Category: Habari
-

NIKWAMBIE MAMA: Bajeti ya kinyumenyume
Sijui ni kwa nini ikifika siku ya kusomwa bajeti ya Serikali, mawazo yangu yanaangukia Mei Mosi. Nadhani ni woga unaotufanya tuzione siku hizi zikiakisiana. Kwa namna moja au ingine, tunayaona matukio haya yakiwa yanafanana kama watoto mapacha. Nauona moyo wa Mtanzania wa kawaida ukimdundia shingoni kama ilivyo kwangu. Ni kama vile unaotaka kuchomokea mdomoni. Tatizo…
-

UCHAMBUZI WA MALOTO: Iran yatoa somo ushindi wa vita siyo “miguvu”
Vita ni sayansi. Mtu dhaifu mwenye maarifa makubwa anaweza kushinda dhidi ya mwenye nguvu. Simulizi ya kitabu cha 1 Samuel 17, inafundisha kuwa ujasiri na ujuzi wa makabiliano, ni nyenzo muhimu katika kuamua mshindi wa vita. Daud alimpiga Goliath, aliyelihangaisha jeshi zima la Israel kwa siku 40. Daud, mtoto mdogo, alitoa somo kuhusu namna ya…
-

Kilio cha upinzani DRC Mwendelezo wa ukandamizaji Afrika, wadau wataja mwarobaini
Barani Afrika, siasa za vyama vingi zimekuwa zikisukuma simulizi mbili zinazogongana; ndoto ya demokrasia shirikishi na uhalisia wa mamlaka zinazotegemea nguvu za dola. Katika mataifa mengi, upinzani umekuwa si chombo cha kushindana kisiasa kwenye uchaguzi, bali taasisi inayopitia misukosuko mingi ya kidemokrasia na mivutano na mifumo ya dola. Tukio la hivi karibuni katika Jamhuri ya…
-

KAIMU KAMISHNA WA USTAWI WA JAMII AKUTANA NA WATOTO KATIKA KONGAMANO LA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KIKOMBO – Habari Mpya
Matukiokatikapicha Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Faithmary Lukindo akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo katika Kongamano la Maadimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika lililofanyika leo Juni 16, 2026 katika Makao ya Taifa Watoto Kikombo. Kongamano hilo la siku moja, limewakutanisha…
-

Wawakilishi waibana Serikali kwa ongezeko la misamaha ya kodi
Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameeleza masikitiko yao kuhusu mwenendo wa Serikali wa kuendelea kutoa misamaha mingi ya kodi, wakati ikipanga bajeti kwa kutegemea mapato ya ndani. Wamesema hatua hiyo inachangia kupotea kwa kiasi kikubwa cha fedha za umma kupitia taasisi na makundi ambayo, kwa maoni yao, hayastahili kunufaika na misamaha hiyo. Hayo yamebainishwa…
-

DC Mtatiro awapa watendaji siku 14 kutatua kero za wananchi
Shinyanga. Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro, amewapa watumishi wa Serikali katika Wilaya ya Shinyanga Vijijini siku 14 kukamilisha uchunguzi na kuwasilisha taarifa za kina pamoja na mapendekezo ya utatuzi wa kero zote zilizowasilishwa na wananchi katika Tarafa za Samuye na Nindo. Akizungumza leo Juni 16, 2026, Mtatiro amesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha changamoto…
-

Taasisi zapewa somo ziwajibike kwa jamii
DODOMA; Mwenza wa Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, Mama Neema Nchemba amehimiza aaasisi za umma na binafsi kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha huduma za kijamii kupitia utekelezaji wa programu za Uwajibikaji kwa Jamii (CSR). Amesema hayo, Juni 16, 2026 katika hafla ya kukabidhi vifaa vya hospitali vilivyotolewa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS)…
-

Mbinu kumlinda mtoto dhidi ya matumizi hasi ya teknolojia hizi hapa
Dar es Salaam. Wakati nchi za Afrika leo zikiadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika, wadau wa malezi, elimu na teknolojia wameonya kuhusu kuongezeka kwa matumizi hasi ya teknolojia miongoni mwa watoto, wakitaka hatua za haraka kuchukuliwa ili kuwalinda dhidi ya hatari zinazotokana na matumizi yasiyo salama ya mitandao na vifaa vya kidijitali. Siku ya Mtoto…
-

JESHI LA MAGEREZA LASHIRIKI MAADHIMISHO YA KITAIFA YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026 – Habari Mpya
Na. Ssgt Mawazo Mtondo – Dodoma. Jeshi la Magereza kwa mara nyingine tena linashiriki kikamilifu kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2026 Maadhimisho ambayo ni moja ya Maazimio ya Umoja wa Afrika (AU). Hivyo, Jeshi la Magereza linawakaribisha wananchi wote wa Tanzania kutembelea Banda la Magereza katika Maadhimisho ya…
-

Aweso aivunja menejimenti ya Mwauwasa, aonya uzembe
Mwanza. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameivunja Menejimenti ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (Mwauwasa) kutokana na kutoridhishwa na kiwango cha utoaji huduma ya majisafi na salama jijini Mwanza. Uamuzi huo umefuatia ziara ya kikazi aliyoifanya Waziri jijini Mwanza, ambapo amebaini uwepo wa changamoto za upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











