Category: Habari

  • Serikali yazindua kitabu safari ya upandikizaji wa moyo

    Serikali yazindua kitabu safari ya upandikizaji wa moyo

    DAR ES SALAAM: Katika jitihada za kuhakikisha wananchi wanaendelea kupata huduma za kibingwa bobezi nchini, Serikali imezindua kitabu cha safari ya upandikizaji wa moyo kitakachosaidia kutoa mwongozo na uelewa kwa wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, alisema Serikali ya Awamu ya…

    Continue Reading

  • Zungu aunga mkono nishati safi

    Zungu aunga mkono nishati safi

    DODOMA: SPIKA wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ameuagiza Umoja wa Wabunge Wanawake (TWG) kutumia ushawishi wao mitaani kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kulinda afya za wananchi na mazingira. Akifungua mafunzo ya umoja huo yaliyoandaliwa na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) jijini Dodoma, Spika Zungu amewataka wabunge hao kuvunja dhana potofu zilizopo…

    Continue Reading

  • WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUTOA ELIMU YA USALAMA WA MTOTO MTANDAONI – Habari Mpya

    WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUTOA ELIMU YA USALAMA WA MTOTO MTANDAONI – Habari Mpya

      Na John Bukuku, Dar es Salaam. Waandishi wa habari na waandaaji wa vipindi vya watoto nchini wametakiwa kutumia vyombo vyao vya habari kuelimisha jamii kuhusu usalama wa watoto mtandaoni ili kukabiliana na ongezeko la vitendo vya ukatili na matumizi mabaya ya teknolojia yanayowaathiri watoto. Wito huo umetolewa na Mjumbe wa Bodi ya Ithibati ya…

    Continue Reading

  • Uamuzi wa Latra waibua mjadala usafiri wa Mbagala

    Uamuzi wa Latra waibua mjadala usafiri wa Mbagala

    Dar es Salaam. Hofu ya kuongezeka kwa gharama za usafiri na matumizi ya bodaboda na bajaji imeibuka miongoni mwa wakazi wa Mbagala kutokana na uamuzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) wa kuzuia daladala kupakia na kushusha abiria katika Barabara ya Kilwa. Wadau wamelalamikia kutoshirikishwa kabla ya utekelezaji wa mabadiliko hayo yanayoanza Julai mosi,…

    Continue Reading

  • Operesheni kali kuondoa ajira za watoto migodini-3

    Operesheni kali kuondoa ajira za watoto migodini-3

    Dar es Salaam. Serikali imeongeza juhudi za kuzuia watoto kufanya kazi katika maeneo ya migodi kwa kutangaza operesheni mpya dhidi ya shughuli za uchimbaji madini zisizo rasmi, ambako ajira hizo zimekuwa zikijitokeza kwa kiwango kikubwa. Hatua hiyo inakuja wakati mamlaka zikiongeza juhudi za kuhakikisha kila mtoto anakuwa shuleni. Mamlaka za ukaguzi zinatarajiwa kuanza operesheni katika…

    Continue Reading

  • FYATU MFYATUA: Onyo Mafyatu wanaohoji ulaji wangu, uhalali wangu

    FYATU MFYATUA: Onyo Mafyatu wanaohoji ulaji wangu, uhalali wangu

    Kuna mafyatu katika kaya yangu ya Fyatuland waliofyatuka kwelikweli hadi wanataka kunifyatua kabla sijawafyatua. Siku hizi, mafyatu wangu wana kamchezo ka kunifyatua bila aibu wala sababu. Si juzi, kajitokeza mmoja aliyetaka kunifyatua na kunivua nguo tena haradhani akiongelea mambo ya kale. Hakujua kuwa ya kale yananuka hata kama yaliwahi kunuka baada ya mafyatu kukinukisha. Kwa…

    Continue Reading

  • NIKWAMBIE MAMA: Bajeti ya kinyumenyume

    NIKWAMBIE MAMA: Bajeti ya kinyumenyume

    Sijui ni kwa nini ikifika siku ya kusomwa bajeti ya Serikali, mawazo yangu yanaangukia Mei Mosi. Nadhani ni woga unaotufanya tuzione siku hizi zikiakisiana. Kwa namna moja au ingine, tunayaona matukio haya yakiwa yanafanana kama watoto mapacha. Nauona moyo wa Mtanzania wa kawaida ukimdundia shingoni kama ilivyo kwangu. Ni kama vile unaotaka kuchomokea mdomoni. Tatizo…

    Continue Reading

  • UCHAMBUZI WA MALOTO: Iran yatoa somo ushindi wa vita siyo “miguvu”

    UCHAMBUZI WA MALOTO: Iran yatoa somo ushindi wa vita siyo “miguvu”

    Vita ni sayansi. Mtu dhaifu mwenye maarifa makubwa anaweza kushinda dhidi ya mwenye nguvu. Simulizi ya kitabu cha 1 Samuel 17, inafundisha kuwa ujasiri na ujuzi wa makabiliano, ni nyenzo muhimu katika kuamua mshindi wa vita. Daud alimpiga Goliath, aliyelihangaisha jeshi zima la Israel kwa siku 40. Daud, mtoto mdogo, alitoa somo kuhusu namna ya…

    Continue Reading

  • Kilio cha upinzani DRC Mwendelezo wa ukandamizaji Afrika, wadau wataja mwarobaini

    Kilio cha upinzani DRC Mwendelezo wa ukandamizaji Afrika, wadau wataja mwarobaini

    Barani Afrika, siasa za vyama vingi zimekuwa zikisukuma simulizi mbili zinazogongana; ndoto ya demokrasia shirikishi na uhalisia wa mamlaka zinazotegemea nguvu za dola. Katika mataifa mengi, upinzani umekuwa si chombo cha kushindana kisiasa kwenye uchaguzi, bali taasisi inayopitia misukosuko mingi ya kidemokrasia na mivutano na mifumo ya dola. Tukio la hivi karibuni katika Jamhuri ya…

    Continue Reading

  • KAIMU KAMISHNA WA USTAWI WA JAMII AKUTANA NA WATOTO KATIKA KONGAMANO LA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KIKOMBO – Habari Mpya

    KAIMU KAMISHNA WA USTAWI WA JAMII AKUTANA NA WATOTO KATIKA KONGAMANO LA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KIKOMBO – Habari Mpya

    Matukiokatikapicha Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Faithmary Lukindo akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo katika Kongamano la Maadimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika lililofanyika leo Juni 16, 2026 katika Makao ya Taifa Watoto Kikombo. Kongamano hilo la siku moja, limewakutanisha…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports