Category: Michezo
-

BOT yajivunia miaka 60 ya kulinda uchumi, kuimarisha sera za fedha
Mbeya. Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Tawi la Mbeya imesema imefanikiwa kutekeleza jukumu lake la kusimamia sera za fedha, kudumisha utulivu wa uchumi kwa kuhakikisha upatikanaji wa sarafu nchini katika kipindi cha miaka 60 tangu kuanzishwa kwake. Kauli hiyo imetolewa leo Jumamosi, Juni 6, 2026 na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Tawi…
-

Mtoto wa Lissu afikisha kilio cha familia Bunge la Marekani
Dar es Salaam. Augustino Lissu, mtoto wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ametoa ushuhuda wake mbele ya maofisa wa Bunge la Seneti na Congress nchini Marekani, akieleza namna familia yao ilivyotenganishwa na kumfanya ashindwe kufurahi pamoja na baba yake. Simulizi ya kijana huyo ameeleza kwamba familia ya Lissu, ambaye ametimiza…
-

KUNENGE AJIVUNIA MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA ILANI YALIYOCHAGIZWA NA ONGEZEKO LA MAPATO – Habari Mpya
Na Mwamvua Mwinyi, PwaniJuni 6, 2026 Mkoa wa Pwani umeendelea kutekeleza kwa mafanikio Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku ongezeko la makusanyo ya mapato kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na halmashauri likiimarisha uwezo wa serikali wa kugharamia na kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ya kijamii. Katika mwaka wa fedha 2025/2026 hadi Machi 31,…
-

Ukweli kuhusu Gen Z kuwa kizazi chenye afya bora
Dar es Salaam. Wakati kizazi cha Gen Z kikionekana kuwa na mwamko mkubwa kuhusu masuala ya afya kuliko vizazi vilivyotangulia, vijana wengi wamekuwa wakijihusisha na mazoezi ya mwili, kufuatilia taarifa za afya kupitia mitandao ya kijamii na kuzungumzia afya ya akili kwa uwazi zaidi. Hata hivyo, wataalamu wa afya wanasema pamoja na mafanikio hayo, kizazi…
-

Waibana Serikali kuhusu sheria ya habari, Waziri aeleza kilichoikwamisha
Unguja. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameihoji Serikali kuhusu kuchelewa mchakato wa marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari, wakisema suala hilo limekuwa likizungumzwa kwa muda mrefu bila kufikia hitimisho, licha ya umuhimu wa sekta hiyo kwa masilahi ya taifa. Wakichangia mjadala huo, wajumbe hao walitaka kufahamu sababu za mkwamo wa mchakato huo na lini…
-

DKT. NCHIMBI AHIMIZA UHIFADHI WA MAZINGIRA ENDELEVU – Habari Mpya
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, leo tarehe 05 Juni 2026.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akitembelea na kukagua mabanda mbalimbali ya…
-

CECOT, gereza lililovunja magenge hatari duniani
Mkuu wa gereza anasogea mbele kidogo, anamtazama kwa makini mwanamume aliyejaa michoro ya tattoo kuanzia chini ya taya hadi kiunoni, kisha kwa utulivu anasema: “Hili ni gereza lenye kiwango cha juu cha usalama, hawatatoka tena maishani mwao.” Pembeni yake, wanaume kadhaa waliovaa kaptura na fulana nyeupe wanamtazama wakiwa kimya kutoka vyumba vya vyuma vizito vya…
-

Bungeni bado kwa moto, kibano kipya kwa hawa chaja
Dodoma. Utoro wa wabunge bungeni, kusainiana na kusafiri pasipo kupewa vibali, vimemuibua Spika Mussa Zungu akionya tabia hiyo huku akimwagiza Katibu wa Bunge kuwaandikia barua baadhi ya waliosafiri kwenda Morocco. Pia, amemuomba Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuacha kutoa vibali kwa mawaziri na manaibu wao wa wizara moja kuondoka bungeni kwenda ziarani badala yake lazima…
-

Kibano bungeni | Mwananchi
Dodoma. Utoro wa wabunge bungeni, kusainiana na kusafiri pasipo kupewa vibali, vimemuibua Spika Mussa Zungu akionya tabia hiyo huku akimwagiza Katibu wa Bunge kuwaandikia barua baadhi ya waliosafiri kwenda Morocco. Pia, amemuomba Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuacha kutoa vibali kwa mawaziri na manaibu wao wa wizara moja kuondoka bungeni kwenda ziarani badala yake lazima…
-

Wizara ya Habari yabainisha vipaumbele tisa, ikiomba Sh243.3 bilioni
Unguja. Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imeainisha vipaumbele tisa kwa mwaka wa fedha 2026/27 ikiwa ni pamoja na kuimarisha upatikanaji na usambazaji wa habari. Akisoma makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo leo Juni 4, 2026, Waziri mwenye dhamana na wizara hiyo, Dk Riziki Pembe Juma ameliomba Baraza la Wawakilishi kuidhinisha Sh243.3…
Latest News
About the Author

AF themes
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports












