Category: Habari
-

RAIS SAMIA AONGOZA HAFLA YA KUHITIMISHA MAFUNZO YA JESHI LA POLISI, KURASINI DSM – Habari Mpya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi, tarehe 28 Mei, 2026. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…
-

JUKWAA LA TANZANIA TUWEKEZE LAZINDULIWA MWANZA,LITASAIDIA KUCHOCHEA UCHUMI – Habari Mpya
Mkurugenzi wa Kampuni ya HAIPPA akizungumza kwenye uzinduzi wa jukwaa la TanzaniaTuwekeze Na Hellen Mtereko,Mwanza Jukwaa la Tanzania Tuwekeze lililoandaliwa na Kampuni ya Umma ya Kitanzania (HAIPPA PLC) limezinduliwa rasmi mkoani Mwanza. Jukwaa hilo lenye kauli mbiu isemayo “Dira mpya – Fursa mpya; Jifunze,onyesha,uza,wekeza limezinduliwa leo Alhamis Mei 28, 2025 Tanzania tuwekeze ni jukwaa la…
-

WAKULIMA WA KAHAWA MBNGA WAOMBA WADAU KUJITOKEZA KUWEKEZA VIWANDA VYA KUCHAKATA KAHAWA – Habari Mpya
Na Mwandishi Maalum,Mbinga BAADHI ya wakulima wa zao la kahawa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma,wamewaomba wawekezaji na wadau kujitokeza kufunga mitambo ya kisasa ya kuchakata zao hilo ili kuhamasisha jamiii unywaji wa kahawa wanayolima na kuongeza thamani ya soko la kahawa. Mkulima wa zao la kahawa Ami Kayuza amesema,kukosekana kwa mitambo ya kisasa ya kuchakata…
-

CCM MANYARA YAMPONGEZA REGINA NDEGE KWA UTEUZI – Habari Mpya
Na John Walter -Dodoma Sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara leo Mei 27, 2026 imemtembelea nyumbani kwake Jijini Dodoma Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Manyara ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora, Regina Ndege Qwaray, kwa lengo la kumpongeza kufuatia uteuzi wake uliofanywa na…
-

Mahakama yatupilia mbali madai ya Kibo Poultry ya fidia ya Sh528 milioni
Arusha. Mahakama Kuu Masjala Kanda ya Arusha imeitupilia mbali kesi ya Kampuni ya Kibo Poultry Unit Limited iliyokuwa ikiidai Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) zaidi ya Sh528.7 milioni kama fidia ya ardhi iliyopo Kijiji cha Samaria wilayani Arumeru, mkoani Arusha. Kesi hiyo ya ardhi ilifunguliwa na kampuni hiyo ikidai kuwa ililipwa fidia isiyo…
-

WIZARA YA FEDHA YASISITIZA MAADILI, UBUNIFU NA UADILIFU KATIKA UTUMISHI WA UMMA – Habari Mpya
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Laurent Luswetula (Mb), akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), wakati akifungua rasmi Mkutano wa 39 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha kwa mwaka 2025/26 uliofanyika katika Ukumbi wa Kambarage (Treasury Square) jijini Dodoma.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha anayeshughulikia huduma za…
-

Kesi ya mgogoro wa rasilimali Chadema ilivyoanza hadi kutupwa
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshinda kesi ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali usio sawa kati ya Tanzania Bara na Zanzibar inayokikabili. Chama hicho kimeshinda kesi hiyo baada ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kuitupilia mbali kabla ya kuisikiliza madai ya msingi kufuatia pingamizi la awali ambalo kililiibua kuhusiana…
-

Mauaji mwekezaji wa China Chalamila amuomba radhi Rais Samia
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amemuomba radhi Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kuuawa kwa raia wa China ambaye alikuwa mwekezaji na mmiliki wa kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki cha XIL LI, Bhaozang Ge (50). Mmiliki huyo raia wa China aliuawa na watu wanaodaiwa ni walinzi binafsi wa…
-
BODI YA MAZIWA YAENDELEZA HAMASA YA UNYWAJI WA MAZIWA NCHINI, YAWAFIKIA WATOTO, WAFUGAJI NA WADAU WA SEKTA – Habari Mpya
MSAJILI wa Bodi ya Maziwa Tanzania Profesa George Msalya, ameendelea kutoa elimu kwa wananchi na wanafunzi kuhusu umuhimu wa kuongeza matumizi ya maziwa kama sehemu ya lishe bora nchini. Akiwahutubia wanafunzi wa Shule ya Msingi Sabasaba katika maadhimisho ya Wiki ya Maziwa Kitaifa yanayofanyika mkoani Iringa, Profesa Msalya alisema serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania, hususan…
-

WIZARA YA ARDHI KUANZISHA MABARAZA KATIKA WILAYA ZOTE – Habari Mpya
Na Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo amesema Wizara imejipanga kuanzisha Mabaraza ya Ardhi na Nyumba katika wilaya zote nchini ili kuongeza upatikanaji wa haki kwa wananchi. Dkt. Akwilapo amesema hayo leo Mei 28, 2026 bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











