Category: Habari

  • Sababu Tanzania kuzipiku China na Kenya nchini Uganda

    Sababu Tanzania kuzipiku China na Kenya nchini Uganda

    Tanzania imeipiku China na kuwa chanzo kikubwa zaidi cha bidhaa zinazoingizwa Uganda, jambo linaloonyesha mabadiliko makubwa katika mtiririko wa biashara za kikanda yaliyochochewa zaidi na ongezeko kubwa la uagizaji wa dhahabu na madini ya thamani. Kitabu cha Takwimu cha Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) cha mwaka 2024/25 kilichochapishwa Machi mwaka huu kinaonyesha kuwa Uganda iliagiza…

    Continue Reading

  • Sababu za Tanzania kuzipiku China na Kenya nchini Uganda

    Sababu za Tanzania kuzipiku China na Kenya nchini Uganda

    Tanzania imeipiku China na kuwa chanzo kikubwa zaidi cha bidhaa zinazoingizwa Uganda, jambo linaloonyesha mabadiliko makubwa katika mtiririko wa biashara za kikanda yaliyochochewa zaidi na ongezeko kubwa la uagizaji wa dhahabu na madini ya thamani. Kitabu cha Takwimu cha Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) cha mwaka 2024/25 kilichochapishwa Machi mwaka huu kinaonyesha kuwa Uganda iliagiza…

    Continue Reading

  • RAIS DKT. SAMIA CHINI YA CCM AMEREJESHA UTULIVU, IMANI NA MSHIKAMANO WA TAIFA – Habari Mpya

    RAIS DKT. SAMIA CHINI YA CCM AMEREJESHA UTULIVU, IMANI NA MSHIKAMANO WA TAIFA – Habari Mpya

    Baada ya matukio ya Oktoba 29 yaliyoibua mjadala mkubwa wa kisiasa na kijamii nchini, Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuonekana kuchukua hatua za busara zilizosaidia kurejesha utulivu, kuimarisha mshikamano wa kitaifa na kujenga mazingira mapya ya maridhiano.…

    Continue Reading

  • Wananchi Masasi kupata huduma za kibingwa bure kumuenzi Mkapa

    Wananchi Masasi kupata huduma za kibingwa bure kumuenzi Mkapa

    Dodoma. Madaktari bingwa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa (BMH) wameanza safari kuelekea Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu bure kwa wananchi katika kambi maalumu ya afya. Kambi hiyo imeandaliwa kuadhimisha miaka sita tangu kifo cha Rais wa Awamu ya Tatu wa Tanzania, hayati Benjamin William…

    Continue Reading

  • MAKAMU WA RAIS WASILI VIWANJA VYA KILIMANI CHATO KUAGA MWILI WA MAMA WA HAYATI DKT. MAGUFULI – Habari Mpya

    MAKAMU WA RAIS WASILI VIWANJA VYA KILIMANI CHATO KUAGA MWILI WA MAMA WA HAYATI DKT. MAGUFULI – Habari Mpya

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili katika Viwanja vya Kilimani Wilayani Chato Mkoani Geita, ambapo anaungana na waombolezaji mbalimbali kushiriki Ibada ya kumuaga na kumuombea Marehemu Bi. Suzana Ngolo Magufuli ambaye ni Mama wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

    Continue Reading

  • Benki ya Dunia yaingilia kati mlipuko wa Ebola ukitikisa Afrika

    Benki ya Dunia yaingilia kati mlipuko wa Ebola ukitikisa Afrika

    Dar es Salaam. Benki ya Dunia (WB) imetangaza hatua za haraka za kifedha na kiufundi kusaidia kudhibiti mlipuko mpya wa Ebola unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Uganda, huku tahadhari ikiongezeka kuhusu uwezekano wa kusambaa kwa ugonjwa huo katika nchi jirani za Afrika Mashariki na Kati. Katika taarifa yake iliyotolewa jana Mei…

    Continue Reading

  • Mafanikio Serengeti Boys yatinga bungeni

    Mafanikio Serengeti Boys yatinga bungeni

    DODOMA; MBUNGE wa Bunda Mjini, Amos Bulaya muda huu anawasilisha hoja bungeni kuhusu Azimio la Bunge kuipongeza timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) kutinga hatua ya fainali katika michuano ya AFCON 2026 inayoendelea Morocco na kukata tiketi ya kushiriki Mashindano ya Kombe la Dunia la vijana chini ya…

    Continue Reading

  • SALOME – Habari Mpya

    SALOME – Habari Mpya

    * Vituo vitano vya CNG vinavyohamishika kununuliwa. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amesema Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), kwa kushirikiana na sekta binafsi, inaendelea na maandalizi ya ujenzi wa vituo 10 vya CNG (Gesi Asilia Iliyobanwa) nchini katika mikoa ya Dar es Salaam vituo nane, Mtwara kituo kimoja na…

    Continue Reading

  • Wanafunzi BTI waisifu serikali ujenzi wa bweni

    Wanafunzi BTI waisifu serikali ujenzi wa bweni

    TABORA: WANAFUNZI wakike wa Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji Nyuki (BTI),Tabora ameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuwajengea bweni la kisasa la ghorofa moja ambalo limekuwa ni chachu kubwa ya kuongezeka kwa idadi yao kwenye sekta nyuki nchini. Wanafunzi, Dorotha Bahati, Mwanahawa Khalfani, Zaida Athumani pamoja na Jesca…

    Continue Reading

  • Mbunge ahoji serikali inatoa elimu bure au elimu bila ada

    Mbunge ahoji serikali inatoa elimu bure au elimu bila ada

    DODOMA;Mbunge wa Tarime Mjini, Mwita Waitara, ameuliza bungeni kama serikali inatoa elimu bure au inatoa elimu bila ada. Akijibu swali hilo Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Dk Festus Dugange kwa niaba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, amesema serikali imeendelea kutekeleza Sera ya utoaji wa ElimuMsingi bila mzazi/mlezi kuchangia ada. ”Katika kutekeleza…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports