Category: Habari

  • Doyo ampongeza Msajili kwa ‘kuilima’ barua CCM

    Doyo ampongeza Msajili kwa ‘kuilima’ barua CCM

    Tanga. Katibu Mkuu wa National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo ameipongeza Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa hatua ya kukiandikia barua Chama cha Mapinduzi (CCM) kijieleze kuhusu kauli zilizotolewa na mmoja wa viongozi wake. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Tanga leo Jumapili, Mei 24, 2026, Doyo ambaye aligombea urais kupitia…

    Continue Reading

  • KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA SHIRIKI KUFANYA USAFI STENDI YA KABWE JIJINI MBEYA – Habari Mpya

    KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA SHIRIKI KUFANYA USAFI STENDI YA KABWE JIJINI MBEYA – Habari Mpya

     Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (kushoto) akiongoza zoezi la Usafi wa Mazingira katika kituo cha daladala na bajaji (Stendi ya Kabwe) kilichopo Kata ya Iyela, Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Jijini Mbeya, leo Mei 24, 2026. Zoezi hilo la Usafi wa Mazingira limefanyika ikiwa ni Kampeni Kuelekea Maadhimisho ya Siku…

    Continue Reading

  • Wanne wafariki dunia Masasi ajali ya gari, pikipiki

    Wanne wafariki dunia Masasi ajali ya gari, pikipiki

    Masasi. Watu wanne wamefariki dunia baada ya gari aina ya Land Cruiser kugongana uso kwa uso na pikipiki iliyokuwa imebeba abiria, kisha kuwagonga watembea kwa miguu wawili waliokuwa pembezoni mwa barabara. Ajali hiyo imetokea Jumamosi ya Mei 23, 2026, saa 4 usiku katika eneo la Rest Camp kwenye barabara kuu ya Masasi–Tunduru mkoani Mtwara, ikihusisha…

    Continue Reading

  • Bei ya mbuzi yapaa Dar kuelekea Eid al-Adha

    Bei ya mbuzi yapaa Dar kuelekea Eid al-Adha

    Dar es Salaam. Wakati waumini wa Kiislamu Tanzania wakijiandaa kuungana na wengine duniani kuadhimisha Sikukuu ya Eid al-Adha Mei 27, 2026, bei ya mbuzi katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam imepanda kutokana na ongezeko la mahitaji ya mfugo huo. Bei hiyo ya mbuzi imeongezeka kwa kiwango kinachotofautiana kulingana na ukubwa, huku wafanyabiashara wakieleza…

    Continue Reading

  • Wadau watoa maoni Rasimu ya Bajeti ya SMZ 2026/27

    Wadau watoa maoni Rasimu ya Bajeti ya SMZ 2026/27

    Unguja. Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ikiwa imetoa Rasimu ya Bajeti ya Mwaka 2026/27, wadau wa sekta binafsi wameonesha ubora na upungufu wa rasimu hiyo. Kutokana na rasimu hiyo, mapato na matumizi ya SMZ kwa mwaka 2026/27 yanakadiriwa kufikia Sh8.217 trilioni ikiwa ni ongezeko la Sh1.2 trilioni ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2025/26…

    Continue Reading

  • Sh227 milioni ya fidia Msikiti wa Rahman yadaiwa kulipwa kwa watu wasio sahihi

    Sh227 milioni ya fidia Msikiti wa Rahman yadaiwa kulipwa kwa watu wasio sahihi

    Dar es Salaam. Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (Tarura) umedai kuwa,Sh227 milioni za fidia katika Msikiti wa Rahman uliopo Mtaa wa Jangwani jijini Dar es Salaam zililipwa kwa watu wasio sahihi ili kupisha mradi wa uendelezaji bonde la Mto Msimbazi Hayo yamesemwa jana Jumamosi, Mei 23, 2026 na mratibu wa mradi huo kutoka Tarura,…

    Continue Reading

  • Mwili wa mtoto wakutwa ukielea mtoni ukiwa umeharibika

    Mwili wa mtoto wakutwa ukielea mtoni ukiwa umeharibika

    Tarime. Mwili wa mtoto wa kike anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 13 hadi 15 umeokotwa ukiwa unaelea kwenye maji ya Mto Mori, eneo la Kata ya Nyakonga, Wilaya ya Tarime mkoani Mara. Mwili huo ambao umepatikana ukiwa umeanza kuharibika, umehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime kusubiri taratibu zingine. Akizungumza na Mwananchi kwa…

    Continue Reading

  • MASOKO RASMI YA MADINI, BEI ELEKEZI YAPUNGUZA UTOROSHAJI RUVUMA – Habari Mpya

    MASOKO RASMI YA MADINI, BEI ELEKEZI YAPUNGUZA UTOROSHAJI RUVUMA – Habari Mpya

    📍Ruvuma Uanzishwaji wa masoko rasmi ya madini pamoja na matumizi ya mfumo wa bei elekezi mkoani Ruvuma, umetajwa kupunguza kwa kiasi kikubwa vitendo vya utoroshaji wa madini huku ukiongeza mapato ya Serikali na kuwanufaisha wachimbaji wadogo. Mkoa wa Ruvuma kwa sasa una masoko rasmi ya madini mawili likiwemo Soko la Dhahabu na Vito la Songea…

    Continue Reading

  • Wanawake 150 wa jamii za kifugaji wapatiwa hati za kimila Manyara

    Wanawake 150 wa jamii za kifugaji wapatiwa hati za kimila Manyara

    Manyara. Wanawake 150 kutoka jamii za wafugaji wilayani Simanjiro na Kiteto mkoani Manyara wamekabidhiwa hati za kimila za umiliki wa ardhi, hatua inayolenga kuwawezesha kiuchumi na kupunguza changamoto za mila na desturi zinazowanyima wanawake haki ya kumiliki ardhi. Hati hizo zilikabidhiwa jijini Arusha katika hafla iliyofanyika sambamba na maadhimisho ya miaka 25 ya shirika la…

    Continue Reading

  • Nishati mbadala yatajwa kuwa suluhu ya uharibifu wa mazingira

    Nishati mbadala yatajwa kuwa suluhu ya uharibifu wa mazingira

    Tabora. Matumizi ya nishati mbadala yameendelea kutajwa kuwa suluhu ya kudumu ya kukabiliana na uharibifu wa mazingira na changamoto za kiafya zinazotokana na matumizi ya nishati isiyo rafiki kwa mazingira, huku wadau wakihimizwa kuwekeza na kuhamasisha matumizi yake kwa wananchi. Katika muktadha huo, washiriki wa kozi ya 14 kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports