Category: Habari
-

WATAALAMU WA FAO WAFURAHISHWA NA VIVUTIO VYA UTALII TABORA – Habari Mpya
Tabora Timu ya wataalamu kutoka Makao Makuu ya Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) kutoka Roma, Italia pamoja na Harare, Zimbabwe, imevutiwa na vivutio vya utalii vilivyopo mkoani Tabora baada ya kutembelea maeneo mbalimbali ya kihistoria na hifadhi za asili zilizopo chini ya usimamizi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS). Wataalamu hao…
-

‘Msimamo wa Tanzania ni kutofungamana na upande wowote’
DODOMA; WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania inaendelea kudumisha misingi ya uhusiano na ushirikiano na msimamo wake ni uleule wa kutofungamana na upande wowote. Balozi Kombo ametoa kauli hiyo bungeni leo Mei 26, 2026 alipokuwa akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa…
-

Huu hapa ujumbe wa Rais Samia akiwaapisha majaji
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha majaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Uapisho huo umekamilisha uteuzi wake wa majaji tisa aliowateua hivi karibuni kujiunga na Mahakama hiyo ya juu zaidi nchini. Akizungumza leo Jumanne Mei 26, 2026 katika hafla hiyo muda mfupi baada ya…
-

Mfumo wa elimu ya umma unavyojenga tabaka
Dar es Salaam. Katika Shule ya Msingi Sinza iliyopo Wilaya ya Ubungo, dhana ya usawa wa fursa, imebaki kuwa kauli tu, huku uhalisia wake ukitenganishwa na ukuta unaoonekana kwa macho na pia kwa maana ya kijamii. Upande mmoja wa shule hiyo kuna mkondo mpya wa Kiingereza ulioboreshwa, wenye madarasa ya kisasa, mazingira safi na mandhari…
-
NILIVYOOKOA NDOA YA WAZAZI WANGU BAADA YA UGOMVI WA MIAKA NA KARIBU WAACHANE KABISA – Habari Mpya
Kukua kwenye nyumba yenye ugomvi wa kila mara si jambo rahisi. Kwa miaka mingi nilikuwa nikiona wazazi wangu wakibishana karibu kila wiki. Mwanzoni nilidhani ni mambo ya kawaida ya ndoa ambayo hupita baada ya muda. Lakini kadri nilivyokuwa nikikua, nilianza kuona hali ile ilikuwa kubwa zaidi kuliko nilivyofikiria. Kulikuwa na kipindi nyumba yetu ilikosa amani…
-

Huu hapa ugumu kukomesha viboko shuleni
Dar es Salaam. Kwa miaka mingi mjadala kuhusu matumizi ya adhabu ya viboko shuleni na majumbani umekuwa ukiibuka mara kwa mara nchini. Wakati wanaharakati wa haki za watoto, wanasaikolojia na baadhi ya wadau wa elimu wakitaka adhabu hiyo iondolewe wakidai ina madhara kwa makuzi ya mtoto, bado kundi kubwa la wazazi, walimu na jamii linaamini…
-

NAIBU WAZIRI KWAGILWA AHIMIZA USHIRIKIANO USAFI WA MAZINGIRA – Habari Mpya
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa amezitaka halmashauri, taasisi binafsi, mashirika mbalimbali pamoja na wananchi kuendelea kushirikiana na na Serikali katika kuhakikisha maeneo yanakuwa safi na salama. Ametoa rai hiyo wakati akizungumza na wananchi mara baada ya kuongoza zoezi la upandaji miti na usafi wa mazingira jijini Tanga…
-

Aliyemchinja muokota chupa Dar ahukumiwa kunyongwa
Dar es Salaam. Adhabu kwa mtu anayepatikana na hatia ya kuua kwa kukusudia ni moja tu, nayo ni kunyongwa hadi kufa, hayo ni maneno ya Jaji Arnold Kerekiano wakati akimhukumu adhabu ya kifo, mkazi wa Mburahati NHC jijini Dar es Salaam. Ukisoma namna mauaji ya Maulid Omary (45) yalivyofanyika, unaweza usiamini aliyefanya hivyo alikuwa na…
-
NILIVYOREJESHA AMANI BAADA YA MAJIRANI WANGU KUANZA KUNIHARIBIA MAISHA KWA WIVU NA FITINA ZA KILA SIKU – Habari Mpya
Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilianza kuogopa hata kutoka nje ya nyumba yangu. Nilikuwa nimehamia eneo lile kwa matumaini ya kuanza maisha mapya kwa amani. Nilikuwa mtu wa kujituma, mwenye kupenda utulivu, na sikuwa na shida na mtu yeyote. Polepole nilianza kuzoea mazingira mapya, nikajenga mahusiano ya kawaida na watu wa jirani, na maisha…
-

Haya ndiyo yanayochochea migogoro ya ardhi
Dar es Salaam. Migogoro ya ardhi imeendelea kuwa miongoni mwa malalamiko makubwa yanayowasilishwa na wananchi katika ziara za viongozi wa kitaifa nchini, hali inayoashiria kuwa tatizo hilo bado linaendelea kuisumbua jamii. Kwenye mikutano mbalimbali ya hadhara inayofanywa na viongozi wa Serikali mikoani, wananchi wamekuwa wakitumia nafasi hizo kuwasilisha malalamiko yanayohusu umiliki wa maeneo, migongano ya…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













