Category: Habari
-

Sh946 milioni zanufaisha vikundi 34 Mbeya vijijini
Mbeya. Zaidi ya Sh946 milioni za mikopo ya asilimia 10 zimetolewa kwa vikundi 34 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Vijijini. Imeelezwa kuwa awali halmashauri ilipokea maombi kutoka vikundi 55, ambapo 34 ndivyo vilivyofanikiwa kunufaika na mikopo hiyo. Hundi za mikopo hiyo zimekabidhiwa leo Alhamisi Mei 28, 2026…
-
TAKUKURU ILALA YAOKOA MILIONI 57.5 KESI YA UHUJUMU UCHUMI
TAKUKURU ILALA YAOKOA MILIONI 57.5 KESI YA UHUJUMU UCHUMI
-

Matatizo ya Afrika yanaanzia hapa…
Dar es Salaam. Wanazuoni wamesema Afrika imeendelea kukumbwa na matatizo mbalimbali yanayotokana na mvutano wa siasa za kimataifa. Kauli hizo zimekuja katika kipindi ambacho Afrika inaendelea kukabiliwa na migogoro ya kisiasa, utegemezi wa kiuchumi, umaskini, maandamano ya vijana na shinikizo la mataifa makubwa duniani, unaotokana na mivutano inayoendelea katika siasa na uchumi wa dunia. Wakizungumza…
-

Wananchi Mtwara wamkataa mwekezaji, wahofia kuhatarisha shughuli za uvuvi
Mtwara. Hali ya tahadhari, hofu na maswali yasiyo na majibu ndiyo inayotawala katika vijiji vya Mnazi, Milamba na Nalingu vilivyopo Kata ya Nalingu, Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, kufuatia kuibuka kwa mwekezaji wa kigeni mwenye asili ya China anayetarajia kuanzisha shughuli za kilimo cha mwani katika eneo hilo. Kwa sasa, wananchi wa vijiji hivyo wameungana…
-

Mwananchi yateuliwa kuwania tuzo ya chombo bora cha habari
Dar es Salaam. Gazeti la Mwananchi limeteuliwa kuwania tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) katika kundi la chomb bora cha habari nchini, zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Mwananchi imetangazwa kuwania tuzo hizo na Katibu Mtendaji wa MCT, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tuzo hizo, Ernest Sungura, leo Alhamisi,…
-

USHIRIKIANO WA VIONGOZI NI SILAHA DHIDI YA RUSHWA KATIKA MIRADI YA MAENDELEO – Habari Mpya
Na Silivia Amandius Bukoba. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera imewaomba madiwani kushiriki katika mpango wa “TAKUKURU Rafiki” unaolenga kuzuia rushwa kwa njia ya mazungumzo, ushirikiano na utatuzi wa kero kabla hazijawa kubwa katika miradi ya maendeleo. Akizungumza katika semina iliyowakutanisha madiwani, watendaji na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya…
-

Wizara yaja na mkakati kuongeza uzalishaji umeme, maji
Unguja. Wizara ya Maji, Nishati na Madini imepanga kutekeleza bajeti yake ya Sh475.39 bilioni kwa kuzingatia vipaumbele vinane vikiwamo kuimarisha mtandao wa maji, uzalishaji wa umeme na kuendeleza matumizi ya nishati jadidifu. Hayo yamebainishwa leo Mei 28, 2026 na Waziri mwenye dhamana na wizara hiyo, Nadir Abdullatif wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya…
-
MHE BALOZI KHAMIS ATETA NA UJUMBE WA WATERAID UK NCHINI KONGO – Habari Mpya
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), (kulia) akiwa katika picha na Mkurugenzi Mtendaji wa WaterAid UK-Kanda ya Kusini mwa Afrika, Bw. Robert Kampala, baada ya kufanya kikao cha kujadili ushirikiano kati ya Tanzania na Taasisi hiyo katika kufadhili Sekta ya maji, pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 61 wa Benki ya Maendeleo ya…
-

Viongozi Jumuiya ya Wafanyabiashara Makambako wabebeshwa mzigo wa kodi
Njombe. Viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara waliochaguliwa kuongoza kwa kipindi cha miaka minne ijayo katika Halmashauri ya Mji wa Makambako, mkoani Njombe, wametakiwa kutatua changamoto zinazowakabili wafanyabiashara, ikiwemo suala la kodi kubwa inayodaiwa kutokidhi kiwango cha uzalishaji wao. Katika uchaguzi huo, Siphaely Msigala amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Makambako kwa kupata kura 161…
-

WATANZANIA TUBADILI MTAZAMO, TUTUNZE MAZINGIRA – WAZIRI MKUU – Habari Mpya
Ataka kila mmoja mmoja aone ni suala lake Asisitiza matumizi ya teknolojia rafiki kwa mazingira WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania wabadili mtazamo kuhusu utunzaji na uhifadhi wa mazingira na kwa kila moja kuona ni suala lake badala ya kuliona ni jambo la taasisi za usimamizi wa mazingira pekee. “Uhifadhi wa mazingira si suala…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed







