Category: Habari
-

Serikali yazindua mradi wa Sh10.5 bilioni kuimarisha usambazaji umeme Kongwa
Dodoma. Serikali imeendelea kuimarisha uwekezaji katika sekta ya nishati kwa kuzindua mradi wa zaidi ya Sh10.5 bilioni wa kuboresha mfumo wa usambazaji wa umeme katika Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma na maeneo ya jirani. Mradi huo unalenga kuongeza uhakika wa huduma ya umeme na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika ukanda huo. Akizindua kituo cha kubadilishia…
-

Mfumo wa e-Delivery kuimarisha uwajibikaji wa miradi ya maendeleo
Arusha. Serikali imeanza hatua mpya ya kuimarisha usimamizi wa miradi ya maendeleo nchini baada ya kutangaza kuwa kuanzia Julai 1, mwaka huu, miradi yote itasajiliwa, kufuatiliwa na kutathminiwa kupitia mfumo wa kidijitali wa e-Delivery. Mfumo huo ulioandaliwa na Tume ya Taifa ya Mipango unalenga kuongeza uwazi, uwajibikaji na ufanisi katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo,…
-

Gharama za matibabu sababu wengi kuishi na maradhi
Morogoro. Gharama kubwa za matibabu zimeendelea kuwa kikwazo kwa wananchi wengi, hali inayowalazimu kuishi kwa miaka mingi na maradhi yanayoweza kutibika kwa urahisi iwapo wangepata huduma za afya kwa wakati. Hali hiyo imejidhihirisha katika kambi ya matibabu ya macho bure inayoendelea Morogoro, iliyoratibiwa na Taasisi ya Islamic Foundation kwa kushirikiana na Mercy Outreach Global ya…
-

REA YAWAALIKA WADAU KUTEMBELEA BANDA WIKI YA UTUMISHI KWA UMMA CHINANGALI – Habari Mpya
Msangira aeleza utekekezaji wa miradi ya Wakala nchini Chinangali Park – Dodoma Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Bw. Renatus Msangira kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), leo Juni 16, 2026 amewaongoza watumishi wa REA katika kuwaeleza wadau kuhusiana na miradi mbalimbali inayotekelezwa, hatua iliyofikiwa na mipango iliyopo kwa wannachi wanaotembelea banda la REA katika Maadhimisho…
-

KITUO CHA KUBADILISHIA UMEME MBANDE KUIMARISHA UHAKIKA WA UMEME KONGWA NA WILAYA JIRANI – Habari Mpya
Na. Meleka Kulwa – Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amezindua Kituo cha Kubadilishia Njia za Usambazaji Umeme (Switching Station) pamoja na transfoma ya kudhibiti umeme kilichopo Mbande, wilayani Kongwa, mkoani Dodoma.Akizungumza Juni 16, 2026 katika uzinduzi huo, Waziri Ndejembi amesema kuwa mradi huo unalenga kuimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika, kuongeza…
-

TANZANIA CHAIRS AFRICANI GROUP PREPARATORY MEETING AHEAD OF UNESCO WORLD HERITAGE COMMITEE SESSION – Habari Mpya
Honoured to chair the 9th Meeting of the African Group of World Heritage Committee Members in Dakar, Senegal, bringing together delegates from Senegal, Angola, Kenya, Namibia, Comoros, Togo, The Gambia, Uganda, Tanzania, South Africa, Malawi and Tunisia to coordinate Africa’s common positions ahead of the forthcoming UNESCO World Heritage Committee meeting in Busan, Republic of…
-

WAZIRI KOMBO AWASILISHA UJUMBE MAALUM WA MHE. RAIS SAMIA KWA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA – Habari Mpya
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, amani na maendeleo endelevu.…
-

MAMA NEEMA MWIGULU AHIMIZA TAASISI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUPITIA UWAJIBIKAJI KWA JAMII – Habari Mpya
Mwenza wa Waziri Mkuu, Mama Neema Mwigulu Nchemba, amehimiza taasisi za umma na binafsi kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha huduma za kijamii kupitia utekelezaji wa programu za uwajibikaji kwa jamii (CSR). Mama Neema amesema hayo leo Jumanne, Juni 16, 2026 katika hafla ya kukabidhi vifaa vya hospitali vilivyotolewa na Shirika la Viwango…
-

EWURA YAFIKIA WANANCHI MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026 – Habari Mpya
Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeanza kushiriki katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2026 yaliyoanza rasmi leo, tarehe 16 mpaka 23 Juni, yanayofanyika katika Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma Akizungumza kuhusu ushiriki wa EWURA katika maonesho hayo, Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na…
-

TANZANIA YAPIGA HATUA UPATIKANAJI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA WAFIKIA 29.6% – Habari Mpya
Na Sophia Kingimali, Dar es Salaam TANZANIA imeonyesha mafanikio makubwa katika kupanua upatikanaji wa nishati safi ya kupikia, ambapo kiwango cha kitaifa cha upatikanaji kimeongezeka kutoka asilimia 6.9 mwaka 2021 hadi asilimia 28.6 mwaka 2025. Ongezeko hili la mara nne zaidi, linadhihirisha athari za jitihada mahsusi za serikali, dhamira ya kisiasa na ushirikiano na wadau…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













