Category: Habari
-

Msajili atonesha kidonda cha Chadema
Dar es Salaam. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikitoa tathimini ya uhabirifu wa mali kipindi walichofungiwa kujishughulisha na siasa, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imetonesha kidonda kwa kukilima barua nyingine. Mbali na hayo, chama hicho kimeeleza utaratibu utakaofuatwa kwa waliokuwa wanachama wanaotaka kurejea, na hasa wale waliotishia uhai wa chama. Juni…
-

MATIVILA AAGIZA WAKANDARASI KUZINGATIA UBORA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI – Habari Mpya
Naibu Katibu Mkuu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI) anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila, amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali chini ya Mradi wa TACTIC kuzingatia viwango vya ubora vilivyoainishwa katika mikataba yao. Mhandisi Mativila ametoa agizo hilo Mei 29,2026 wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi…
-
NILIVYOFANIKIWA KUPATA MIMBA BAADA YA MIAKA YA KUAMBIWA SINA UWEZO WA KUSHIKA MIMBA – Habari Mpya
Kwa miaka mingi nilikuwa naishi na maumivu ambayo ni vigumu kuelezea. Baada ya kuolewa, mimi na mume wangu tulikuwa na ndoto ya kuwa wazazi. Kila mwaka ulivyopita bila kupata mtoto, pressure ilianza kuongezeka. Mwanzoni tuliamini muda wetu ungefika, lakini kadri miaka ilivyosonga mbele, matumaini yangu yalianza kupungua. Kwa kweli iliniumiza sana. Kilichoniumiza zaidi ni maneno…
-
NILIVYOMNASA MFANYAKAZI WANGU ALIYEKUWA AKIIBA HELA DUKANI KWANGU BAADA YA HASIRA YA MIEZI SITA – Habari Mpya
Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilihisi biashara yangu ilikuwa karibu kuanguka kabisa. Nilikuwa nimeanzisha duka langu kwa juhudi nyingi sana. Nilijinyima mambo mengi ili nipate mtaji, nikajituma kuhakikisha biashara inakua. Mwanzoni mambo yalikuwa mazuri wateja walikuwa wanakuja, mauzo yalikuwa yanaongezeka, na nilikuwa na matumaini makubwa. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika….. SOMA ZAIDI
-

ZAIDI YA WASAFIRI 75,000 WAFANYIWA UCHUNGUZI NA HAKUNA KISA CHA EBOLA KILICHOBAINIKA TANZANIA HADI SASA – Habari Mpya
Na Hassan Kimweri, WAF – Kagera Tanzania imeendelea kuimarisha udhibiti dhidi ya ugonjwa wa Ebola kwa kushirikiana na nchi jirani ikiwemo Uganda, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Burundi na Kenya kupitia ushirikiano wa kikanda ili kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya Ebola. Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amesema Hayo leo Mei 30,…
-

SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA HUDUMA ZA WAZEE NA FURSA ZA KIUCHUMI KWA VIJANA – MAHUNDI – Habari Mpya
Na Jackline Minja- WMJWM Dodoma Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi, amesema Serikali itaendelea kuweka kipaumbele katika ustawi wa wazee na uwezeshaji wa vijana kupitia utekelezaji wa programu mbalimbali zinazolenga kuboresha maisha yao na kuongeza ushiriki wao katika shughuli za maendeleo ya taifa. Mhe. Mahundi ameyasema…
-

HAZINA YA UTALII INAYOHIFADHI HISTORIA NA BIOANUAI – Habari Mpya
*Wahifadhi wa Sao Hill wavutiwa na mafanikio ya utalii ikolojia, watakiwa kuhamasisha kura za Tuzo za Kimataifa za Utalii Na Mwandishi Wetu, Pwani Hifadhi ya Msitu wa Asili ya Pugu Kazimzumbwi mkoani Pwani imeendelea kujidhihirisha kuwa moja ya hazina kubwa za utalii wa ikolojia nchini baada ya kuvutia wahifadhi kutoka Shamba la Miti Sao Hill…
-

Kikwete aongoza waombolezaji kumuaga mtumishi Udsm aliyefariki ajalini
Dar es Salaam. Waombolezaji mbalimbali aliyekuwa Ofisa Uhusiano Mkuu na Mkuu wa Itifaki wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Jackson Isdory, wamemwelezea namna alivyojitoa katika utumishi na kuwa msaada kwa wengine wakati wa enzi za uhai wake. Shughuli hiyo ya wanajumuiya wa UDSM iliongozwa na Mkuu wa Chuo hicho na Rais Mstaafu Jakaya…
-

PURA yaunga mkono mapambano dhidi ya Ukimwi, MSY
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeahidi kuwa kuwa itandelea kuunga mkono juhudi za Serikali za kukabiliana na ugonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) na Magonjwa Sugu Yasiyoambukiza (MSY) kwa kuwezesha mafunzo ya mara kwa mara kwa watumishi wake. Hayo yamebainishwa na mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa PURA,…
-
DKT. MWIGULU AAGIZA WALIOIBA MILIONI 500 MANYONI KUKAMATWA – Habari Mpya
*Aagiza watumishi waliohusika na ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni 500 Manyoni wakamatwe na fedha zirudishwe * Akemea rushwa, wizi wa fedha za umma na matumizi mabaya ya madaraka * Aonya viongozi wanaowaza vyeo badala ya kutatua changamoto za wananchi WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza watumishi waliohusishwa na ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













