Category: Habari
-

TANZANIA, CHINA KUENDELEZA USHIRIKIANO SEKTA YA ELIMU – Habari Mpya
Balozi wa Tanzania nchini China, Dkt. Suleiman Haji Suleiman, ameendelea na ziara yake inayolenga kukutana na wakuu wa vyuo vikuu mbalimbali nchini China ikiwemo Chuo cha Hong Kong Polytechnic University (HKPU) ambapo amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa chuo hicho, Prof Daniel Shek. Aidha, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wakuu wa shule za…
-

SGR kupunguza foleni ya malori Dar, kusafirisha makontena Dodoma
Dar es Salaam. Zaidi ya makontena 50 kwa siki yanatarajiwa kuanza kusafirishwa kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Dodoma kwa kutumia Reli ya Kisasa (SGR) kuanzia Julai 1, 2026, hatua inayolenga kupunguza msongamano wa malori jijini Dar es Salaam na kuongeza ufanisi wa uondoshaji wa mizigo bandarini. Foleni za malori katikati mwa Jiji la…
-

SGR kupunguza foleni ya malori Dar, kusafirisha makontena 50,000
Dar es Salaam. Zaidi ya makontena 50,000 yanatarajiwa kuanza kusafirishwa kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Dodoma kwa kutumia Reli ya Kisasa (SGR) kuanzia Julai 1, 2026, hatua inayolenga kupunguza msongamano wa malori jijini Dar es Salaam na kuongeza ufanisi wa uondoshaji wa mizigo bandarini. Foleni za malori katikati mwa Jiji la Dar es…
-
UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026 – Habari Mpya
Na Benny Mwaipaja, Dodoma Serikali imesema kuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma unatarajiwa kukamilika na kuanza kutumika ndani ya mwezi Septemba mwaka huu, hatua inayotarajiwa kuimarisha usafiri wa anga na kulipa hadhi zaidi jiji la Dodoma ambalo ni Makao Makuu ya nchi. Akizungumza wakati alipotembelea na kuona maendeleo ya mradi huo,…
-

UHAI WA CHAMA NI VIKAO – Habari Mpya
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Chama cha ACT WAZALENDO, Dkt. Nassra Nassor Omar, amewahimiza viongozi wa majimbo kuhakikisha wanafanya vikao vya chama kwa mujibu wa Katiba, akisisitiza kuwa uhai wa chama unategemea utekelezaji wa vikao hivyo. Dkt. Nassra, ambaye pia ni Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia nafasi za viti maalum kwa tiketi…
-

SERIKALI YAWAENZI WACHANGIA DAMU, YASISITIZA UCHANGIAJI WA HIARI KUOKOA MAISHA – Habari Mpya
Na Shaban K. Juma, Dar es Salaam Serikali imewataka wananchi kuendelea kujitokeza kuchangia damu kwa hiari na mara kwa mara ili kuhakikisha upatikanaji wa damu salama na ya kutosha kwa ajili ya kuokoa maisha ya wagonjwa wenye uhitaji nchini. Wito huo umetolewa leo Juni 14, 2026 na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence George Samizi,…
-
SIMBA SC YAENDELEZA MAKALI YAKE, YAICHAPA PAMBA JIJI 2-1 – Habari Mpya
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Mabao ya Simba SC yalifungwa na Elie Mpanzu na Libasse Gueye, huku bao la Pamba Jiji likifungwa na Mathew Momanyi. Simba imeendeleza ubabe wake kwa kuichapa Pamba Jiji na kuendelea kushika nafasi…
-

DKT. SHEKALAGHE AWATAKA WATAALAMU KUSHIRIKIANA KULINDA MAFANIKIO YA AFYA YA UZAZI NDANI NA NJE YA MIPAKA YA TANZANIA – Habari Mpya
Na Abdu Madenge, WAF – Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, amewataka wataalamu wa afya nchini kuendelea kushirikiana, kupeana nguvu na kubadilishana uzoefu ili kudumisha na kuendeleza mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya afya, hususan katika eneo la afya ya uzazi, mama na mtoto. Dkt. Shekalaghe amesema hayo tarehe…
-

Zanzibar yasaini makubaliano kuimarisha elimu jumuishi
Unguja. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, imesaini makubaliano ya ushirikiano na Shirikisho la Jumuiya ya Watu Wenye Ulemavu Norway (NAD) yenye thamani ya Sh3 bilioni kwa ajili ya kuimarisha elimu jumuishi kwa kipindi cha miaka mitano. Akizungumza wakati wa kusaini makubaliano hayo leo Jumapili Juni 14, 2026, Mjini Unguja, Katibu Mkuu wa…
-

Ado ataka kizazi kipya kuwa chachu mabadiliko ya jamii
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amewataka vijana wapya waliojiunga na chama hicho kutambua wajibu wao wa kupigania masilahi ya umma, haki bila ubaguzi na demokrasia ya kweli, akisisitiza vijana ndiyo nguvu muhimu katika kuleta mabadiliko ya kijamii na kisiasa nchini. Amezungumza hayo leo Jumapili, Juni 14, 2026 Makao Makuu ya ACT-Wazalendo…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











