Category: Habari

  • Tujiulize kama babu na bibi bado ni hazina ya malezi

    Tujiulize kama babu na bibi bado ni hazina ya malezi

    Dar es Salaam. Katika miaka ya hivi karibuni, mfumo wa familia umeendelea kubadilika kwa kasi kubwa. Wazazi wengi wanatumia muda mwingi kazini, watoto wanakua katika mazingira ya kidijitali, huku majukumu ya malezi yakizidi kuwa changamoto. Katikati ya mabadiliko hayo, swali linalojitokeza ni kama nafasi ya babu na bibi katika malezi ya watoto bado ina nguvu…

    Continue Reading

  • Mpe nafasi mke asaidie kujenga nyumba yako

    Mpe nafasi mke asaidie kujenga nyumba yako

    ​Katika mfumo wa kiasili wa jamii nyingi, mwanamume amekuwa akitazamwa kama nguzo pekee ya familia, kama mtu mwenye kutoa uamuzi, mtafutaji wa kipato, na mlinzi. Hata hivyo, ulimwengu wa sasa unahitaji mtazamo mpana zaidi. “Kujenga nyumba” hapa hakumaanishi tu matofali na saruji, bali ni ujenzi wa familia imara, yenye maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kiroho.…

    Continue Reading

  • Kliniki za sheria sasa kimbilio la wanandoa

    Kliniki za sheria sasa kimbilio la wanandoa

    Dar es Salaam. “Tulikaa zaidi ya miaka minne ndani ya nyumba moja bila kusemezana.” Hayo ni maelezo ya mmoja wa wanandoa waliofika katika kliniki ya sheria ya ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali jijini Dar es Salaam, wakisaka suluhisho la mgogoro uliowafanya waishi chini ya paa moja kama wageni. Kwa zaidi ya miaka minne, kila…

    Continue Reading

  • NMB YAPELEKA ELIMU YA FEDHA KWA MAELFU YA VIJANA – Habari Mpya

    NMB YAPELEKA ELIMU YA FEDHA KWA MAELFU YA VIJANA – Habari Mpya

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Alex Malasusa (kushoto), akizungumza na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB Bank Plc, Filbert Mponzi (wa pili kulia), na Mkuu wa Mauzo na Mtandao wa Matawi wa NMB, Donatus Richard (wa pili kushoto), mara baada ya kuzindua rasmi Tamasha la Twen’Zetu…

    Continue Reading

  • MGONGANO WA MASLAHI WATAJWA KURUDISHA NYUMA MAENDELEO – Habari Mpya

    MGONGANO WA MASLAHI WATAJWA KURUDISHA NYUMA MAENDELEO – Habari Mpya

    Na, mwandishi wetu – Arusha Mgongano wa maslahi kwa watumishi wa umma umetajwa kuathiri ufanisi kwenye utendaji na majukumu ya Serikali kutokana na matokeo hasi ya vitendo hivyo vinavyopelekea kuchochea mazingira ya rushwa na kujinufaisha binafsi badala ya ofisi na kukwamisha utoaji wa huduma bora kwa wananchi.  Hayo yameelezwa mapema mwishoni mwa wiki Jijini Arusha…

    Continue Reading

  • KUMBE KAMISHNA BADRU YUPO FITI KINOMA – Habari Mpya

    KUMBE KAMISHNA BADRU YUPO FITI KINOMA – Habari Mpya

    Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro Abdul-Razaq Badru ameongoza mbio za Fame Marathon zilizofanyika leo tarehe 14 Juni, 2026 katika mji wa Karatu mkoani Arusha. Mbio hizo zilizokuwa na umbali wa Kilomita 21, 10, 05 na 02 zimeratibiwa na Hospitali ya Fame iliyopo Karatu na kuhusisha takribani wakimbiaji 650 kutoka ndani…

    Continue Reading

  • WATAALAMU KUTOKA UGANDA NA KENYA WATEMBELEA TMA KUJIFUNZA MIFUMO YA TAHADHARI ZA MAPEMA – Habari Mpya

    WATAALAMU KUTOKA UGANDA NA KENYA WATEMBELEA TMA KUJIFUNZA MIFUMO YA TAHADHARI ZA MAPEMA – Habari Mpya

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imepokea wataalamu wa hali ya hewa na uratibu wa maafa kutoka Uganda na Kenya pamoja na wataalamu kutoka Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupunguza Hatari za Maafa (UNDRR), kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu kuhusu mifumo ya utoaji wa tahadhari za mapema dhidi ya majanga yanayosababishwa…

    Continue Reading

  • Simulizi mvua zilivyowaacha bibi, wajukuu kukosa makazi

    Simulizi mvua zilivyowaacha bibi, wajukuu kukosa makazi

    Mbeya. Usiku ambao wengi walikuwa wamelala kwa utulivu, kwa Catherine Fatika (80) na wajukuu wake ulikuwa mwanzo wa simulizi ya maumivu, hofu na mapambano ya kila siku ya kuendelea kuishi. Imeelezwa siku ya tukio mvua kubwa ilinyesha ikiambatana na upepo mkali Februari mwaka huu na kuibomoa nyumba waliyokuwa wakiishi katika Mtaa wa Tonya, Kata ya…

    Continue Reading

  • Kihongosi awataja Chadema kuhusika katika vurugu, wenyewe wamjibu

    Kihongosi awataja Chadema kuhusika katika vurugu, wenyewe wamjibu

    Dodoma. Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiwatuhumu chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa kimeacha ajenda ya siasa na badala yake wamekuwa wanaharakati wa kuhamasisha vurugu na maandamano, chama hicho cha upinzani kimejibu hoja hizo kikisema hazina mashiko wala ukweli. Akizungumzia na vyombo vya habari jijini Dodoma leo Jumamosi Juni 23,2026, Katibu wa Itikadi, Mafunzo…

    Continue Reading

  • Huu hapa ujumbe wa Lissu Dar, Msigwa akiomba radhi

    Huu hapa ujumbe wa Lissu Dar, Msigwa akiomba radhi

    Dar/Iringa. Wakati aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa amewaomba radhi wananchi kwenye mkutano wa hadhara, ujumbe wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu umewekwa wazi, akitaka mikutano ya hadhara ya Dar es Salaam aachiwe yeye ili aihutubie atakapotoka gerezani. Msigwa ameomba msamaha huo leo Jumamosi Juni 13, 2026 katika mkutano…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports