Category: Michezo

  • Utekelezaji ujenzi shule za michezo waiva

    Utekelezaji ujenzi shule za michezo waiva

    DODOMA; SERIKALI imesema zabuni ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa shule za michezo imetangazwa ili kupata mkandarasi. Kauli hiyo imetolewa bungeni mjini leo mei 25,2026 na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Nkasi Kusini, Moses Kaegele aliyehoji serikali ina mpango gani wa kujenga shule…

    Continue Reading

  • Urais 2030 unavyoanza ‘kuitesa’ CCM

    Urais 2030 unavyoanza ‘kuitesa’ CCM

    Dar es Salaam. Imepita miezi saba tu, tangu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ufanyike. Tayari joto la urais mwaka 2030 ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) limeanza kupanda na kufanya ajenda hiyo iwe midomoni mwa viongozi wa chama hicho na Serikali. Wachambuzi wa siasa wanasema hali hiyo inaonyesha wazi, baadhi ya viongozi hawatumikii nafasi zao…

    Continue Reading

  • BONDIA MMAREKANI TERENCE “BUD” CRAWFORD AFURAHIA MAPOKEZI TANZANIA, AJIANDAA KUTEMBELEA SERENGETI NA ZANZIBAR – Habari Mpya

    BONDIA MMAREKANI TERENCE “BUD” CRAWFORD AFURAHIA MAPOKEZI TANZANIA, AJIANDAA KUTEMBELEA SERENGETI NA ZANZIBAR – Habari Mpya

    Bondia wa kimataifa wa Marekani Terence “Bud” Crawford amesifu ukarimu wa Watanzania tangu alipowasili nchini Mei 24, 2026, kwa ziara ya kitalii. Bondia huyo ameyasema hayo alipokutana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi jijini Dar es Salaam akianza ziara yake ya siku kadhaa nchini. Bondia huyo mwenye rekodi ya…

    Continue Reading

  • Mwananchi yaiibua NEMC kuja na mikakati mipya kudhibiti ongezeko la kelele
    ,

    Mwananchi yaiibua NEMC kuja na mikakati mipya kudhibiti ongezeko la kelele

    Dar es Salaam. Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc) limezindua mikakati mipya yenye lengo la kukabiliana na ongezeko la uchafuzi wa kelele katika miji mikubwa nchini. Mkakati huo unazinduliwa siku chache baada ya magazeti ya  Mwananchi na The Citizen kuripoti mfululizo wa makala maalumu kuhusu kuongezeka kwa tatizo la kelele kwenye…

    Continue Reading

  • Dk Mwigulu atangaza kiama kwa wanaonyang’anya ardhi za watu

    Dk Mwigulu atangaza kiama kwa wanaonyang’anya ardhi za watu

    Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametangaza kuwashughulikia ‘wanaokanyaga’ haki za watu hususan sekta ya ardhi huku akiwataka wale wote waliotumia mabavu kunyang’anya warejeshe kwa wanaostahili. Amesema kwenye jamii kuna michezo ya kunyang’anya haki za watu bila kujali huku akiahidi kuwashikisha adabu wote wanaohusika. Dk Mwigulu amesema hayo leo Jumapili Mei 24, 2026…

    Continue Reading

  • Rais Mwinyi ayaonya mashirika ya umma ‘mzigo’

    Rais Mwinyi ayaonya mashirika ya umma ‘mzigo’

    Zanzibar. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali haitakuwa tayari kuendelea kubeba mashirika ya umma yanayoshindwa kujiendesha na kuendelea kutegemea ruzuku kutoka serikalini. Amesema bado yapo mashirika ya umma yanayolipwa mishahara na kuendeshwa kwa fedha za Serikali jambo alilosema limepitwa na wakati, huku akizitaka taasisi hizo kujipanga na kujiendesha kwa tija na faida.…

    Continue Reading

  • Ayoub atoa Sh milioni 21 kuimarisha michezo Unguja

    Ayoub atoa Sh milioni 21 kuimarisha michezo Unguja

    ZANZIBAR: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud, ametoa mchango wa Sh milioni 21 kwa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kusaidia utoaji wa zawadi na uendeshaji wa shughuli za michezo. Lengo ni kuondoa changamoto ya ukosefu wa zawadi iliyokuwa ikiathiri mashindano mbalimbali ya mpira…

    Continue Reading

  • Crawford atua Tanzania, Mafuru ampokea

    Crawford atua Tanzania, Mafuru ampokea

    DAR ES SALAAM:!Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Ephraim Mafuru, amemkaribisha nchini kwa mara ya kwanza bingwa wa masumbwi duniani, Terence Crawford, ambaye katika historia yake hajawahi kupoteza pambano lolote. Ziara hiyo ya wiki moja nchini imeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na…

    Continue Reading

  • X NA HISENSE KUWAPELEKA WATANZANIA FIFA WORLD CUP 2026 – Habari Mpya

    X NA HISENSE KUWAPELEKA WATANZANIA FIFA WORLD CUP 2026 – Habari Mpya

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx, Bi. Angelica Pesha, akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya “Jimixx FIFA World Cup 2026 na Hisense” iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Bi. Tahera Karim, Afisa Mkuu wa Uendeshaji – Mars Communications Limited (wauzaji na wasambazaji rasmi wa vifaa vya kielektroniki vya Kampuni ya…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports