Category: Habari
-

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AREJEA UNGUJA
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Alhajj Hemed Suleiman Abdulla, amerejea Unguja akitokea Kisiwani Pemba, ambako alishiriki Swala na Baraza la Eid al-Adha. Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR) Tarehe: 27.05.2026.
-

Mwanga kwa waombaji mikopo TASAF, HESLB wakitoa elimu
Dar es Salaam. Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wameungana kutoa elimu na huduma ya upatikanaji wa viambatanisho kwa waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Shughuli hiyo inafanyika katika mikoa mbalimbali ikiwamo Mbeya, Dar es Salaam, Kagera, Kilimanjaro, Tabora na Zanzibar (Unguja…
-

TARURA YAPATA DOLA MILIONI 65 KUTEKELEZA MIRADI YA DHARURA – Habari Mpya
Makandarasi wazawa wanufaika Tabora Serikali imeiwezesha Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kupata dola milioni 65 kwa ajili ya utekelezaji wa matengenezo ya miundombinu ya barabara kupitia mfuko wa dharura (CERC). Hayo yamesemwa na Mtendaji Mkuu wa TARURA, Mhandisi Victor Seff wakati wa ziara ya wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala huo katika…
-

Wataalamu wataja utafiti, ushirikishwaji wa jamii kukuza uchumi wa buluu
Unguja. Licha ya sekta ya uchumi wa buluu kuwa na fursa nyingi, ili ziweze kufikiwa, imeelezwa kuwa lazima kuwepo na tafiti, ushirikishwaji wa jamii na sekta binafsi. Pia, kunahitajika miundo ya kitaasisi kuhakikisha inakuwa imara, endelevu pamoja na kufanya mapitio ya sheria na sera ili ziakisi namna ya kutatua changamoto zinazoikumba. Hayo yamebainishwa Mei 26,…
-

Idd ilivyobeba mambo manne | Mwananchi
Dar es Salaam. Hatua dhidi ya athari za kupanda kwa gharama za maisha, kudumishwa amani, mshikamano na maridhiano ni miongoni mwa mambo yaliyosikika zaidi kutoka katika mimbari za misikiti mbalimbali nchini, wakati wa swala ya Sikukuu ya Idd El Adh’haa. Mambo hayo yameelezwa na viongozi wa dini na Serikali walipokuwa katika ibada hiyo, inayowaunganisha Waislamu…
-

TAASISI ZA FEDHA, TRA, BRELA NA HALMASHAURI ZIUNGANE KUJENGEA VIJANA UELEWA WA BIASHARA – Habari Mpya
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe ambaye halimashauri za wilaya Majiji na miji zimo kwake na huko ndiko kwenye wajasiriamali wenyewe. ……………. Katika kipindi hiki ambapo vijana wengi nchini wanaingia kwenye shughuli za ujasiriamali, biashara ndogo ndogo pamoja na huduma mbalimbali za kujiajiri,…
-
WANANCHI DODOMA WAHIMIZWA KUJITOKEZA KUPOKEA MWENGE WA UHURU – Habari Mpya
Na. Dennis Gondwe, DODOMA WANANCHI wa Wilaya ya Dodoma wameombwa kuonesha umoja na mshikamano wao kwa kujitokeza kwa wingi kuupokea na kuukimbiza Mwenge wa Uhuru utakapowasili na kutembelea miradi ya maendeleo inayolenga kuboresha maisha yao. Kauli hiyo ilitolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Vincent Odero alipokuwa akiongea na waandishi wa habari…
-

Wawili kushikilia ofisi za CWT wakisubiri hatima ya viongozi wao
Dodoma. Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa sasa hakina uongozi wa juu baada ya viongozi wake watatu kushikiliwa mahabusu kwa makosa ya uhujumu uchumi. Waliokamatwa ni rais wa CWT, Seleman Ikomba, Katibu Mkuu, Joseph Misalaba na Mweka Hazina, Nashoni Kidudu ambao wameunganishwa na viongozi wastaafu Leah Ulaya ( aliyekuwa rais) na Japhet Maganga ambaye kabla…
-

VIONGOZI WA VYAMA VYA MSINGI VYA USHIRIKA WILAYANI MBINGA, WAJENGEWA UWEZO WA MATUMIZI YA MIZANI ZA KIDIJITALI – Habari Mpya
Meneja wa Chama kikuu cha ushirika wa mzao wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma Faraja Komba,akitoa taarifa ya mafunzo ya matumizi ya mizani ya kidijitali kwa mameneja na makarani wa vyama vya msingi vya ushirika(Amcos)wa wilaya ya Mbinga na Nyasa yaliyofanyika katika ukumbi wa Mbifacu Mbinga mjini,katikati Mrajisi msaidizi wa ushirika mkoani Ruvuma Venance Msafiri na…
-

Kijana aliyemkumbatia Rais Ruto jukwaani apewa ajira, walinzi hatarini
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi nchini Kenya limeanzisha uchunguzi maalumu dhidi ya kikosi cha walinzi wa Rais wa Kenya, William Ruto baada ya kijana mmoja (jina halijawekwa wazi), kufanikiwa kupenya ulinzi na kumfikia kiongozi huyo wakati wa hafla ya shukrani iliyofanyika katika eneo la Ganze, Kaunti ya Kilifi Mei 24, 2026. Tukio hilo lililoteka…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











