuri wateja walikuwa wanakuja, mapato yalikuwa yanaongezeka, na nilikuwa na matumaini makubwa kuhusu future ya biashara yangu.…
-

Udongo wenye afya: Msingi wa mapinduzi ya kilimo Afrika
Udongo wenye afya ni msingi wa uzalishaji bora wa chakula na ustawi wa wakulima. Hata hivyo, katika kijiji cha Mbangamao, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, simulizi ya mkulima mmoja inaakisi hali halisi inayowakabili mamilioni ya wakulima barani Afrika. Miaka kumi iliyopita, alivuna kwa wingi na kuhudumia familia pamoja na kuuza ziada. Leo, licha ya kutumia mbinu…
-
NILIVYOFANIKIWA KUPATA URAIS WA NJE BAADA YA MIAKA YA KUKATALIWA NA KARIBU KUPOTEZA MATUMAINI – Habari Mpya
Kwa miaka mingi nilikuwa na ndoto ya kuanza maisha mapya nje ya nchi. Nilikuwa naamini kupata uraia wa nje kungefungua milango mipya ya opportunities kwa maisha yangu na familia yangu. Niliona watu wengi wakibadilisha maisha yao baada ya kuhamia nje, na moyoni nilikuwa na tumaini kuwa siku moja na mimi ningefanikiwa. Lakini safari haikuwa rahisi.…
-

Takukuru yadhibiti uuzaji wa viwanja vyenye thamani ya Sh3 bilioni Arusha
Arusha. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Arusha imefanikiwa kudhibiti uuzaji wa viwanja vitatu vyenye thamani ya zaidi ya Sh3 bilioni kinyume na taratibu. Akitoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za taasisi hiyo kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2026, Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Arusha, Zawadi Ngailo amesema wamefanikiwa kudhibiti…
-

SERIKALI YASAINI MIKATABA MIWILI YA UJENZI CHINI YA MRADI WA BIG-Z – Habari Mpya
NA FAUZIA MUSSA SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imetiliana saini mikataba miwili ya ujenzi na kampuni ya Stabit Corporation Limited pamoja na Salem Construction Limited chini ya Mradi wa BIG-Z, unaolenga kuimarisha miundombinu ya mijini, usimamizi wa mazingira na huduma za kijamii Zanzibar. Mikataba hiyo inahusisha ujenzi wa Kituo cha…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













