Category: Habari

  • Sh600 bilioni kujenga kiwanda cha chuma Dodoma

    Sh600 bilioni kujenga kiwanda cha chuma Dodoma

    Dodoma. Serikali imetangaza kupatikana kwa wawekezaji watakaotekeleza ujenzi wa kiwanda kikubwa cha chuma chenye thamani ya zaidi ya Sh600 bilioni eneo la Nala, jijini Dodoma Mradi huo utatumia madini ya chuma yanayopatikana nchini, kuzalisha bidhaa mbalimbali za chuma na kuajiri zaidi ya watu 6,500 kwa kazi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa…

    Continue Reading

  • TEKNOLOJIA ISITUMIKE KUHARIBU UBORA WA HABARI – Habari Mpya

    Na Mwandishi Wetu Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewataka waandishi wa habari, watangazaji na wadau wa sekta ya habari kutumia teknolojia kwa uwajibikaji ili kuhakikisha maendeleo ya kidijiti hayaathiri ubora wa habari, maadili ya taaluma na haki ya wananchi kupata taarifa sahihi. Kauli hiyo ya Bodi imetolewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa…

    Continue Reading

  • Mmoja mbaroni kwa mauaji, kutupa mwili kwenye shimo

    Mmoja mbaroni kwa mauaji, kutupa mwili kwenye shimo

    Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mfanyakazi wa usafi wa baa ya Shisha Village, Lameck Mlay (30), kwa tuhuma za kumuua Husna Shabani (33) na kutupa mwili wake kwenye shimo la maji taka lililopo katika baa hiyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana Juni 15, 2026 na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa…

    Continue Reading

  • WAANDISHI WAHIMIZWA KUJENGA UWEZO WA UCHAMBUZI KWA MAENDELEO YA TAALUMA – Habari Mpya

    WAANDISHI WAHIMIZWA KUJENGA UWEZO WA UCHAMBUZI KWA MAENDELEO YA TAALUMA – Habari Mpya

    Na Mwandishi Wetu Waandishi wa habari nchini wamehimizwa kuwekeza zaidi katika elimu, mafunzo na kujisomea ili kujenga uwezo wa kufanya uandishi wa uchambuzi unaolenga kuibua hoja za maendeleo na kutoa ukosoaji wa kujenga wenye manufaa kwa jamii. Wito huo umetolewa tarehe 16 Juni, 2026 na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa…

    Continue Reading

  • Tanzania, DRC kuimarisha usafirishaji mizigo Ziwa Tanganyika

    Tanzania, DRC kuimarisha usafirishaji mizigo Ziwa Tanganyika

    Mwanza. Kampuni ya Meli Tanzania (Tashico) na Kampuni ya Taifa ya Meli ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Lignes Maritimes Congolaises (LMC) zimesaini makubaliano ya miaka mitatu ya kuimarisha usafirishaji wa abiria na mizigo katika Ziwa Tanganyika, hatua inayotarajiwa kuongeza ufanisi wa biashara ya kikanda na kuunganisha masoko ya Afrika Mashariki na Kati. Makubaliano hayo…

    Continue Reading

  • WADAU WAVUTIWA ELIMU YA VIPIMO MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA – Habari Mpya

    WADAU WAVUTIWA ELIMU YA VIPIMO MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA – Habari Mpya

    Wadau mbalimbali waliotembelea Banda la Wakala wa Vipimo (WMA) katika siku ya kwanza ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Juni 16, 2026 wamekiri kuvutiwa na elimu inayotolewa na timu ya wataalamu kuhusu matumizi sahihi ya vipimo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, Nadhifa Nyoni kutoka Mamlaka ya Maji (TANGA UWASA), Rose Mmary (JWTZ) na Janeth…

    Continue Reading

  • NMB YAZINDUA SUPER APP, ELIMU YA FEDHA YAPEWA KIPAUMBELE – Habari Mpya

    NMB YAZINDUA SUPER APP, ELIMU YA FEDHA YAPEWA KIPAUMBELE – Habari Mpya

    Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB, Ruth Zaipuna (katikati), akiwa na Menejimenti Kuu ya benki hiyo wakionyesha ishara ya furaha mara baada ya uzinduzi wa NMB Mkononi Super App jijini Dar es Salaam, Jumanne, Juni 16, 2026 Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (kushoto), akijaribu…

    Continue Reading

  • Wananchi waipongeza serikali ujenzi kituo cha afya Kinole

    Wananchi waipongeza serikali ujenzi kituo cha afya Kinole

    MOROGORO: WANANCHI wa Kata ya Kinole, Tarafa ya Mkuyuni, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro wameipongeza Serikali kwa ujenzi wa Kituo cha Afya Kinole kitakachotoa huduma bora za afya. Wametoa pongezi hizo kwa nyakati tofauti baada ya Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026, Wazo Mwang’onda kuweka Jiwe la Msingi la mradi wa ujenzi…

    Continue Reading

  • Absa Dar Marathon yapiga jeki Hospitali Mwananyamala

    Absa Dar Marathon yapiga jeki Hospitali Mwananyamala

    DAR ES SALAAM: ABSA Dar City Marathon imetoa msaada wa vifaa tiba kwa Hospitali ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za Serikali za kuboresha huduma za afya, hususan kwa wajawazito, mama na watoto. Makabidhiano ya vifaa hivyo yamefanyika leo, Juni 16, 2026, kufuatia mafanikio ya mbio za…

    Continue Reading

  • Kiongozi wa wafugaji achukuliwa na wasiojulikana nyumbani kwake, Polisi…

    Kiongozi wa wafugaji achukuliwa na wasiojulikana nyumbani kwake, Polisi…

    Dar es Salaam. Hofu na sintofahamu vimetanda miongoni mwa wafugaji katika Wilaya ya Namtumbo, Mkoa wa Ruvuma baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wafugaji wilayani humo, Jiganga Kayungilo, kuchukuliwa waliodai kuwa ni askari na kuondoka naye katika mazingira yanayozua maswali. Sintofahamu hiyo imetokana na uvamizi wa watu waliodai kuwa askari na kuondoka naye pamoja…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports