Category: Habari

  • SERIKALI KUENDELEZA MAENEO CHAKAVU KATIKA MIJI 35 – Habari Mpya

    SERIKALI KUENDELEZA MAENEO CHAKAVU KATIKA MIJI 35 – Habari Mpya

    Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Deogratius Akwilapo amesema kuwa Serikali imeanza kutekeleza Programu Maalum ya Uendelezaji Upya wa Maeneo Chakavu katika miji mbalimbali nchini. Amebainisha kuwa programu hiyo inalenga kuboresha makazi ya wananchi, kuongeza thamani ya miji pamoja na kuvutia wawekezaji katika maeneo ya mijini.Dkt.…

    Continue Reading

  • WIZARA YA ARDHI YATAJA VIPAUMBELE KWA MWAKA 2026/2027 – Habari Mpya

    WIZARA YA ARDHI YATAJA VIPAUMBELE KWA MWAKA 2026/2027 – Habari Mpya

    Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Deogratius Akwilapo amesema kuwa Wizara yake itaendelea kuimarisha uratibu na usimamizi wa maendeleo ya sekta ya ardhi kwa kuzingatia vipaumbele vilivyoainishwa katika mwaka wa fedha 2026/2027.Amebainisha kuwa vipaumbele hivyo vinahusisha kuongeza kasi ya upangaji, upimaji na umilikishaji wa ardhi pamoja…

    Continue Reading

  • Wenje asimulia alivyotengwa na familia ya Chadema

    Wenje asimulia alivyotengwa na familia ya Chadema

    Dar es Salaam. Ikiwa imepita miezi saba tangu alipojiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), mbunge wa zamani wa Nyamagana, Ezekia Wenje amesema hana mawasiliano yoyote na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Oktoba 13, 2025, Wenje alijiunga na CCM akitokea Chadema, ikiwa imepita miezi takribani tisa tangu uchaguzi wa ndani wa chama hicho…

    Continue Reading

  • Tanzania inawezaje kuziba pengo katika elimu ya umma

    Tanzania inawezaje kuziba pengo katika elimu ya umma

    Dar es Salaam. Mjadala kuhusu kuibuka kwa mfumo wa “madaraja mawili” ndani ya elimu ya umma nchini Tanzania sasa umevuka hoja za kawaida za upungufu wa miundombinu na uhaba wa madarasa. Kwa sasa, mjadala huo unagusa suala pana zaidi la mustakabali wa taifa: iwapo nchi inaendelea taratibu kuwatengenezea watoto wake maisha ya baadaye yaliyo tofauti…

    Continue Reading

  • Suluhisho la ajira kwa vijana Tanzania

    Suluhisho la ajira kwa vijana Tanzania

    Katika kipindi ambacho changamoto ya ajira inaendelea kuongezeka nchini Tanzania, ni muhimu kutazama upya mifumo ya jadi ya uchumi ambayo imekuwa ikitoa mchango mkubwa kwa muda mrefu bila kupewa uzito unaostahili. Moja ya mifumo hiyo ni biashara za familia (family businesses). Hizi ni biashara zinazomilikiwa na kuendeshwa na wanafamilia, mara nyingi zikihusisha kizazi kimoja au…

    Continue Reading

  • Umemtambua straika wa boli? – HabariLeo

    Umemtambua straika wa boli? – HabariLeo

    DAR ES SALAAM; Huyo wa mbele kabisa kulia ni miongoni mwa vipaji vikubwa katika safu ya ushambuliaji Tanzania aliyeng’ara na klabu ya Simba ya Dar es Salaam miaka ya 1990. Mguuni mali ilikuwepo, kichwani ndo usiseme. Je umemtambua? Unamkumbuka kwa lipi? RIP straika wa boli. Nyuma anayefuatia ni mshambuliaji David Mihambo na Malota Soma.

    Continue Reading

  • DKT. MWIGULU AREJEA NCHINI AKITOKEA MKUTANO WA AfDB, CONGO – Habari Mpya

    DKT. MWIGULU AREJEA NCHINI AKITOKEA MKUTANO WA AfDB, CONGO – Habari Mpya

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amerejea nchini Tanzania akitokea jijini Brazzaville, Jamhuri ya Kongo alikomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Dkt. Mwigulu aliagwa na Meya wa Jiji la Brazzaville, Dieudonné Bantsimba katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa…

    Continue Reading

  • Mradi wachochea utalii ikolojia hifadhi ya misitu Pugu Kazimzumbwi

    Mradi wachochea utalii ikolojia hifadhi ya misitu Pugu Kazimzumbwi

    PWANI: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umesema maboresho ya miundombinu yanayotekelezwa kupitia Mradi wa Kujenga Ustahimilivu wa Bioanuwai ya Misitu dhidi ya Athari za Mabadiliko ya Tabianchi katika Misitu ya Asilia ya Hifadhi Tanzania (BUREFOBI-NFR), yamechochea ukuaji wa utalii ikolojia katika Hifadhi ya Msitu wa Asili wa Pugu Kazimzumbwi, mkoani Pwani. Hatua hiyo…

    Continue Reading

  • AHSANTE FOUNDATION WACHINJA NG’OMBE KONDOO NA MBUZI EID AL- ADHA MIRERANI  – Habari Mpya

    TAASISI ya Ahsante Foundation Tanzania imechinja ng’ombe 723, mbuzi na kondoo 2,500 na kutoa sadaka kwa watoto yatima, wajane, wahitaji na taasisi za serikali na binafsi, katika kusheherekea sikukuu ya Eid Al-Adha mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Meneja mipango wa taarifa ya Ahsante Foundation Tanzania, Omary Gyunda amesema lengo ni kuhakikisha jamii…

    Continue Reading

  • MHE BALOZI OMAR ATETA NA RAIS WA BADEA – Habari Mpya

    MHE BALOZI OMAR ATETA NA RAIS WA BADEA – Habari Mpya

    Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiteta jambo na Rais wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo Afrika-BADEA, Bw. Abdullah Kh Almusaibeeh, kando ya Mkutano Mkuu wa 61 wa mwaka 2026 wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Mkutano Mkuu wa 52 wa Mwaka wa Mfuko wa Maendeleo…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports