Category: Habari
-

UPATIKANAJI UMEME KUENDELEA KUIMARIKA MKOANI IRINGA— MHE. SALOME – Habari Mpya
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amesema Serikali inaendelea kufanya jitihada mbalimbali ili kuimarisha upatikanaji wa umeme katika Mkoa wa Iringa. Amesema tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Mkoa wa Iringa umepokea zaidi ya shilingi bilioni 124 kwa ajili ya kuimarisha huduma ya umeme na…
-

Viboko kwenye malezi ni nidhamu au madhara?
Dar es Salaam. Katika familia nyingi za Kiafrika, adhabu za kimwili zimekuwa sehemu ya malezi kwa watoto kwa muda mrefu. Wazazi na walezi wengi waliamini kuwa viboko ni njia sahihi ya kumrekebisha mtoto anapokosea. Hata hivyo, kadiri nyakati zinavyobadilika na tafiti kuhusu ukuaji wa mtoto kuongezeka, mjadala wa matumizi ya viboko katika malezi unaendelea kushika…
-
NILIVYOPATA SCHOLARSHIP YA KUSOMA NJE BAADA YA KUKATALIWA MARA NYINGI NA KUAMBIWA SINA CONNECTIONS – Habari Mpya
Ndoto yangu kubwa tangu nikiwa mdogo ilikuwa kusoma nje ya nchi. Nilikuwa naamini elimu ingeweza kubadilisha maisha yangu na ya familia yangu. Kila mara nilikuwa nikisoma kwa bidii nikijua siku moja ningepata nafasi ya kusoma kwenye chuo kizuri na kujenga maisha bora ya baadaye. Lakini safari haikuwa rahisi kama nilivyotarajia. Baada ya kumaliza masomo yangu,…
-

DCEA yateketeza kilo 504 za heroini Mtwara
Mtwara. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza kilo 504.36 za heroini zilizokamatwa kutoka kwa raia saba wa Iran katika Bahari ya Hindi ndani ya eneo tengefu la kiuchumi wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi. Uteketezaji huo umefanyika leo Mei 23, 2026 kufuatia amri…
-

Gati namba 12 kujengwa bandarini kukabiliana na wingi wa mizigo
Dar es Salaam. Serikali imeanza mchakato wa kujenga magati 12 katika Bandari ya Dar es Salaam kukabiliana na ongezeko la mizigo na msongamano wa meli. Kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Serikali imesema ongezeko la mizigo na meli limeanza kuzidi uwezo wa miundombinu iliyopo, hivyo kuhitaji uwekezaji zaidi katika magati, maeneo ya kuhifadhi mizigo na…
-

Mwili wa mwekezaji Mchina kuchomwa moto Makumbusho
Dar es Salaam. Mwili wa mfanyabiashara wa asili ya China, Bhaozang Ge unatarajiwa kuchomwa moto kesho Mei 24, 2026 katika eneo maalumu la Makumbusho jijini Dar es Salaam, na majivu yake kusafirishwa kwenda China kwa taratibu nyingine za mazishi kwa mujibu wa mila za familia yake. Katika simulizi ya huzuni na kumbukizi, mdogo wa marehemu,…
-

Yanayowakuta watumiaji wa viagra kuongeza nguvu za kiume
Dar es Salaam. Matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume maarufu Viagra na Vega 100, yameendelea kuenea kwa siri miongoni mwa vijana nchini, huku baadhi yao wakikumbwa na madhara ya kiafya na kisaikolojia. Baadhi ya vijana wanaotumia dawa hizo, wanasema wanalazimika kuzitumia kwa tamaa ya kutaka kuthibitisha uwezo wao wa kimapenzi, kutafuta sifa mbele…
-

Jua mipaka yako kwenye ndoa, uhusiano
Dar es Salaam. Katika jamii nyingi, ndoa na uhusiano huonekana kama maeneo ya wenza kujitoa bila kuuliza maswali. Wengi hufundishwa kuwa kumpenda mtu ni kuvumilia kila kitu, hata pale utu, amani na heshima vinapokanyagwa. Mtazamo huu umechangia migogoro mingi ya ndoa, maumivu ya kihisia na uhusiano usio na afya. Ukweli ni kwamba upendo wa kweli…
-

Hivi hapa vipaumbele 7 bajeti viwanda na biashara 2026/27
DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amewasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo mwaka 2026/27 ikiwa na vipaumbele saba. Akiwasilisha bajeti hiyo leo Mei 22, 2026, Waziri Kapinga ametaja kuwa ni kuendelea na utekelezaji wa miradi ya kielelezo na kimkakati ya Viwanda. “Kuimarisha uwezo wa uzalishaji viwandani na utoaji huduma kwa kuboresha mazingira…
-

Tanzania ina viwanda 1,604 mafuta ya kula
DODOMA; Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema Tanzania ina jumla ya viwanda 1,604 vya kuzalisha mafuta ya kula, huku kati ya hivyo viwanda vikubwa ni 14 na kwamba serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuhakikisha nchi inajitosheleza kwa uzalishaji wa mafuta hayo. Kapinga ametoa taarifa hiyo leo Mei 22, 2026 bungeni jijini Dodoma…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













