Category: Habari

  • Kamati ya Bajeti: Hatua za kubana matumizi Bajeti 2026/27 hazitekelezeki

    Kamati ya Bajeti: Hatua za kubana matumizi Bajeti 2026/27 hazitekelezeki

    Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, imesema imebaini hatua za kubana matumizi zilizowasilishwa na Serikali katika bajeti yake ya mwaka 2026/27, zinafanana na ambazo inazitaja miaka yote na zimekuwa hazitekelezeki. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mashimba Ndaki, amesema kamati hiyo pia, imebaini baadhi ya hatua hizo hazilengi kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.…

    Continue Reading

  • Watoto watatu waliopotea Lindi wakutwa porini wamenyongwa, wakatwa viungo

    Watoto watatu waliopotea Lindi wakutwa porini wamenyongwa, wakatwa viungo

    Lindi. Watoto watatu wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Kilimahewa wa Wilaya ya  Ruangwa, mkoani Lindi waliopotea Juni 8, 2026 wakiwa njiani kwenda madrasa wamekutwa wamefariki dunia kwa kunyongwa. Watoto hao ni Kulwa Mohamed (7) na Doto Mohamed (7), wanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Mitopitopi pamoja na Rehema Mohamed (6), mwanafunzi…

    Continue Reading

  • Mchengerwa aeleza mfumo wa kisheria upandikizaji viungo ulipofikia

    Mchengerwa aeleza mfumo wa kisheria upandikizaji viungo ulipofikia

    Dar es Salaam. Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema Serikali ipo hatua za mwisho kuandaa mfumo imara wa kitaasisi na kisheria wa upandikizaji wa viungo utakaosaidia kuratibu huduma hizo kwa uwazi, uadilifu na usalama wa mgonjwa, mchangiaji pamoja na kuzingatia maadili ya kitabibu. Amesema mfumo huo utaanzia hatua ya tathimini ya mgonjwa, maandalizi ya upasuaji,…

    Continue Reading

  • AWESO AKESHA MITAMBONI USIKU KUHAKIKISHA MAJI YANATOKA MWANZA – Habari Mpya

    AWESO AKESHA MITAMBONI USIKU KUHAKIKISHA MAJI YANATOKA MWANZA – Habari Mpya

    NA: MWANDISHI WETU, MWANZA  Hakuna kulala. Hivi ndivyo unavyoweza kusema ndugu msomaji. Hii ni baada ya Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, kuamua kukesha mitamboni hadi usiku wa manane kuhakikisha maji yanatoka kwa wakazi wa Jiji la Mwanza.Aweso amepiga kambi katika kituo cha kusukuma maji cha Capripoint usiku wa kuamkia Juni 15, 2026.  Hii ni kufuatia…

    Continue Reading

  • Mwinyi atangaza Juni 17 siku ya mapumziko Zanzibar

    Mwinyi atangaza Juni 17 siku ya mapumziko Zanzibar

    Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametangaza siku ya Jumatano Juni 17, 2026 kuwa ya mapumziko ili kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislamu 1448 Hijiria. Katika taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Juni 15, 2026 na Kaimu Mkurugenzi Mawasiliano ya Rais Ikulu, Raqey Mohamed, Rais Mwinyi ametoa tamko hilo leo Jumatatu Juni 15, 2026…

    Continue Reading

  • HABARI PICHA WAZIRI MASAUNI ASHIRIKI KIKAO CHA BUNGE – Habari Mpya

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Dkt. Zeyana Abdallah Hamid wakati wa kikao cha Bunge jijini Dodoma leo Juni 15, 2026. Aliyekaa mbele ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile.

    Continue Reading

  • Marekani, Iran zakubaliana kusitisha mapigano, Hormuz kufunguliwa

    Marekani, Iran zakubaliana kusitisha mapigano, Hormuz kufunguliwa

    Washington/Tehran. Marekani na Iran zimetangaza kufikia makubaliano ya awali ya kusitisha vita vilivyodumu kwa miezi kadhaa na kufungua tena Mlango wa Bahari wa Hormuz, hatua iliyopunguza hofu katika soko la mafuta duniani huku bei zikianza kushuka. Makubaliano hayo, ambayo bado ni ya mfumo wa awali, yanatajwa kuwa hatua kubwa zaidi kuelekea kumaliza mgogoro uliozuka Februari…

    Continue Reading

  • Faru weupe kuongeza chachu ya uhifadhi nchini

    ARUSHA: SERIKALI itaendelea kuongeza nguvu katika uhifadhi wa wanyamapori aina ya faru ambao wapo haratini kutoweka kwa kuimarisha Mradi wa Kimkakati wa Uhifadhi wa Faru Weupe ili kuongeza chachu ya ongezeko la uhifadhi na utafiti wa wanyamapori waliopo nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hasaan Chande wakati wa hafla maalumu…

    Continue Reading

  • RAIS DKT. SAMIA KUPOKEA GAWIO LA SERIKALI JUNI 30 IKULU DAR ES SALAAM – Habari Mpya

    RAIS DKT. SAMIA KUPOKEA GAWIO LA SERIKALI JUNI 30 IKULU DAR ES SALAAM – Habari Mpya

    Naibu Msajili wa Hazina, Lightness Mauki, amesema Serikali itaendelea kuimarisha uwazi, uwajibikaji na usimamizi wa uwekezaji wa umma ili kuhakikisha rasilimali zilizowekezwa katika taasisi, mashirika ya umma na kampuni zenye hisa za Serikali zinaendelea kuleta tija kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Bi. Mauki amesema hayo leo Juni 15, 2026 wakati akizungumza na waandishi wa…

    Continue Reading

  • ITALIA KUWEKEZA BIASHARA YA KABONI TANZANIA – Habari Mpya

    ITALIA KUWEKEZA BIASHARA YA KABONI TANZANIA – Habari Mpya

    Ushirikiano baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SJMT) na Serikali ya Italia umeleta manufaa nchini ambapo taifa hilo limeonesha nia ya kufanya uwekezaji katika biashara ya kaboni na hifadhi ya mazingira kwa ujumla. Hayo yamebainika wakati Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports