Category: Michezo

  • Wizara ya Habari yabainisha vipaumbele tisa, ikiomba Sh243.3 bilioni

    Wizara ya Habari yabainisha vipaumbele tisa, ikiomba Sh243.3 bilioni

    Unguja. Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imeainisha vipaumbele tisa kwa mwaka wa fedha 2026/27 ikiwa ni pamoja na kuimarisha upatikanaji na usambazaji wa habari. Akisoma makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo leo Juni 4, 2026, Waziri mwenye dhamana na wizara hiyo, Dk Riziki Pembe Juma ameliomba Baraza la Wawakilishi kuidhinisha Sh243.3…

    Continue Reading

  • UDOM yandaa miradi 11 utekelezaji Dira 2050

    UDOM yandaa miradi 11 utekelezaji Dira 2050

    DODOMA: CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimesema kimeandaa miradi 11 ya kimkakati ambayo imefikia hatua ya upembuzi yakinifu ikiwa ni sehemu ya mchango wake katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Mtaalamu wa masuala ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) wa chuo hicho, Anastazia Njiku, alisema miradi hiyo…

    Continue Reading

  • Mnyukano bungeni na joto la urais CCM 2030

    Mnyukano bungeni na joto la urais CCM 2030

    Dar es Salaam. Vuguvugu la urais mwaka 2030 kwa upande wa Chama cha Mapinduzi (CCM), limeibukia bungeni na kusababisha mnyukano ndani ya muhimili huo wa kutunga na kusimamia utekelezwaji wa sheria. Mnyukano huo, uliibuliwa na mbunge kupitia Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Simai Mohamed Said aliyedai kuna kiongozi ndani ya Serikali anafanya usaliti akimwita Yuda bila…

    Continue Reading

  • NAIBU WAZIRI MWIJUMA AITAKA SEKTA YA FEDHA KUWA CHACHU YA MAENDELEO YA JAMII – Habari Mpya

    NAIBU WAZIRI MWIJUMA AITAKA SEKTA YA FEDHA KUWA CHACHU YA MAENDELEO YA JAMII – Habari Mpya

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma (MB), amesisitiza umuhimu wa taasisi za kifedha nchini kuendelea kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya jamii kwa kuanzisha na kuunga mkono mipango inayolenga kuboresha maisha ya wananchi. Akizungumza jijini Tanga wakati wa uzinduzi rasmi wa ushirikiano kati ya Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya…

    Continue Reading

  • Wanufaika 588 ufadhili wa NBC waanza rasmi mafunzo VETA

    Wanufaika 588 ufadhili wa NBC waanza rasmi mafunzo VETA

    Morogoro. Vijana 588 wanaonufaika na ufadhili wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana wa ‘NBC Wajibika Scholarship’ wameanza rasmi mafunzo yao katika vyuo vya VETA Kihonda mkoani Morogoro na VETA Mwanza, huku Benki ya NBC ikisisitiza dhamira yake ya kuendelea kuwekeza katika maendeleo ya rasilimali watu kama njia ya kuchochea ukuaji wa uchumi jumuishi nchini.…

    Continue Reading

  • HESLB NA PBZ WAINGIA MAKUBALIANO YA KUONGEZA UFADHILI WA ELIMU YA JUU – Habari Mpya

    Tanga, Juni 03, 2026 Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), leo (Jumatano, Juni 3, 2026), zimeingia katika makubaliano rasmi ya ushirikiano kupitia mpango wa “Cash Waqf” unaolenga kuongeza upatikanaji wa rasilimali fedha kwa ajili ya kufadhili elimu ya juu nchini. Hafla hiyo imefanyika jijini…

    Continue Reading

  • Una mtoto Gen Alpha? Huu utafiti unakuhusu

    Una mtoto Gen Alpha? Huu utafiti unakuhusu

    Dar es Salaam. Kizazi cha watoto waliozaliwa kati ya miaka ya 2010 hadi 2024 maarufu ‘Gen Alpha’, kinakuwa katika mazingira ambayo wazazi wao na hata babu zao hawakuwahi kuyashuhudia. Hiki ni kizazi cha kwanza duniani kukulia katika mazingira ambayo akili unde (AI), simu janja, mitandao ya kijamii, michezo ya mtandaoni hadi taarifa zisizoisha kutoka pande…

    Continue Reading

  • SERIKALI YAWATAKA WANANCHI KUENDELEZA VIWANJA WALIVYONUNUA AFCON ARUSHA – Habari Mpya

    Lengo ni kuendelezwa kabla ya michuano ya AFCON- 2027 RC Makalla aomba kuongezewa Wataalamu wa ardhi Mkoani Arusha Waziri Akwilapo amshukuru Rc Makalla kwa utatuzi wa migogoro ya ardhi Mkoani Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla leo Jumatano Juni 03, 2026 Ofisini kwake Jijini Arusha, amekutana na kuzungumza na Waziri…

    Continue Reading

  • UCHAMBUZI WA MALOTO: Mtego huu usipoteguliwa hatari kwa Taifa

    UCHAMBUZI WA MALOTO: Mtego huu usipoteguliwa hatari kwa Taifa

    Tony Addison ni mwanazuoni na mtafiti wa Chuo Kikuu cha Umoja wa Mataifa (UNU), ambacho kipo Jaan. Addison anafanya kazi za utafiti kupitia Taasisi ya Ulimwengu kwa ajili ya Utafiti wa Maendeleo ya Uchumi (UNU-WIDER). Nimesoma maandiko ya Addison kuhusu utafiti wake katika nchi 44 zilizopata kuwa na migogoro ya kisiasa. Kuanzia Colombia, Guatemala, Shirikisho…

    Continue Reading

  • BARABARA NI KICHOCHEO MUHIMU CHA UTEKELEZAJI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 – Habari Mpya

    BARABARA NI KICHOCHEO MUHIMU CHA UTEKELEZAJI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 – Habari Mpya

    Kaimu Meneja wa Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Aisha Malima, ameshiriki katika kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali (TAGCO) kinachoendelea jijini Mwanza, ambapo alishiriki katika majadiliano kuhusu namna ya kuwasiliana kwa umma kuhusu miradi ya miundombinu ya barabara, madaraja na viwanja vya ndege vinavyosimamiwa na TANROADS. Majadiliano hayo…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports