Category: Michezo
-
UBELGIJI NA MISRI WAGAWANA POINTI BAADA YA SARE YA 1–1 – Habari Mpya
Na. Fullshangwe Blog, Updates Michezo Belgium imetoka sare ya 1–1 na Egypt katika mchezo wa Kombe la Dunia 2026. , uliochezwa Juni 15,2026 Egypt walipata goli la kwanza kupitia Emam Ashour dakika ya 20. Belgium wakasawazisha kupitia Goli la Kujifunga Kwa Beki wa Misri kipindi cha pili.
-
HISPANIA, CAPE VERDE ZAGAWANA POINTI KUNDI H – Habari Mpya
Na. Fullshangwe Blog, Updates Michezo Hispania imeanza kampeni yake ya Kombe la Dunia 2026 kwa kutoka sare ya bila kufungana dhidi ya Cape Verde katika mchezo wa Kundi H uliochezwa leo Juni 15,2026. Matokeo hayo yameifanya kila timu kujikusanyia pointi moja katika msimamo wa kundi hilo, ambalo pia linazijumuisha Saudi Arabia na Uruguay. Baada ya…
-

Profesa Muhongo ataja maeneo sita yatakayobeba uchumi wa Tanzania
Dar es Salaam. Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo amependekeza Tanzania kuelekeza nguvu zake katika sekta sita za kimkakati ili kuharakisha ukuaji wa uchumi, kupunguza umasikini na kufikia lengo la kuwa uchumi wa dola trilioni moja katika miaka 25 ijayo. Profesa Muhongo ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini amebainisha hayo leo…
-

TÜV Rheinland imeimarisha mtandao wa PVoC wa Tanzania kwa kupanua idhini ya TBS katika eneo la Greater China
TÜV Rheinland imetangaza upanuzi wa huduma zake zilizoidhinishwa chini ya Mpango wa Uthibitishaji wa TBS (PVoC) nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na eneo la Greater China. Kuanzia tarehe 30 Mei 2026, TÜV Rheinland itakuwa na mamlaka ya kutoa Vyeti vya Uthibitisho (CoC) kwa bidhaa zinazotoka katika China Bara, Hong Kong, Macao, Taiwan, na Mongolia zinazokusudiwa…
-

TÜV Rheinland imeimarisha mtandao wa PVoC wa Tanzania kwa kupanua idhini ya TBS katika eneo la Greater China, hivyo kurahisisha kuingia sokoni na biashara ya kimataifa
TÜV Rheinland imetangaza upanuzi wa huduma zake zilizoidhinishwa chini ya Mpango wa Uthibitishaji wa TBS (PVoC) nchini Tanzania, ikiwa ni pamoja na eneo la Greater China. Kuanzia tarehe 30 Mei 2026, TÜV Rheinland itakuwa na mamlaka ya kutoa Vyeti vya Uthibitisho (CoC) kwa bidhaa zinazotoka katika China Bara, Hong Kong, Macao, Taiwan, na Mongolia zinazokusudiwa…
-

UCHUMI PARACHICHI MARATHON 2026 KUMTANGAZA MKULIMA BORA NA FURSA ZA UCHUMI NJOMBE – Habari Mpya
NA DENIS MLOWE NJOMBE MRATIBU wa mbio za Uchumi Parachichi Marathon 2026, Respicius Mtabingwa, amesema maandalizi ya mbio hizo yanaendelea vizuri huku waandaaji wakijipanga kuhakikisha tukio hilo linakuwa jukwaa la kipekee la kutangaza zao la parachichi, kuhamasisha afya kwa wananchi na kufungua fursa za kiuchumi kwa wakulima wa Mkoa wa Njombe. Akizungumza wakati wa ziara…
-

HALMASHAURI YA WILAYA MBINGA MKOANI RUVUMA KUTENGA FEDHA ZA KUTOSHA KUBORESA MIUNDOMBINU YA MICHEZO MASHULENI – Habari Mpya
Na Mwandishi wetu,Mbinga HALMASHAURI ya wilaya Mbinga mkoani Ruvuma imesema, itahakikisha inatenga fedha za kutosha kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya michezo mashuleni ikiwemo viwanja ili kuwezesha wanafunzi kushiriki michezo mbalimbali na kuibua vipaji vyao. Kauli hiyo imetolewa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Joseph Kashushura,wakati akipokea kikombe cha mshindi wa pili wa michezo kwa…
-
WAZIRI SHEMDOE AAGIZA UJENZI WA BARABARA ZA AFCON KUJENGWA USIKU NA MCHANA – Habari Mpya
Amshukuru Rais Samia kwa kutoa fedha kwa wakati, ujenzi wa uwanja na barabara za AFCON Aagiza uadilifu katika usimamizi na utoaji wa fidia kwa waliopisha ujenzi wa barabara Rc Makalla aeleza kuanza kwa ujenzi wa barabara za kuunganisha uwanja wa ndege KIA na uwanja wa AFCON Aaahidi kusimamia maelekezo yote ya serikali ili miradi hiyo…
-
ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MICHEZO YA MABUNGE YA EAC 2026 – Habari Mpya
Mkoa wa Arusha unatarajiwa kuwa mwenyeji wa Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) mwaka 2026, baada ya maspika wa mabunge ya nchi wanachama kukubaliana kuwa mashindano hayo yafanyike jijini humo mwezi Desemba mwaka huu. Uamuzi huo ulifikiwa katika kikao cha dharura cha maspika wa mabunge ya EAC kilichoongozwa na Mwenyekiti wa kikao…
-

Huyu hapa ‘mchawi’ Bajeti ya Serikali
Dar es Salaam. Wadau wa biashara na uchumi wamesema Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2026/27 inaonyesha matumaini kwa Tanzania kuianza safari ya uchumi wa kujitegemea, lakini changamoto kubwa inayoweza kuathiri mafanikio yake ni utekelezaji. Kwa mujibu wa wadau hao, mafanikio ya mipango ya kuongeza mapato ya ndani, uwekezaji katika uzalishaji na mageuzi yanayolenga…
Latest News
About the Author

AF themes
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports










