Category: Habari
-
SIMBA SC YAENDELEZA MAKALI YAKE, YAICHAPA PAMBA JIJI 2-1 – Habari Mpya
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Mabao ya Simba SC yalifungwa na Elie Mpanzu na Libasse Gueye, huku bao la Pamba Jiji likifungwa na Mathew Momanyi. Simba imeendeleza ubabe wake kwa kuichapa Pamba Jiji na kuendelea kushika nafasi…
-

DKT. SHEKALAGHE AWATAKA WATAALAMU KUSHIRIKIANA KULINDA MAFANIKIO YA AFYA YA UZAZI NDANI NA NJE YA MIPAKA YA TANZANIA – Habari Mpya
Na Abdu Madenge, WAF – Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, amewataka wataalamu wa afya nchini kuendelea kushirikiana, kupeana nguvu na kubadilishana uzoefu ili kudumisha na kuendeleza mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya afya, hususan katika eneo la afya ya uzazi, mama na mtoto. Dkt. Shekalaghe amesema hayo tarehe…
-

Zanzibar yasaini makubaliano kuimarisha elimu jumuishi
Unguja. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, imesaini makubaliano ya ushirikiano na Shirikisho la Jumuiya ya Watu Wenye Ulemavu Norway (NAD) yenye thamani ya Sh3 bilioni kwa ajili ya kuimarisha elimu jumuishi kwa kipindi cha miaka mitano. Akizungumza wakati wa kusaini makubaliano hayo leo Jumapili Juni 14, 2026, Mjini Unguja, Katibu Mkuu wa…
-

Ado ataka kizazi kipya kuwa chachu mabadiliko ya jamii
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amewataka vijana wapya waliojiunga na chama hicho kutambua wajibu wao wa kupigania masilahi ya umma, haki bila ubaguzi na demokrasia ya kweli, akisisitiza vijana ndiyo nguvu muhimu katika kuleta mabadiliko ya kijamii na kisiasa nchini. Amezungumza hayo leo Jumapili, Juni 14, 2026 Makao Makuu ya ACT-Wazalendo…
-

Serikali yatoa wito uchangiaji damu wa hiari
Dar es Salaam. Serikali imewahimiza Watanzania kujitokeza kwa wingi na mara kwa mara kuchangia damu ili kusaidia kuokoa maisha ya maelfu ya wagonjwa, hususan akina mama wajawazito, watoto wenye upungufu wa damu, wagonjwa wa saratani na wenye ugonjwa wa selimundu. Wito huo umetolewa leo Jumapili, Juni 14, 2026 na Naibu Waziri wa Afya, Dk Florence…
-
MKATABA WA FEDHA ZA BARABARA YA KITUSHA–KINAMPANDA–KISANA–KISIRIRI UMESHASAINIWA – Habari Mpya
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema mkataba wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Barabara ya Kitusha–Kinampanda–Kisana–Kisiriri umeshasainiwa, hatua inayofungua njia ya kuanza kwa utekelezaji wa mradi huo unaotarajiwa kubadilisha shughuli za usafiri na uchumi katika maeneo ya Wilaya ya Iramba. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo, Jumapili Juni 14, 2026, wakati akizungumza, kusikiliza…
-

Watamani taasisi maalumu itakayoshughulikia AI Tanzania
Dar es Salaam. Licha ya uandaaji wa sera, miongozo na kanuni za teknolojia ya akili unde (AI) Tanzania, wataalamu katika eneo hilo wameshauri kuwepo kwa wakala au taasisi itakayoshughulikia masuala mazima ya teknolojia hiyo inayozidi kushika kasi kutokana na matumizi yake ya usaidizi. Taasisi hiyo maalumu itapaswa kusimamia maendeleo, uwekezaji, matumizi ikiwemo katika kufanya tafiti…
-
NAMNA VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA NA WANAOTOKA KWENYE MAZINGIRA MAGUMU VILIVYOSAIDIA KUPUNGUZA UKATILI KWA WATOTO. – Habari Mpya
Na Linda Moseka-Manyara Watoto ni taifa la kesho, msemo huu umezoeleka masikioni mwa wengi ukiwa umebeba maono makubwa ya maisha ya watoto wa kitanzania katika kuwaandaa kuwa watu muhimu kwenye jamii pale wanapofikisha umri wa utu uzima, ili waweze kulisaidia taifa kusonga mbele kimaendeleo kwa kutumia ujuzi, maarifa na vipaji walivyonavyo. Mara nyingi mchakato wa…
-

Sh24 bilioni kukabili Ebola, Mpox Afrika Mashariki
Arusha. Serikali ya Ujerumani imetoa msaada wa Euro 8 milioni (takribani Sh24.2 bilioni) kwa ajili ya kuimarisha uwezo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kukabiliana na magonjwa ya Ebola na Mpox katika nchi wanachama. Fedha hizo zinazotolewa kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW), zinalenga kuimarisha mifumo ya usalama wa afya ya kikanda, kuongeza uwezo…
-
WANANCHI NA WAMILIKI WAENDELEA KUSHIRIKISHWA – Habari Mpya
Serikali imeendelea kusisitiza ushirikishwaji wa wananchi na wamiliki wa ardhi katika utekelezaji wa Mpango wa Uendelezaji Upya wa Eneo la Sinza jijini Dar es Salaam, unaotarajiwa kutekelezwa kwa kipindi cha miaka 20 kuanzia mwaka 2026 hadi 2046. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, wananchi wa Sinza ambao ni…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed









