Category: Michezo
-
WAZIRI WA TAMISEMI PROFESA RIZIKI SHEMDOE AZINDUA RASMI UMITASHUMTA NA UMISSETA 2026 MKOANI IRINGA – Habari Mpya
SERIKALI imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha michezo na sanaa shuleni kwa lengo la kuibua vipaji, kukuza ajira na kuandaa kizazi chenye uwezo wa kushindana kimataifa. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe, wakati akimwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uzinduzi wa…
-

MWIJAGE CUP YAZINDULIWA KAMACHUMU, TIMU 20 ZASHINDANIA SHILINGI MILIONI 6 – Habari Mpya
Na Silivia Amandius Muleba,Kagera. Mashindano ya soka kwa vijana ya Kamachumu Paul Mwijage Cup yamezinduliwa rasmi katika Tarafa ya Kamachumu, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, yakishirikisha timu 20 zinazowania zawadi ya shilingi milioni 6 kwa lengo la kuibua vipaji na kukuza maendeleo ya michezo katika jamii. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo uliofanyika Juni…
-

WANAFUNZI ARUSHA WANG’ARA RIADHA UMISSETA – Habari Mpya
Na Prisca Libaga RS Arusha Wanafunzi wa shule za sekondari kutoka Halmashauri zote saba za mkoa wa Arusha wameonyesha vipaji bora katika mbio za riadha kupitia mashindano ya UMISSETA yenye Lengo la kuchuja timu Mkoa itakayoshiriki kwenye mashindano ya ngazi ya taifa yatarajiwa kufanyika June 19, 2026 Mkoani wa IringaMashindano yamefanyika Katika owanja wa sheikh…
-

MBUNGE MAVUNDE AIPIGA JEKI UMMISETA DODOMA, AWAPA MORALI WANAMICHEZO KWA KUTOA VIFAA VYA MICHEZO – Habari Mpya
Na. Mwandishi wetu, DODOMA Wanafunzi wanaojiandaa kushiriki mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Sekondari Tanzania (UMMISETA) ngazi ya mkoa wamepata hamasa mpya baada ya kupokea vifaa vya michezo vilivyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Mtumba, Anthony Peter Mavunde. Vifaa hivyo vilikabidhiwa katika Shule ya Sekondari Dodoma kwa niaba ya Mbunge huyo…
-
MASHINDANO YA UMISSETA MKOA WA ARUSHA YAANZA RASMI – Habari Mpya
Mashindano ya Michezo kwa Shule za Sekondari (UMISSETA) Mkoa wa Arusha yameanza rasmi katika viwanja vya Shule ya Sekondari Ilboru, yakishirikisha zaidi ya wanamichezo 700 kutoka halmashauri zote saba za mkoa huo. Akizungumza wakati wa kuanza kwa mashindano hayo, Mratibu wa UMISSETA Mkoa wa Arusha, Daniel Nanyaro, amesema mashindano hayo yanahusisha michezo mbalimbali yenye…
-

SERIKALI YAENDELEA KUIBUA NA KUKUZA VIPAJI VYA MICHEZO NCHINI – Habari Mpya
OWM-TAMISEMI, Iringa Serikali imeendelea kuelekeza nguvu katika kuibua na kukuza vipaji vya michezo nchini kwa lengo la kuandaa kizazi cha wanamichezo kitakachoiwakilisha na kuiletea heshima Tanzania katika mashindano mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Akizungumza katika Baraza la Umoja wa Michezo na Taaluma Tanzania (UMITASHUMTA) lililofanyika Juni 7, 2026 mkoani Iringa, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara…
-
KAMPUNI YA ZARA ADVENTURES TOURS TANZANIA YAENDELEA KUNG’ARA MAONESHO YA KARIBU -KILI FAIR 2026 – Habari Mpya
Kampuni ya Zara Adventures Tours Tanzania imeendelea kung’ara katika maonesho ya utalii ya Karibu -Kilifair yanayoendelea jijini Arusha huku ikipongeza waandaji wa maonesho hayo kwani yamekuwa chachu katika kukuza utalii wa Tanzania . Aidha kampuni hiyo pia imeandaa zawadi nono kwa washiriki wa Kilimanjaro Summit Challenge na wageni wanaotembelea banda lao katika KiliFair 2026, ikiwa…
-
WAHITIMU 450 WA KLABU YA KUPINGA RUSHWA TEMEKE WATUNUKIWA VYETI. – Habari Mpya
NA NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM Zaidi ya wahitimu 450 wa Klabu ya Kupinga Rushwa Mkoa wa Temeke kutoka Chuo cha Diplomasia (FRC), Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) wametunukiwa vyeti na kuaswa kusimamia haki, uadilifu, uwajibikaji na kuwa na ujasiri wa kusema ukweli katika mapambano…
-

PROF. SHEMDOE AWATAKA WALIMU KUONGEZA UBUNIFU KATIKA UFUNDISHAJI – Habari Mpya
Walimu 35 walioshinda tuzo za ufundishaji kupatiwa viwanja WALIMU nchini wamehimizwa kuendelea kufanya kazi kwa bidii, kujituma na kutumia mbinu bunifu za ufundishaji ili kuimarisha ubora wa elimu na kuchangia maendeleo ya taifa. Aidha, walimu 35 walioibuka washindi katika Shindano la Taifa la Stadi za Ufundishaji wameelekezwa kupatiwa viwanja karibu na maeneo yao ya kazi…
-

BOT yajivunia miaka 60 ya kulinda uchumi, kuimarisha sera za fedha
Mbeya. Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Tawi la Mbeya imesema imefanikiwa kutekeleza jukumu lake la kusimamia sera za fedha, kudumisha utulivu wa uchumi kwa kuhakikisha upatikanaji wa sarafu nchini katika kipindi cha miaka 60 tangu kuanzishwa kwake. Kauli hiyo imetolewa leo Jumamosi, Juni 6, 2026 na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Tawi…
Latest News
About the Author

AF themes
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports










