Author: admin
-
CHAMA CHA MPIRA WILAYA YA IRINGA CHAWEKA MIKAKATI YA UTEKELEZAJI WA LIGI YA WILAYA 2026/27 – Habari Mpya
MWENYEKITI wa Chama cha Mpira Wilaya ya Iringa, Joel Musiba, amesema kuwa chama hicho kimekutana na viongozi wa timu zote zilizochukua fomu za ushiriki wa Ligi ya Wilaya kwa lengo la kukumbushana kanuni na kuweka misingi itakayowaongoza katika msimu ujao wa mashindano. Akizungumza katika kikao hicho, Musiba amesema wamewaita viongozi wa timu ili washiriki katika…
-

Wacheza upatu wanavyopigwa na vijumbe WhatsApp
Dar es Salaam. Miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la watu wanaopoteza fedha kupitia makundi sogozi wa WhatsAp’ yanayoundwa kwa ajili ya kucheza upatu. Makundi hayo huanza kwa mtindo wa kuaminiana, ambapo wanachama huchangia fedha wanazokubaliana kila siku, wiki au mwezi; ambapo mtu mmoja mmoja huchangiwa kwa kila mzunguko. Hata hivyo, muda unavyosonga, migogoro…
Latest News
About the Author

AF themes
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
















