Category: Magazeti
-
NAMNA BIASHARA YA KABONI INAVYOTAJIRISHA WATANZANIA – Habari Mpya
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira ilipofanya ziara mapema mwaka huu kukagua ujenzi na ukarabati wa mfereji wa skimu ya umwagiliaji Lpwasi Ndorobo katika Halmashauri ya Iringa, ilishauri eneo hilo kuwepo na mradi wa biashara ya kaboni. Hii inaonyesha elimu ya biashara ya kaboni inavyoendelea kuwafikia wananchi wengi, hususan ndani ya Bunge…
-

Nanauka ataka Coop Bank ivutie vijana
Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka ameitaka Benki ya Coop Tanzania na washirika wengine wa kifedha kuhakikisha mfumo wa ushirika hauonekani kuwa wa wanyonge, bali wa watu wenye nguvu ya kujitegemea na kukuza uchumi wao, hivyo kuwavutia vijana. Nanauka ameyasema hayo leo, Ijumaa Juni 5, 2026 wakati…
Latest News
About the Author

AF themes
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports




















