Category: Michezo
-

MIKOPO YA VIJANA KUPITIA MFUKO WA UTAMADUNI, FURSA KUBWA INAYOHITAJI ELIMU NA UAMINIFU – Habari Mpya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na baadhi ya wasanii walioongozana naye nchini Korea katika moja ya ziara zake. ………….., Na John Bukuku, Dar es Salaam Uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuendelea kufungua milango ya uwezeshaji wa vijana kupitia mikopo ya…
-

SIHA KUPOKEA ZAIDI YA WASHIRIKI 800 KATIKA WEST KILI FOREST TOUR CHALLENGE – Habari Mpya
Na Mwandishi Wetu, Siha Mkuu wa Wilaya ya Siha, Dkt. Christopher Timbuka, amezindua rasmi mashindano ya West Kili Forest Tour Challenge yanayotarajiwa kuvutia zaidi ya washiriki 800 kutoka ndani na nje ya nchi, huku yakilenga kutangaza utalii, kuhamasisha michezo na kuchochea ukuaji wa uchumi kwa wananchi wa Wilaya ya Siha. Mashindano hayo yatafanyika Juni 20…
-

BINGWA WA MASUMBWI CRAWFORD KUTOKA NCHINI MAREKANI ATINGA HIFADHI YA TAIFA TARANGIRE – Habari Mpya
Na. Calvin Katera – Babati. Bondia maarufu duniani toka nchini Marekani Terence “Bud” Crawford amejikuta katika bashasha kubwa ndani ya Hifadhi ya Taifa Tarangire mara baada ya kupokelewa na burudani kutoka kikundi cha watumbuizaji wa nyimbo za jamii ya kimasai leo Mei 26, 2026 mjini Babati. Akiwasili hifadhini hapo Crawford alikutana na menejimenti ya hifadhi…
-
WANAMICHEZO 60 KUIWAKILISHA SIMANJIRO UMITASHUMTA – Habari Mpya
WANAFUNZI wanamichezo 60 wa shule za msingi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro wamechaguliwa kuiwakilisha Wilaya hiyo kwenye Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) katika ngazi ya Mkoa wa Manyara. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Gracian Max Makota akizungumza wakati akizindua rasmi michuano hiyo katika viwanja vya Mnyalu…
-

Waziri Mkuu aliyetenguliwa Senegal achaguliwa kuwa Spika
Bunge la Taifa la Senegal limemchagua waziri mkuu aliyeondolewa madarakani, Ousmane Sonko, kuwa spika wake. Kuchaguliwa Sonko kuwa spika kumefanyika ndani tya siku nne baada ya Rais Bassirou Diomaye Faye kumfuta kazi, huku wabunge walio wachache bungeni wakidai kurejeshwa mwanasiasa huyo katika Bunge la Taifa kuwa kinyume cha sheria. Sonko ni kiongozi wa Chama cha…
-
YANGA YAIONDOA SIMBA SC KILELENI LIGI KUU TANZANIA BARA – Habari Mpya
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans SC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa leo, Mei 25, 2026, kwenye KMC Complex uliopo Mwenge, Dar es Salaam. Mabao ya Yanga SC yalifungwa na Duke Abuya pamoja na Allan Okello aliyefunga mabao…
-

Wabunge waibua hoja mahusiano hasi na polisi, wizi mitandaoni
Dodoma. Mbunge kutoka Baraza la Wawakilishi, Said Ali Mbarouk amesema mahusiano kati ya wananchi na Jeshi la Polisi si mazuri kwa sasa huku akiitaka Serikali kuchukua hatua za kurejesha imani kati ya pande hizo mbili. Mbarouk amesema hayo leo Jumatatu Mei 25, 2026 wakati akichangia hotuba ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya mwaka 2026/27 ya…
-

Hizi hapa fursa za diplomasia ya sanaa na utamaduni
Dar es Salaam. Serikali imesema Tanzania inaanza kunufaika na diplomasia ya sanaa na utamaduni huku matukio makubwa ya kimataifa yakitajwa kuwa lango jipya la fursa za kiuchumi, utalii na uwekezaji. Kauli hiyo imekuja wakati dunia ikizidi kuelekeza nguvu katika matumizi ya sanaa, michezo, lugha na utamaduni kama nyenzo za kuongeza ushawishi wa kimataifa, kukuza uchumi…
-

Serikali yaongeza safari za ndege ndani, imo Chato
Dodoma. Serikali imetangaza safari mpya za ndege katika mikoa mbalimbali nchini ambazo zitaanza Juni 2026. Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amesema mpango huo unalenga kufungua nchi na kuongeza safari za utalii. Kihenzile ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Mei 25, 2026 wakati akijibu maswali ya nyongeza ya Mbunge wa Chato Kaskazini (CCM) Cornel Magembe ambaye…
-

Lema azungumzia kauli ya Waziri Mkuu kuhusu utekaji
Dodoma. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mlezi wa chama hicho Kanda ya Kati, Godbless Lema amejibu kauli ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuhusu utekaji. Lema alisema hayo kwenye mkutano wa hadharani jijini Dodoma jana Jumapili Mei 24, 2026 ambapo alieleza kuwa kauli ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu…
Latest News
About the Author

AF themes
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports












