Category: Michezo

  • Vinywaji vya sukari vinavyowasababishia wanaume upara

    Vinywaji vya sukari vinavyowasababishia wanaume upara

    Mwanza. Watafiti wanaonya kuwa huenda kuna uhusiano kati ya unywaji wa vinywaji vyenye sukari nyingi na upotevu wa nywele kwa wanaume, hali inayoweza kuongeza hatari ya kupata upara kwa wanaume wanaopendelea matumizi ya vinywaji hivyo kwa wingi. Upara kwa wanaume unaojulikana kitabibu kama ‘Androgenetic alopecia’ ni hali ya kawaida inayowapata mamilioni ya wanaume duniani. Kwa…

    Continue Reading

  • BINGWA WA DUNIA WA MASUMBWI CRAWFORD KUITANGAZA SERENGETI KIMATAIFA – Habari Mpya

    BINGWA WA DUNIA WA MASUMBWI CRAWFORD KUITANGAZA SERENGETI KIMATAIFA – Habari Mpya

    Na. Hance Mbena – Serengeti  Katika muendelezo wa kuitangaza Tanzania duniani kupitia utalii wa michezo, leo Mei 28, 2026, bingwa wa masumbwi duniani, Terence “Bud” Crawford, amekabidhiwa rasmi ubalozi wa utalii baada ya kukutana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji. Tukio hilo limefanyika ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ikiwa ni…

    Continue Reading

  • UONGOZI WA TAGCO MGUU SAWA MAANDALIZI YA TAGCO AGM 2026 – Habari Mpya

    UONGOZI WA TAGCO MGUU SAWA MAANDALIZI YA TAGCO AGM 2026 – Habari Mpya

    Uongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali (TAGCO) ukiongozwa na Mwenyekiti wake Bw. Karimu Meshack umewasili jijini Mwanza kwa ajili ya maandalizi ya Mkutano mkuu wa Mwaka wa TAGCO unaotarajiwa kufanyika Jijini Mwanza kuanzia tarehe 1-5 Juni, 2026. Ukiwa Jijini Mwanza uongozi huo umemtembelea mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda kwa lengo…

    Continue Reading

  • RUVUMA YAANZA MAPINDUZI YA MICHEZO SHULENI – Habari Mpya

    Na Albano Midelo Baada ya kushika nafasi ya 25 kati ya mikoa 26 katika mashindano ya UMITASHUMTA mwaka uliopita, Mkoa wa Ruvuma sasa umeanza rasmi operesheni kubwa ya kurejesha heshima yake kwenye ramani ya michezo ya shule nchini Tanzania kupitia maandalizi mapya, kambi maalumu na uwekezaji wa muda mrefu katika vipaji vya vijana. Uzinduzi wa…

    Continue Reading

  • HAJI MANARA MSEMAJI WA TIMU ZA TAIFA – Habari Mpya

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amemteua Haji Manara kuwa msemaji wa timu zote za Taifa za Tanzania.  Akizungumza na waandishi wa habari kwenye Viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo Mei 28, 2026, Waziri Makonda amesema Haji atafanya kazi chini ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na atazisemea timu zote za…

    Continue Reading

  • JKT yaita 60,000 kujiunga mafunzo ya lazima

    JKT yaita 60,000 kujiunga mafunzo ya lazima

    Dodoma. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limewaita vijana 60,000 waliomaliza kidato cha sita ili kujiunga na mafunzo ya lazima (kwa mujibu wa sheria). Idadi hiyo imekuja kufuatia kauli ya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa aliyotoa hivi karibuni kwenye bajeti yake akisema wameongeza kutoka washiriki 40,000 hadi 60,000. Hata hivyo, JKT wamesema mwelekeo…

    Continue Reading

  • Wabunge walia uvamizi maeneo ya wazi, michezo

    Wabunge walia uvamizi maeneo ya wazi, michezo

    DODOMA; Wabunge wameishauri serikali kuweka mikakati ya kurejesha maeneo yote ya wazi yaliyovamiwa na kuhakikisha kuwa inasimamia kikamilifu utengaji na utunzaji wa maeneo ya wazi nchini. Akiwasilisha maoni ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi kwa Mwaka wa…

    Continue Reading

  • Kampeni yazinduliwa kuokoa watoto wenye matatizo ya moyo

    Kampeni yazinduliwa kuokoa watoto wenye matatizo ya moyo

    DAR ES SALAAM: HEART Team Africa Foundation (HTAF), kwa kushirikiana na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imezindua rasmi kampeni ya “Kutoa Ni Moyo”, kampeni ya kitaifa inayolenga kuchangisha fedha na kuongeza uelewa kuhusu watoto wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo nchini Tanzania. Kampeni hiyo inalenga kuwaunganisha Watanzania kutoka makundi mbalimbali ya jamii ili kusaidia…

    Continue Reading

  • CHAMA CHA MPIRA WILAYA YA IRINGA CHAWEKA MIKAKATI YA UTEKELEZAJI WA LIGI YA WILAYA 2026/27 – Habari Mpya

    MWENYEKITI wa Chama cha Mpira Wilaya ya Iringa, Joel Musiba, amesema kuwa chama hicho kimekutana na viongozi wa timu zote zilizochukua fomu za ushiriki wa Ligi ya Wilaya kwa lengo la kukumbushana kanuni na kuweka misingi itakayowaongoza katika msimu ujao wa mashindano. Akizungumza katika kikao hicho, Musiba amesema wamewaita viongozi wa timu ili washiriki katika…

    Continue Reading

  • Wacheza upatu wanavyopigwa na vijumbe WhatsApp

    Wacheza upatu wanavyopigwa na vijumbe WhatsApp

    Dar es Salaam. Miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la watu wanaopoteza fedha kupitia makundi sogozi wa WhatsAp’ yanayoundwa kwa ajili ya kucheza upatu. Makundi hayo huanza kwa mtindo wa kuaminiana, ambapo wanachama huchangia fedha wanazokubaliana kila siku, wiki au mwezi; ambapo mtu mmoja mmoja huchangiwa kwa kila mzunguko. Hata hivyo, muda unavyosonga, migogoro…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports