Category: Habari

  • CHATANDA AUNGANA NA UWT LIWALE KUMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UCHAPAKAZI – Habari Mpya

    CHATANDA AUNGANA NA UWT LIWALE KUMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UCHAPAKAZI – Habari Mpya

    NA: MWANDISHI WETU – LIWALE Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Liwale mkoani Lindi, umeratibu kongamano maalum la kumpongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutokana na uchapakazi na uwajibikaji wake ambao ni nguzo muhimu katika kuchochea maendeleo endelevu nchini. Kongamano hilo limefanyika wilayani humo Juni 13, 2026, ambapo Mwenyekiti…

    Continue Reading

  • Epuka kuoa au kuolewa katika jamii hizi

    Epuka kuoa au kuolewa katika jamii hizi

    Canada. Kuna jamii nyingi zenye mila za ajabu na ovyo. Leo, tutadurusu jamii zenye mila mbovu za ndugu kwa ndugu kurukiana hata nyingine kuoana kwa sababu na visingizio mbalimbali. Katika kudurusu mila za ndugu kwa ndugu kuwa na uhusiano kingono hata kuoana, kuna baadhi ya visababishi. Mojawapo ya visababishi hivi ni eti kuepuka mali kwenda…

    Continue Reading

  • PROF. SHEMDOE AIELEKEZA KAMPUNI YA CRBC KUKAMILISHA UJENZI WA BARABARA 7 UBUNGO IFIKAPO AGOSTI 14, 2026 – Habari Mpya

    PROF. SHEMDOE AIELEKEZA KAMPUNI YA CRBC KUKAMILISHA UJENZI WA BARABARA 7 UBUNGO IFIKAPO AGOSTI 14, 2026 – Habari Mpya

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe akitoa maelekezo kwa Mkandarasi kampuni ya China Railways and Bridges Corporation (CRBC), wakati wa ziara yake ya kukagua barabara zinazojengwa kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Jiji la Dar es Salaam Awamu ya Pili (DMDP II) katika…

    Continue Reading

  • Sifa kuu tatu za upendo wa kweli wa Mungu

    Sifa kuu tatu za upendo wa kweli wa Mungu

    Bwana Yesu asifiwe wapendwa katika Kristo! Ninaitwa Mchungaji Gasper Madumla. Karibu kwenye tafakari ya Neno la Mungu leo Jumapili. Ni neema kubwa kukutana katika kipindi hiki cha kujifunza Neno la Mungu. Ninaamini kwa rehema za Bwana mnaendelea vizuri pamoja na familia zenu na kwamba Mungu anaendelea kuwatendea makuu katika maisha yenu. Leo tutatafakari somo muhimu…

    Continue Reading

  • MRADI WA EACOP UMETOA ZAIDI YA AJIRA 3,000 MKOANI SINGIDA-MHE.SALOME – Habari Mpya

    MRADI WA EACOP UMETOA ZAIDI YA AJIRA 3,000 MKOANI SINGIDA-MHE.SALOME – Habari Mpya

    Iramba, Singida Zaidi ya ajira 3,000 zimetolewa mkoani Singida kupitia utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), huku wananchi wakinufaika pia kwa kutoa huduma mbalimbali ikiwemo kuuza vyakula, kukodisha vyombo vya usafiri na kutoa huduma nyingine zinazohitajika wakati wa utekelezaji wa mradi huo, hatua inayochangia kuongeza kipato kwa jamii zinazouzunguka…

    Continue Reading

  • Hiki ndicho kinakwenda kutokea kesho kesi ya Baba Levo

    Hiki ndicho kinakwenda kutokea kesho kesi ya Baba Levo

    Kigoma. Sasa ni rasmi shauri la uchaguzi kupinga ushindi wa Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando au ‘Baba Levo’ kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) kesho linaingia katika hatua muhimu ya usikilizwaji, baada ya kuvuka viunzi vya hatua mbalimbali za kisheria. Hatua hiyo inakuja sambamba na hatua ya Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, naye kutoa…

    Continue Reading

  • NGIZWE MCHUNU: Kuchoma nyumba hakutazuia harakati kupinga wahamiaji – 3

    NGIZWE MCHUNU: Kuchoma nyumba hakutazuia harakati kupinga wahamiaji – 3

    Kuna picha moja ambayo imekuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii ya Afrika Kusini tangu Mei 10, 2026 inayobeba taswira ya jambo la msingi lakini la kutisha kuhusu wakati huu katika historia ya nchi hiyo. Katika picha hiyo, Ngizwe Mchunu anaonekana amesimama katikati ya magofu ya nyumba zake (rondavels) zilizochomwa moto huko Mbumbulu. Mbali na picha…

    Continue Reading

  • Chunga mambo haya ukitaka kuoa au kuolewa

    Chunga mambo haya ukitaka kuoa au kuolewa

    Dar es Salaam. Watu wengi huingia kwenye ndoa wakiwa na matumaini makubwa ya furaha, mafanikio na utulivu wa maisha, lakini si wote huchukua muda wa kutafakari kwa kina kabla ya kufanya uamuzi huo mkubwa.  Kuoa au kuolewa si hatua ya majaribio, bali ni ahadi ya maisha inayohitaji utayari wa kiakili, kihisia na kiroho. Katika dunia…

    Continue Reading

  • Ndoinyo ataja kitakachomaliza changamoto Ngorongoro

    Ndoinyo ataja kitakachomaliza changamoto Ngorongoro

    Dodoma. Mbunge wa Ngorongoro, Yannick Ndoinyo amesema ushirikishwaji wa wananchi na kusikilizwa kwa maoni yao, ndiyo njia itakayomaliza changamoto zinazoikabili Ngorongoro, badala ya kutegemea uhamishaji wa watu pekee. Ndoinyo amesema wananchi wengi wa wilaya hiyo hawataki kuhama kutoka maeneo yao ya asili, licha ya kuunga mkono juhudi za uhifadhi zinazoendelea katika eneo hilo. Amesisitiza kuwa…

    Continue Reading

  • Ulaji wa pamoja siri ya afya bora kwa familia

    Ulaji wa pamoja siri ya afya bora kwa familia

    Dar es Salaam. Katika dunia ya sasa iliyojaa pilikapilika za maisha, familia nyingi zimejikuta zikikosa muda wa kukaa pamoja hata wakati wa kula. Wengine hula kila mmoja kwa wakati wake kutokana na kazi, shule au matumizi makubwa ya simu na televisheni. Hata hivyo, wataalamu wa afya na ustawi wa jamii wanaeleza kuwa kula pamoja kama…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports