Category: Michezo
-

KARUME SCHOOL YAFUFUA SPORTS ACADEMY KUIBUA VIPAJI VYA VIJANA KAGERA – Habari Mpya
Na Silivia Amandius Kagera. Shule ya Karume Day and Boarding Medium Primary School imefufua rasmi kituo chake cha ufundishaji wa michezo (Sports Academy) pamoja na kituo cha nguvu kazi, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuibua vipaji vya vijana na kuwawezesha kujiajiri kupitia stadi mbalimbali. Akizungumza baada ya kuwapokea wataalamu wawili wa michezo watakaosimamia programu…
-

Ni bajeti ya kujitegemea, Sh62.3 trilioni zaombwa
Dar es Salaam. Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/27 imejielekeza katika kujitegemea zaidi ikiwamo kutafuta vyanzo vipya vya mapato na kulinda uzalishaji wa ndani. Hatua hiyo imeelezwa bungeni jana na Balozi Khamis Mussa Omar alipowasilisha hotuba ya bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/27, akiliomba Bunge liidhinishe Sh62.3 trilioni zitakazotumika kwa shughuli…
-

Magari chakavu, kamari, bidhaa za urembo zaguswa kodi mpya
Dar es Salaam. Serikali imependekeza hatua mpya za kikodi kwa mwaka wa fedha 2026/27 zenye lengo la kuchochea uwekezaji, kuongeza uzalishaji, kulinda viwanda vya ndani na kusaidia kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Akiwasilisha mapendekezo hayo bungeni Alhamisi Juni 11, 2026, wakati akisoma Bajeti Kuu ya Serikali, Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa…
-

Ni bajeti ya kung’ata, kupuliza Zanzibar
Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imewasilisha bajeti ya Sh8.5 trilioni kwa mwaka wa fedha 2026/27, ikipendekeza kuongeza kodi na tozo katika bidhaa na huduma mbalimbali, zikiwamo nywele bandia, pombe, maua bandia, tiketi za viwanja vya michezo na huduma za bandari. Lakini, imetoa nafuu za kodi kwa watu wenye ulemavu, viwanda vidogo na vya kati…
-

Malipo ya kidijitali kwenye mwendokasi, gym, vocha za kukwangua kuondolewa
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeelekeza kuanzia mwaka 2026/27, malipo yote ya tozo, ushuru na nauli za mabasi ya mwendokasi, vivuko, madaraja, mabasi yaendayo masafa marefu, taksii mtandao, usafiri wa anga na reli pamoja na maeneo ya maegesho yafanyike kwa njia ya kidijitali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omari wakati…
-

Z’bar yaainisha maeneo manne ya kimkakati Mpango wa Maendeleo 2026/27
Unguja. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imeainisha maeneo manne makuu ya kimkakati yatakayoongoza utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa mwaka 2026/27, huku ikitarajia kutumia Sh5.778 trilioni katika utekelezaji wa programu na miradi mbalimbali ya maendeleo. Maeneo hayo ni kuimarisha mageuzi ya kiuchumi, kuboresha miundombinu wezeshi, kukuza uwezo wa watu na maendeleo ya jamii, pamoja na…
-

Mashine 64 za kamari zawaponza watatu
Songwe. Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kwa kushirikiana na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kuendesha michezo ya kubahatisha kinyume cha sheria na kukutwa na mashine 64 zisizoidhinishwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Augustino Senga akizungumza leo Alhamisi Juni 11,…
-
HISTORIA YA UHURU WA TANZANIA NA UKOMBOZI WA AFRIKA KUNG’ARA PARIS – Habari Mpya
Na Mwandishi Wetu Historia ya Tanzania katika harakati za kupigania uhuru, kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar pamoja na mchango wake katika ukombozi wa Afrika ni miongoni mwa vivutio vitakavyopewa nafasi ya kipekee katika Maonesho ya Kiswahili yatakayofanyika jijini Paris, Ufaransa, sambamba na Kongamano la Pili la Kiswahili la Kimataifa. Maonesho hayo yatakayofanyika katika…
-

MHE. MBUNGE ANNE KILANGO AJIVUNIA MAFANIKIO YA ISSA CHOLE KUPITIA SAMIA CUP – Habari Mpya
Mamia ya wananchi wa Kata ya Kalemawe, Kijiji cha karamba wilayani Same, wamejitokeza kwa wingi kumpokea nyumbani kwao nyota chipukizi wa soka, Issa Chole, ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya vijana ya Serengeti Boys chini ya umri wa miaka 17. Mapokezi hayo yaliongozwa na Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango, pamoja…
-

MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISETA NI MKAKATI WA KUJENGA VIJANA WENYE AFYA BORA – PROF. SHEMDOE – Habari Mpya
Na OWM – TAMISEMI, Iringa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amesema Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA ni sehemu ya mkakati wa taifa wa kujenga vijana wenye afya bora, nidhamu, uzalendo, kujiamini na uwezo wa kushindana katika mazingira ya kitaifa na kimataifa.…
Latest News
About the Author

AF themes
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports












