Category: Habari
-

Urejeshaji duni mikopo ya elimu,teknolojia yatajwa kuwa suluhu
“MWAKA jana nilikuwa nimepata chuo nikaomba mkopo lakini nilivyokosa, nikashindwa kwenda chuo,” anasema Singo Mrombo (20). Anaongeza: “Ninamtegemea mama yangu ambaye ndiye mzazi pekee, lakini na yeye hana uwezo wa kunilipia ada ya chuo na baba yangu mzazi sijawahi kumuona na sijui alipo.” Singo ambaye ni mkazi wa Mbezi, Dar es Salaam, anasema kwa sasa…
-

TZ, Comoro zaunganishwa safari mpya za Royah Air
DAR ES SALAAM: Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) umeandika hatua mpya katika sekta ya usafiri wa anga baada ya kupokea rasmi safari za ndege za kampuni ya Royal Air zinazounganisha moja kwa moja Tanzania na Comoro. Uzinduzi wa safari hizo unatarajiwa kuimarisha usafiri wa abiria, usafirishaji wa mizigo na kukuza…
-

Serikali yataka ushirikiano mageuzi ya elimu
DAR ES SALAAM: SERIKALI imezitaka taasisi binafsi za elimu kuendelea kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa mageuzi ya elimu yanayolenga kuimarisha ujuzi, sayansi na teknolojia, huku ikiipongeza Shule ya Kimataifa ya Luminous kwa mchango wake katika kukuza ubora wa elimu nchini. Kauli hiyo imetolewa na Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Elimu (ADEM), Dkt.…
-

Trilioni 76 za maendeleo zilivyoibadili Tanzania
Mwaka 2021, mkazi wa Sumbawanga aliyekuwa akihitaji huduma ya CT Scan au matibabu ya kibingwa mara nyingi alilazimika kusafiri kilomita 326 kwenda Mbeya au zaidi ya kilomita 1,100 hadi Dar es Salaam. Kule Kibondo mkoani Kigoma, baadhi ya wanafunzi walitembea hadi kilomita sita kufika shuleni. Kitele, Mtwara Vijijini, mvua ziliponyesha daraja lililokuwepo lilifunikwa na maji…
-

Serikali yaendelea kuimarisha utayari kukabili dharura za afya
MOROGORO: SERIKALI kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) kupitia ufadhili wa Pandemic Fund imeendelea kutoa mafunzo maalumu ya kuijengea uwezo timu ya kitaifa ya magonjwa ya dharura na maafa kwa ajili ya utayari wa kukabiliana nayo. Mkurugenzi wa Huduma za Dharura na Maafa, Dk Erasto Sylvanus, amesema hayo mjini Morogoro wakati akifunga mafunzo…
-

Wataalamu kukutana Mwanza kujadili changamoto za jamii
MWANZA: WATALAAMU wa Maendeleo ya Jamii nchini wanatarajia kukutana katika mkutano mkuu wa mwaka kwa lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii ikiwemo mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinisa. Maafisa maendeleo hao zaidi ya 1,260 watakutana katika kikao cha siku tatu kuanzia Juni 17 -19 mwaka huu kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa Chama…
-

Samia kupokea gawio la mashirika ya umma Juni 30
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kupokea gawio na michango mingine kutoka mashirika ya umma na kampuni ambazo Serikali ina hisa katika hafla ya Siku ya Gawio 2026 itakayofanyika Juni 30, Ikulu jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo inakuja wakati Serikali ikiongeza msisitizo katika kuhakikisha uwekezaji wa umma unaleta matokeo yanayopimika…
-

Kamati ya Bajeti: Hatua za kubana matumizi Bajeti 2026/27 hazitekelezeki
Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, imesema imebaini hatua za kubana matumizi zilizowasilishwa na Serikali katika bajeti yake ya mwaka 2026/27, zinafanana na ambazo inazitaja miaka yote na zimekuwa hazitekelezeki. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mashimba Ndaki, amesema kamati hiyo pia, imebaini baadhi ya hatua hizo hazilengi kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.…
-

Watoto watatu waliopotea Lindi wakutwa porini wamenyongwa, wakatwa viungo
Lindi. Watoto watatu wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Kilimahewa wa Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi waliopotea Juni 8, 2026 wakiwa njiani kwenda madrasa wamekutwa wamefariki dunia kwa kunyongwa. Watoto hao ni Kulwa Mohamed (7) na Doto Mohamed (7), wanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Mitopitopi pamoja na Rehema Mohamed (6), mwanafunzi…
-

Mchengerwa aeleza mfumo wa kisheria upandikizaji viungo ulipofikia
Dar es Salaam. Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema Serikali ipo hatua za mwisho kuandaa mfumo imara wa kitaasisi na kisheria wa upandikizaji wa viungo utakaosaidia kuratibu huduma hizo kwa uwazi, uadilifu na usalama wa mgonjwa, mchangiaji pamoja na kuzingatia maadili ya kitabibu. Amesema mfumo huo utaanzia hatua ya tathimini ya mgonjwa, maandalizi ya upasuaji,…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











