Category: Habari

  • WACHIMBAJI WATAKIWA KUJIUNGA WFC  – Habari Mpya

    Na Mwandishi wetu, Mirerani WACHIMBAJI wa madini nchini wametakiwa kuwalipia wafanyakazi wao asilimia 0.5 ya mishahara yao ili kuwachangia kwenye mfuko wa fidia kwa wafanyakazi utakaowanufaisha pindi wakipata madhila kupitia mafao saba. Mwakilishi wa Meneja mkuu wa mfuko wa fidia kwa wafanyakazi (WCF) Naanjela Msangi ameeleza hayo akizungumza na viongozi wa wachimbaji madini ya Tanzanite…

    Continue Reading

  • FEDHA ZA MAJI, BARABARA NA UMEME KWENDA MOJA KWA MOJA KWENYE MIFUKO HUSIKA – Habari Mpya

    FEDHA ZA MAJI, BARABARA NA UMEME KWENDA MOJA KWA MOJA KWENYE MIFUKO HUSIKA – Habari Mpya

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imewasilisha bungeni mapendekezo yatakayowezesha fedha za miradi ya maendeleo katika sekta za maji, barabara na nishati kupelekwa moja kwa moja kwenye mifuko husika ili kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo, Jumamosi Juni 13, 2026, alipokuwa akizungumza…

    Continue Reading

  • CCM: Kuna wanasiasa wanahamasisha vurugu

    CCM: Kuna wanasiasa wanahamasisha vurugu

    DODOMA: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kuendelea kulinda amani, umoja na mshikamano wa taifa, akidai wana taarifa za kuaminika kuhusu mipango ya kuhamasisha vurugu kupitia maandamano yanayoratibiwa na baadhi ya makundi ya kisiasa. Akizungumza na waandishi wa habari, Kihongosi amesema CCM imepokea taarifa zinazoonesha…

    Continue Reading

  • CCM yawaonya wanaohamasisha uvunjifu wa amani

    CCM yawaonya wanaohamasisha uvunjifu wa amani

    DODOMA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuunga mkono juhudi za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, za kuharakisha maendeleo ya wananchi huku kikisisitiza kuwa amani, umoja na mshikamano ni msingi muhimu wa maendeleo ya taifa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Juni 13,2026 Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa…

    Continue Reading

  • KAMATI YA UTAFITI YAPENDEKEZA MFUKO MAALUM KUINUA WACHIMBAJI WADOGO – Habari Mpya

    KAMATI YA UTAFITI YAPENDEKEZA MFUKO MAALUM KUINUA WACHIMBAJI WADOGO – Habari Mpya

    Na John Bukuku – Dar es Salaam Mwenyekiti wa Kamati ya Utafiti wa Kuendeleza Wachimbaji Wadogo nchini Tanzania, Victor Tesha, amesema sekta ya madini inaendelea kuwa moja ya nguzo muhimu za mageuzi ya uchumi wa taifa kutokana na mchango wake katika ajira, mapato ya serikali, fedha za kigeni pamoja na kuchochea ukuaji wa sekta nyingine…

    Continue Reading

  • Waziri Mkuu apiga marufuku ukamataji bidhaa za wafanyabiashara

    Waziri Mkuu apiga marufuku ukamataji bidhaa za wafanyabiashara

    Dar es Salaam. Wafanyabiashara wadogo nchini wamepata ahueni baada ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kupigilia msumari onyo kwa watendaji na maofisa wa udhibiti wanaokamata bidhaa za wananchi kwa madai ya ukaguzi, akisema vitendo hivyo vinaharibu mitaji ya watu na kuwatumbukiza kwenye umaskini. Agizo kama hilo alilitoa Desemba 8, 2025, akiwa mkoani Dodoma alipowataka viongozi…

    Continue Reading

  • SERIKALI YAWEKA MKAKATI MAALUM KUINUA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI – Habari Mpya

    SERIKALI YAWEKA MKAKATI MAALUM KUINUA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI – Habari Mpya

    Na John Bukuku – Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga kuifanya sekta ya madini kuwa injini kubwa ya ukuaji wa uchumi, uzalishaji wa ajira na kupunguza umasikini kupitia uwezeshaji wa wachimbaji wadogo…

    Continue Reading

  • MCHENGERWA ATEMA CHECHE NZITO UFUNGUZI WA MAFUNZO YA MADIWANI WA CCM PWANI – Habari Mpya

    MCHENGERWA ATEMA CHECHE NZITO UFUNGUZI WA MAFUNZO YA MADIWANI WA CCM PWANI – Habari Mpya

    Madiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani wametakiwa kujenga mising imara iya kuwa na uzalendo na Taifa lao ikiwa  pamoja na kuweka mikakati  kabambe ya kupambana na kero na chanagamoto mbali mbali za wananchi ili kuweza kuzitafuta ufumbuzi. Hayo yamebainishwa na  Mjumbe wa halmashauri kuu ya (CCM) Taifa  Mohamed Mchengerwa (MNEC)  ambaye pia…

    Continue Reading

  • UVCCM KILIMANJARO “VIJANA MSITUMIKE KUVUNJA AMANI” – Habari Mpya

    UVCCM KILIMANJARO “VIJANA MSITUMIKE KUVUNJA AMANI” – Habari Mpya

    VIJANA wameaswa kutokukubali kurubuniwa, kushawishiwa wala kutumika kwa namna yoyote ili kuhatarisha Amani mshikamano na umoja wa Taifa kwa maslahi binafsi ya watu au makundi yenye nia zisizo njema kwa nchi. Tamko hilo limetolewa leo na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro, Ivan Moshi mara baada ya kumalizika kwa…

    Continue Reading

  • Yanga wakitaka lao usilete mdomo!

    Yanga wakitaka lao usilete mdomo!

    KIGOMA;YANGA wakitaka lao usilete mdomo! Pengine ndivyo unavyoweza kuzungumzia matokeo ya mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara kati ya Mashujaa ya Kigoma na Yanga ya Dar es Salaam uliomalizika muda mfuoi uliopita Uwanja wa lake Tanganyika, Kigoma na wenyeji kulala kwa mabao 0-2. Kutokana na matokeo hayo Yanga imezidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports