Category: Habari
-

TANESCO YATAMBULIWA KAMA SEKTA WEZESHI NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) – Habari Mpya
Yapokea cheti cha pongezi kwa mchango wake katika kuendeleza elimu jumuishi Utambuzi watolewa katika hafla maalum ya kuwapongeza wadau wa maendeleo wa UDSM Na Mwandishi Wetu Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetambuliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kama miongoni mwa sekta wezeshi zinazochangia maendeleo ya elimu jumuishi na ustawi wa wanafunzi chuoni…
-

Mwenendo wa biashara, historia ya miamala kuwezesha kupata mkopo
Dar es Salaam. Katika hatua inayolenga kuimarisha upatikanaji wa mitaji na kuchochea ukuaji wa sekta ya biashara nchini, Benki ya Absa Tanzania imezindua huduma mpya ya mikopo ya muda mfupi isiyo na dhamana, inayolenga kuwawezesha wafanyabiashara wadogo na wa kati kukuza shughuli zao za kiuchumi kwa urahisi zaidi. Huduma hiyo, inalenga wafanyabiashara wanaojihusisha na biashara…
-

MRADI WA BUREFOBI WACHOCHEA UTALII IKOLOJIA KATIKA HIFADHI YA MISITU PUGU KAZIMZUMBWI – Habari Mpya
Na Mwandishi Wetu, Pwani WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umesema maboresho ya miundombinu yanayotekelezwa kupitia Mradi wa Kujenga Ustahimilivu wa Bioanuwai ya Misitu dhidi ya Athari za Mabadiliko ya Tabianchi katika Misitu ya Asilia ya Hifadhi Tanzania (BUREFOBI-NFR), yamechochea ukuaji wa utalii ikolojia katika Hifadhi ya Msitu wa Asili wa Pugu Kazimzumbwi, mkoani…
-

Mbarali yatarajia kuvuna tani 430,452 za mpunga, masoko yatajwa
Mbarali. Kufuatia uwekezaji wa Serikali katika kuboresha miundombinu ya sekta ya kilimo, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, inatarajia kuzalisha tani 430,452 za mpunga katika msimu wa kilimo wa 2025/2026. Takwimu hizo zinaonyesha ongezeko la uzalishaji wa tani 111,168 ikilinganishwa na tani 319,284 zilizozalishwa msimu wa kilimo wa 2024/2025. Katika msimu uliopita, halmashauri hiyo…
-

HAKUNA NYONGEZA YA MUDA KWA MKANDARASI WA UJENZI WA BARABARA KAHAMA KUPITIA MRADI WA TACTIC – PROF. SHEMDOE – Habari Mpya
Na OWM – TAMISEMI, Kahama Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali haitomuongezea muda Mkandarasi M/s China Civil Engineering Construction Corporation wa kukamilisha miradi ya ujenzi wa barabara na mitaro katika Manispaa ya Kahama, inayotekelezwa kupitia Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya…
-

Kahama yasaini mkataba mpya umaliziaji barabara, onyo latolewa
Kahama. Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imesaini mkataba wa umaliziaji wa ujenzi wa barabara ya mitaro ya maji, wenye zaidi ya Sh25.5 bilioni kupitia mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (Tactic). Mkataba huo umesainiwa leo Jumatano Mei 27, 2026, kati ya Serikali na mkandarasi ‘China Civil Engineering Constraction Corporation’ baada ya mkandarasi ‘Sichuan…
-

DKT. MWIGULU ATETA NA WAZIRI MKUU WA CONGO BRAZZAVILLE – Habari Mpya
Wakubaliana kuimarisha masuala ya kilimo, nishati na usalama WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo, Anatole Collinet Makosso na kujadiliana naye masuala ya kidiplomasia ikiwemo usalama, mazingira, kilimo na nishati kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Alfred Raoul, Brazzaville, jijini Brazzaville. Akizungumza na mwenyeji wake leo (Jumatano,…
-

TPA yawataka wadau kujipanga utekelezaji tozo mpya
Tanga. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imewataka wadau wa sekta ya usafirishaji na biashara kuanza kujipanga kwa utekelezaji wa Ada ya Uendelezaji wa Miundombinu Mipya ya Bandari (PID) inayotarajiwa kuanza kutumika Julai 1, 2026. Ada hiyo ni asilimia 4.5 ya kodi ya forodha ikiwa imepunguzwa kutoka asilimia 9 ya awali, ambayo ilikuwa ianze…
-

Kizimbani kwa kuingiza magari bila utaratibu
DAR ES SALAAM: WAFANYABIASHARA watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Kinondoni Dar es salaam wakikabiliwa na mashitaka tisa yakihusisha kuingiza magari yenye namba za usajili za Afrika Kusini na kuyatumia nchini bila kufuata taratibu za kiforodha na kusababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya zaidi ya Sh milioni 100. Washitakiwa hao…
-
RC TANGA AWAASA WANANCHI KUDUMISHA AMANI NA KUWASAIDIA WAHITAJI WAKATI WA EID AL-ADHA – Habari Mpya
Na Mwandishi Wetu, TANGA Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi ,Dkt Batilda Burian, amewaasa wananchi wa mkoa huo kuendelea kudumisha amani na utulivu wakati wa Sikukuu ya Eid Al-Adha Aliyasema hayo leo mara baada ya kumalizika swala ya Eid Al-Adha iliyofanyika katika msikiti wa Ijumaa Jijini Tang ambapo alisema ni kill muhimu kwa Waislamu na…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













