Category: Habari

  • YANGA YAITOA SIMBA KILELENI LIGI KUU TANZANIA BARA – Habari Mpya

    Mabigwa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC imerejesha kileleni mwa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo uliochezwa leo Juni 18, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Mabao ya haraka yaliyofungwa na kiungo Pacome Zouzoua dakika ya 52 na mshambuliaji Laurindo…

    Continue Reading

  • Bajeti Kuu ya Zanzibar ya Sh8 trilioni yapita

    Bajeti Kuu ya Zanzibar ya Sh8 trilioni yapita

    Unguja. Bajeti Kuu ya Serikali Zanzibar imepitishwa, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Juma Malik akisisitiza Serikali kuendelea kukopa lakini deni hilo italilipa yenyewe na sio mwananchi kama inavyoelezwa. Bajeti ya Serikali iliyopitishwa leo Juni 18, 2026 na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi ni Sh8 trilioni huku deni la Taifa likifikia Sh3 trilioni. Hata hivyo,…

    Continue Reading

  • AWAMU YA NNE YA TUZO ZA WATAFITI YAFUNGULIWA, BILIONI 1.5 ZIMETENGWA – Habari Mpya

    AWAMU YA NNE YA TUZO ZA WATAFITI YAFUNGULIWA, BILIONI 1.5 ZIMETENGWA – Habari Mpya

    Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma  Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefungua rasmi dirisha la Awamu ya Nne ya Tuzo kwa watafiti na wahadhiri wanaochapisha matokeo ya tafiti katika majarida yenye hadhi ya juu kimataifa.Akizungumza na waandishi wa habari Juni 18, 2026 jijini Dodoma, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda…

    Continue Reading

  • 75 wakamatwa Tanga katika operesheni maalumu za Polisi

    75 wakamatwa Tanga katika operesheni maalumu za Polisi

    Tanga. Watu 75 wamekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga kufuatia msako maalumu uliofanyika katika maeneo mbalimbali, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, amesema kukamatwa kwa watuhumiwa hao kumetokana na operesheni zilizoendeshwa kuanzia Mei hadi Juni…

    Continue Reading

  • WAZIRI KIJAJI AZINDUA MATOKEO YA SENSA YA KITAIFA YA WANYAMAPORI JIJINI ARUSHA – Habari Mpya

    Na Happy Lazaro, Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji, ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) pamoja na wadau wa uhifadhi kutumia matokeo ya Sensa ya Kitaifa ya Wanyamapori kufanya tathmini ya kina kuhusu hali ya swala twiga ili kubaini sababu za kupungua kwa idadi ya…

    Continue Reading

  • Mawakili walivyochuana mahakamani kesi ya ubunge wa Baba Levo

    Mawakili walivyochuana mahakamani kesi ya ubunge wa Baba Levo

    Kigoma.  Wakili wa walalamikaji katika kesi ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini, John Seka ameieleza Mahakama kuwa, walalamikaji wameshindwa kuwasilisha kwa wakati maelezo ya mashahidi wao kutokana na kupewa muda mfupi. Wakili Seka amebainisha hayo leo Juni 18, 2026, wakati wa usikilizwaji wa maombi madogo ya nyongeza ya muda wa kuwasilisha maelezo hayo yaliyowasilishwa…

    Continue Reading

  • VYOMBO VYA HABARI VILINDE MASLAHI YA WATOTO KATIKA UTOAJI WA TAARIFA – Habari Mpya

    VYOMBO VYA HABARI VILINDE MASLAHI YA WATOTO KATIKA UTOAJI WA TAARIFA – Habari Mpya

    Na John Bukuku, Dar es Salaam   Waandishi, watangazaji na waandaji wa vipindi vya watoto wametakiwa kuzingatia maadili na kanuni za kitaaluma katika kuripoti masuala ya watoto ili kulinda usalama, haki na ustawi wao. Akizungumza wakati wa kuwasilisha mada katika mafunzo ya siku mbili kwa waandaji na watangazaji wa vipindi vya watoto kuhusu malezi yaliyofanyika…

    Continue Reading

  • HADI SASA TANZANIA HAINA MGONJWA WA EBOLA – Habari Mpya

    HADI SASA TANZANIA HAINA MGONJWA WA EBOLA – Habari Mpya

    Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma  Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema kuwa hadi sasa Tanzania haina mgonjwa wa Ebola na hali ya usalama wa afya nchini inaendelea kuwa nzuri licha ya tishio la ugonjwa huo katika nchi jirani za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Uganda. Akizungumza na waandishi Juni 17,2026 Jijini Dodoma…

    Continue Reading

  • Msajili atoa kauli sakata la mamilioni ya ruzuku Chadema

    Msajili atoa kauli sakata la mamilioni ya ruzuku Chadema

    Dar es Salaam. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikidai kuzuiwa ruzuku yake ya Sh500 milioni, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekitaka chama hicho kiache kulalamika, kisubiri taratibu. Ofisi hiyo imefafanua kuwa mchakato wa kushughulikia fedha hizo unaendelea kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa, baada ya chama hicho kuwasilisha barua ya kuomba fedha…

    Continue Reading

  • Rais wa Namibia kufanya ziara ya kitaifa Tanzania

    Rais wa Namibia kufanya ziara ya kitaifa Tanzania

    Dar es Salaam. Rais wa Namibia, Dk Netumbo Nandi-Ndaitwah, anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kesho Ijumaa, Juni 19, 2026, kwa ziara ya kitaifa yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa kihistoria na ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili. Ziara hiyo itakuwa ya pili kwa Rais Nandi-Ndaitwah kutembelea Tanzania tangu alipoingia madarakani Desemba 2024 hatua inayotajwa kuendelea kuimarisha…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports