Category: Habari
-
TRC YAINGIZA FORD RANGER NA MERCEDES BENZ UNIMOG ZENYE TEKNOLOJIA YA LASER KUKAGUA SGR – Habari Mpya
Ununuzi wa magari ya Ford Ranger na Mercedes Benz Unimog yanayotimia teknolojia ya laser uliofanywa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) unaashiria hatua kubwa katika kuimarisha usalama wa reli ya kiwango cha kimataifa (SGR). Magari hayo, yaliyoboreshwa kuwa magari maalum ya Hi-Rail, yatatumika kukagua na kufuatilia reli ya Standard Gauge Railway (SGR) huku yakitumia mifumo…
-

Lijue chimbuko, safari ya adhabu ya viboko shuleni
ar es Salaam. Kukua na kuenea kwa harakati za haki za binadamu kumeendelea kuchochea mjadala kuhusu adhabu ya viboko shuleni, lakini hali imeendelea kuwa tata, ikigonganisha maadili ya jadi ya nidhamu kwa watoto na mitazamo mipya ya haki na ustawi wao. Ndani ya mvutano huo, historia ya adhabu hii inafungua pazia la safari ndefu, kutoka…
-
NILIVYOOKOA MTOTO WANGU BAADA YA KUUGUA MARA KWA MARA NA HOSPITALI KUSHINDWA KUELEZA TATIZO – Habari Mpya
Hakuna maumivu makubwa kama kumuona mtoto wako akiwa mgonjwa mara kwa mara bila kuelewa nini hasa kinaendelea. Mtoto wangu alikuwa mchangamfu sana alipokuwa mdogo. Alipenda kucheza, kucheka, na alikuwa akileta furaha kubwa nyumbani. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika kwa namna ambayo ilinifanya niishi kwa hofu kila siku. Mwanzoni nilidhani ni ugonjwa wa kawaida. Alianza kupata…
-

WAFANYABIASHARA TUNDURU WALALAMIKA KUONGEZEWA KODI YA PANGO LA VIBANDA – Habari Mpya
Na Mwandishi Wetu,Tunduru Wafanyabiashara waliopanga katika vibanda vya Halmashauri ya wilaya Tunduru Mkoani Ruvuma,wameilalamikia ofisi ya biashara ya Halmashauri hiyo kuwaongezea kodi za pango holela na baadhi ya watumishi kujimilikisha vibanda vingi na kuwanyima haki wafanyabiashara. Wamesema hayo jana,wakati wa kikao cha wafanyabiashara kilichoitishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Seif Dauda kwa lengo la kusikiliza…
-

BALOZI MNDEME AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MFALME CARL XVI GUSTAF WA SWEDEN – Habari Mpya
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mheshimiwa Swahiba H. Mndeme, amewasilisha rasmi Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Mfalme Carl XVI Gustaf wa Sweden katika hafla maalum iliyofanyika tarehe 22 Mei 2026, kwenye Kasri la Mfalme wa Sweden lililopo jijini Stockholm. Hafla hiyo ya kidiplomasia ni ishara ya kutambuliwa rasmi kwa Balozi Swahiba kama Mwakilishi rasmi wa…
-
SERIKALI YATOA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ZA MGOMO WA DALADALA ARUSHA – Habari Mpya
Mkuu wa wilaya ya Arusha ,Joseph Mkude akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo kuhusu mgomo wa daladala. Happy Lazaro,Arusha . Arusha .Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Joseph Modest Mkude amesema Jiji la Arusha linaendelea kuwa salama na wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida kufuatia taarifa zilizozagaa kuhusu madai ya mgomo wa…
-

Mama mzazi wa Hayati Magufuli afariki dunia Chato
Mama mzazi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Magufuli Suzana Magufuli, amefariki dunia leo Mei 25, 2026 nyumbani kwake Chato mkoani Geita baada ya kuugua kwa muda mrefu. Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli, leo Jumatatu Mei 25, 2026 akizungumza…
-

DKT. MWIGULU AWASILI NCHINI JAMHURI YA KONGO – Habari Mpya
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maya Maya jijini Brazzaville, nchini Jamhuri ya Kongo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Dkt. Mwigulu anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed















