Category: Habari

  • Mfupa uliomshinda baba CCM, binyite auweza akiwa upinzani

    Mfupa uliomshinda baba CCM, binyite auweza akiwa upinzani

    Dodoma. Kila mwanadamu ana mapito yake hapa duniani. Wapo walioamini katika mafanikio lakini hawakufikia ndoto zao, na wengine walikutana na mafanikio bila kutarajia. Katika safari hiyo, wapo waliotarajia na huenda walijipa matumaini ya ushindi, lakini wakaishia njiani bila kujua upande wa kuelekea. Hata hivyo, jambo muhimu ni kuendelea kuamini katika ushindi bila kukata tamaa. Mifano…

    Continue Reading

  • Utoto wauzwa kwa Sh2,000 migodini Geita -1

    Utoto wauzwa kwa Sh2,000 migodini Geita -1

    Geita. Katika eneo la Kwa Emmanueli Lwamgasa mkoani Geita, mvulana mwenye miaka 14 (jina limehifadhiwa) hutumia siku za maisha yake kuvunja mawe chini ya jua kali ili kujikimu yeye na ndugu zake wawili wenye miaka 17 na 19. Kutokana na hali ngumu ya maisha ya familia yenye kipato kisichotabirika, ndugu hao hutegemea kila shilingi wanayoipata…

    Continue Reading

  • Katavi wanufaika huduma za afya za kibingwa bure

    Katavi wanufaika huduma za afya za kibingwa bure

    KATAVI; Wananchi wa Mkoa wa Katavi wamepongeza hatua ya Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Empower Society Build the Nation (ESBN) kuweka kambi maalumu ya huduma za afya bure, wakisema imewasaidia kupata matibabu ya kibingwa ambayo wengi wao walikuwa wakishindwa kuyamudu kutokana na gharama zake. Huduma hizo zinazotolewa kwa siku saba zinahusisha upimaji wa magonjwa mbalimbali,…

    Continue Reading

  • UJERUMANI YAIFUMUA CURACAO KWA KIPIGO CHA 7-1 KOMBE LA DUNIA

    Timu ya Taifa ya Ujerumani imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Curacao katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Dunia. Ujerumani ipo Kundi E, ambapo imefanikiwa kujikusanyia pointi tatu muhimu na kuongoza kundi hilo

    Continue Reading

  • TANZANIA, CHINA KUENDELEZA USHIRIKIANO SEKTA YA ELIMU – Habari Mpya

    TANZANIA, CHINA KUENDELEZA USHIRIKIANO SEKTA YA ELIMU – Habari Mpya

    Balozi wa Tanzania nchini China, Dkt. Suleiman Haji Suleiman, ameendelea na ziara yake inayolenga kukutana na wakuu wa vyuo vikuu mbalimbali nchini China ikiwemo Chuo cha Hong Kong Polytechnic University (HKPU) ambapo amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa chuo hicho, Prof Daniel Shek. Aidha, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wakuu wa shule za…

    Continue Reading

  • SGR kupunguza foleni ya malori Dar, kusafirisha makontena Dodoma

    SGR kupunguza foleni ya malori Dar, kusafirisha makontena Dodoma

    Dar es Salaam. Zaidi ya makontena 50 kwa siki yanatarajiwa kuanza kusafirishwa kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Dodoma kwa kutumia Reli ya Kisasa (SGR) kuanzia Julai 1, 2026, hatua inayolenga kupunguza msongamano wa malori jijini Dar es Salaam na kuongeza ufanisi wa uondoshaji wa mizigo bandarini. Foleni za malori katikati mwa Jiji la…

    Continue Reading

  • SGR kupunguza foleni ya malori Dar, kusafirisha makontena 50,000

    SGR kupunguza foleni ya malori Dar, kusafirisha makontena 50,000

    Dar es Salaam. Zaidi ya makontena 50,000 yanatarajiwa kuanza kusafirishwa kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Dodoma kwa kutumia Reli ya Kisasa (SGR) kuanzia Julai 1, 2026, hatua inayolenga kupunguza msongamano wa malori jijini Dar es Salaam na kuongeza ufanisi wa uondoshaji wa mizigo bandarini. Foleni za malori katikati mwa Jiji la Dar es…

    Continue Reading

  • UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026 – Habari Mpya

    Na Benny Mwaipaja, Dodoma Serikali imesema kuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma unatarajiwa kukamilika na kuanza kutumika ndani ya mwezi Septemba mwaka huu, hatua inayotarajiwa kuimarisha usafiri wa anga na kulipa hadhi zaidi jiji la Dodoma ambalo ni Makao Makuu ya nchi. Akizungumza wakati alipotembelea na kuona maendeleo ya mradi huo,…

    Continue Reading

  • UHAI WA CHAMA NI VIKAO – Habari Mpya

    UHAI WA CHAMA NI VIKAO – Habari Mpya

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Chama cha ACT WAZALENDO, Dkt. Nassra Nassor Omar, amewahimiza viongozi wa majimbo kuhakikisha wanafanya vikao vya chama kwa mujibu wa Katiba, akisisitiza kuwa uhai wa chama unategemea utekelezaji wa vikao hivyo. Dkt. Nassra, ambaye pia ni Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia nafasi za viti maalum kwa tiketi…

    Continue Reading

  • SERIKALI YAWAENZI WACHANGIA DAMU, YASISITIZA UCHANGIAJI WA HIARI KUOKOA MAISHA – Habari Mpya

    SERIKALI YAWAENZI WACHANGIA DAMU, YASISITIZA UCHANGIAJI WA HIARI KUOKOA MAISHA – Habari Mpya

    Na Shaban K. Juma, Dar es Salaam Serikali imewataka wananchi kuendelea kujitokeza kuchangia damu kwa hiari na mara kwa mara ili kuhakikisha upatikanaji wa damu salama na ya kutosha kwa ajili ya kuokoa maisha ya wagonjwa wenye uhitaji nchini. Wito huo umetolewa leo Juni 14, 2026 na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence George Samizi,…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports