Category: Michezo
-
ATCL IKO MBIONI KURUDISHA SAFARI ZA DUBAI MWEZI HUU – Habari Mpya
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Air Tanzania Company Limited (ATCL) Mhandisi Peter Ulanga, amesema shirika hilo linajiandaa kurudi rasmi kwenye safari za Dubai kuanzia katikati ya mwezi Juni hadi Agosti 2026. Akizungumza katika mahojiano ya hivi karibuni kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM na Clouds Media, mahojiano ambayo pia yalirushwa na…
-

RAIS SAMIA ATOA NDEGE YA KUWACHUKUA MASHUJAA SERENGETI BOYS WALIOFIKA FAINALI YA AFCON U-17 – Habari Mpya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa usafiri wa ndege kwa ajili ya kuwachukua mashujaa wa Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa Miaka 17 (Serengeti Boys), baada ya kufuzu kucheza fainali ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Vijana (AFCON U-17, 2026) Ndege hiyo…
-

Kamari bomu linalonukia kuacha mzigo kwa Taifa
Dar es Salaam. Zaidi ya nusu ya Watanzania wanashiriki michezo ya kubahatisha yaani kamari, idadi ambayo wataalamu wa afya ya akili, wanasema inaashiria hatari itakayozalisha bomu litakalokuwa mzigo kwa Taifa. Idadi ya wanaoshiriki michezo hiyo nchini inatajwa kufikia takriban watu milioni 39, kati yao vijana wenye umri wa chini ya miaka 35 ni asilimia 75,…
-

WAKILI MARATHON NI CHACHU YA KUSOGEZA HAKI KWA WANANCHI – Habari Mpya
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Zainab Katimba , amesema Wakili Marathon iliyoandaliwa na Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) itakuwa chachu ya kusogeza huduma za msaada wa kisheria karibu zaidi na wananchi huku ikichangia kuhamasisha utamaduni wa kufanya mazoezi kwa ajili ya afya bora. Akizungumza Mei 31, 2026 katika Uwanja wa Jamhuri jijini…
-
DKT. MWIGULU AENDELEA KUUFYEKA MTANDAO WA WIZI WA MILIONI 500 MANYONI – Habari Mpya
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kukamatwa kwa mtumishi mwingine wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni anayedaiwa kuhusika katika mtandao wa kulinda na kutetea watumishi waliohusishwa na ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni 500, akisisitiza kuwa Serikali itaendelea kuwafuatilia wote waliohusika na wizi wa fedha za umma. “Mkuu wa mkoa, mtume wa RPC, huyu naye…
-

RAIS SAMIA ATOA MAELEKEZO MAPYA UTEKELEZAJI DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 – Habari Mpya
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Profesa Kitila Alexander Mkumbo akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuanza Utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 (DIRA2050), tarehe 31 Mei, 2026 Ikulu, Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) Ndugu Gilead Teri akizungumza…
-

Tume ya Mipango yabainisha vipaumbele 12, mikakati ya utekelezaji Dira 2050
Dar es Salaam. Ukiwa umebaki mwezi mmoja kuanza kwa utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 (Dira 2050), Tume ya Taifa ya Mipango imeeleza vipaumbele 12 vitakavyofanyiwa kazi huku ikiainisha maeneo muhimu yanayohitaji msukumo wa kipekee ili kuleta mageuzi. Hayo yamebainishwa leo Jumapili Mei 31, 2026 Ikulu jijini Dar es Salaam na…
-

Tume ya Mipango yabainisha vipaumbele 12, mikakati ya utekelezaji Dira 2050
Dar es Salaam. Ukiwa umebaki mwezi mmoja kuanza kwa utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 (Dira 2050), Tume ya Taifa ya Mipango imeeleza vipaumbele 12 vitakavyofanyiwa kazi huku ikiainisha maeneo muhimu yanayohitaji msukumo wa kipekee ili kuleta mageuzi. Hayo yamebainishwa leo Jumapili Mei 31, 2026 Ikulu jijini Dar es Salaam na…
-

Hemed: Hatuwezi kusonga mbele bila kushirikisha sekta binafsi
Unguja. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema maendeleo ya kweli hayawezi kupatikana bila ushirikiano, hivyo Serikali inahitaji kushikamana na sekta binafsi kujenga uchumi imara. Hemed ametoa kauli hiyo leo Jumapili Mei 31, 2026 Fumba baada ya matembezi ya hiari ya kilometa tano yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (Zipa).…
-

BONANZA LA MICHEZO WANAFUNZI WA KIKE LAFANA FUNGUNI SEKONDARI – Habari Mpya
NA: MWANDISHI WETU, PANGANI Uongozi wa Shule kwa kushirikiana na Idara ya Michezo katika Shule ya Sekondari Funguni ya wilayani Pangani mkoani Tanga, umeratibu Bonanza la Michezo kwa wanafunzi wa kike waishio hosteli ikiwa ni njia ya kuhimiza ushirikiano, furaha, kujenga afya, kuibua na kukuza vipaji miongoni mwa wanafunzi. Bonanza hilo limefanyika Mei 30, 2026,…
Latest News
About the Author

AF themes
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports












