Category: Habari

  • Shabiby ataka chombo maalumu kuchunguza matumizi ya Serikali

    Shabiby ataka chombo maalumu kuchunguza matumizi ya Serikali

    Dar es Salaam. Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kuanzisha chombo maalumu cha kuchunguza matumizi ya fedha katika wizara, taasisi na miradi ya maendeleo kabla ya kuendelea kutoa fedha zaidi, akisema hatua hiyo itasaidia kudhibiti matumizi yasiyo na tija na kuongeza ufanisi wa fedha za umma. Wakati Shabiby akieleza hayo, Mbunge wa Bariadi…

    Continue Reading

  • Diplomasia ya Tanzania ilivyofungua fursa za uchumi miaka 5 ya Samia

    Diplomasia ya Tanzania ilivyofungua fursa za uchumi miaka 5 ya Samia

    Mwaka 2021, Tanzania ilikuwa katika kipindi cha mpito. Dunia ilikuwa ikijinasua kutoka athari za janga la COVID-19 huku ushindani wa kuvutia uwekezaji, biashara, watalii na teknolojia ukiwa mkali zaidi kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya hivi karibuni. Ndani ya mazingira hayo, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ilianza kuandika…

    Continue Reading

  • Mwafaka Marekani na Iran utakavyoleta ahueni ya mafuta duniani

    Mwafaka Marekani na Iran utakavyoleta ahueni ya mafuta duniani

    Dar es Salaam. Makubaliano ya kusitisha vita kati ya Marekani na Iran yaliyothibitishwa na pande zote mbili yameibua matumaini mapya katika masoko ya nishati duniani. Ripoti zilizoripotiwa na mashirika mbalimbali ya habari kutoka ukanda huo yakiwemo BBC, Shirika la habari la Mehr pamoja na ukurasa wa mawasiliano wa Rais wa Marekani Donald Trump, zinafafanua makubaliano…

    Continue Reading

  • Bosi Oryx asifu mazingira bora uwekezaji sekta ya nishati

    Bosi Oryx asifu mazingira bora uwekezaji sekta ya nishati

    DAR ES SALAAM; Mkurugenzi Mkuu wa Oryx Energies Tanzania, Iman Mtafya, amesema mazingira bora ya uwekezaji yanayofanywa na Serikali katika sekta ya nishati ya mafuta na gesi imewezesha Oryx kuendelea kusogeza upatikanaji wa nishati hizo. Ametoa kauli hiyo leo  Juni 15,2026 wakati wa uzinduzi wa kituo kipya cha mafuta eneo la Wazo jijini Dar es…

    Continue Reading

  • Miaka mitano ya fursa mpya uchumi wa Tanzania

    Miaka mitano ya fursa mpya uchumi wa Tanzania

    DAR ES SALAAM; Rudisha  fikra nyuma kwa Tanzania ya mwaka 2021 yenye vijana waliokuwa wanajiuliza maswali kuhusu suala la ajira ziko wapi? Maswali yalikuwa mengi zaidi ya majibu. wasiwasi ulikuwa mwingi kuliko uhakika. Vichwa vingi vilijiuliza:  Tutavuka salama kweli kutatua tatizo la ajira? Huku wengine wakienda mbali na kuliita bomu. Ungana nami SYLIVESTRE DOMASA katika…

    Continue Reading

  • Utunzaji Salama wa Vimelea Wasisitizwa

    Utunzaji Salama wa Vimelea Wasisitizwa

    WATAALAMU wa maabara nchini wametakiwa kuzingatia kwa umakini mkubwa maadili na viapo vya taaluma yao ili kulinda jamii dhidi ya madhara yanayoweza kusababishwa na utunzaji usio salama wa vimelea hatarishi na smpuli zinazohifadhiwa kwa muda mrefu. Wito huo umetolewa na Mratibu wa Afya Moja kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Valentino Sanga,…

    Continue Reading

  • Urejeshaji duni mikopo ya elimu,teknolojia yatajwa kuwa suluhu

    Urejeshaji duni mikopo ya elimu,teknolojia yatajwa kuwa suluhu

    “MWAKA jana nilikuwa nimepata chuo  nikaomba mkopo lakini nilivyokosa, nikashindwa kwenda chuo,” anasema Singo Mrombo (20). Anaongeza: “Ninamtegemea mama yangu ambaye ndiye mzazi pekee, lakini na yeye hana uwezo wa kunilipia ada ya chuo na baba yangu mzazi sijawahi kumuona na sijui alipo.” Singo ambaye ni mkazi wa Mbezi, Dar es Salaam, anasema kwa sasa…

    Continue Reading

  • TZ, Comoro zaunganishwa safari mpya za Royah Air

    TZ, Comoro zaunganishwa safari mpya za Royah Air

    DAR ES SALAAM: Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) umeandika hatua mpya katika sekta ya usafiri wa anga baada ya kupokea rasmi safari za ndege za kampuni ya Royal Air zinazounganisha moja kwa moja Tanzania na Comoro. Uzinduzi wa safari hizo unatarajiwa kuimarisha usafiri wa abiria, usafirishaji wa mizigo na kukuza…

    Continue Reading

  • Serikali yataka ushirikiano mageuzi ya elimu

    Serikali yataka ushirikiano mageuzi ya elimu

    DAR ES SALAAM: SERIKALI imezitaka taasisi binafsi za elimu kuendelea kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa mageuzi ya elimu yanayolenga kuimarisha ujuzi, sayansi na teknolojia, huku ikiipongeza Shule ya Kimataifa ya Luminous kwa mchango wake katika kukuza ubora wa elimu nchini. Kauli hiyo imetolewa na Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Elimu (ADEM), Dkt.…

    Continue Reading

  • Trilioni 76 za maendeleo zilivyoibadili Tanzania

    Trilioni 76 za maendeleo zilivyoibadili Tanzania

    Mwaka 2021, mkazi wa Sumbawanga aliyekuwa akihitaji huduma ya CT Scan au matibabu ya kibingwa mara nyingi alilazimika kusafiri kilomita 326 kwenda Mbeya au zaidi ya kilomita 1,100 hadi Dar es Salaam. Kule Kibondo mkoani Kigoma, baadhi ya wanafunzi walitembea hadi kilomita sita kufika shuleni. Kitele, Mtwara Vijijini, mvua ziliponyesha daraja lililokuwepo lilifunikwa na maji…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports