Category: Habari
-

Hemed ataja fursa uchumi wa buluu, akaribisha wawekezaji
Unguja. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema Zanzibar ina fursa kubwa za uwekezaji katika sekta ya uchumi wa buluu, ikiwamo ufugaji wa viumbe maji, usindikaji wa mazao ya baharini, bioteknolojia ya baharini na utalii wa mazingira. Mbali na sekta hizo, amesema pia kuna nafasi za uwekezaji katika usafirishaji wa baharini,…
-

Walichokisema mahakamani mawakili wa utetezi kesi ya vigogo wa MSD
Dar es Salaam. Wakili wa utetezi katika kesi ya wizi wa dawa na vifaa tiba inayowakabili watumishi sita wa Bohari ya Dawa (MSD), Seif Rashid ameutaka upande wa Jamhuri kukamilisha upelelezi kwa wakati ili iweze kuandelea na hatua nyingine. Pia, ameiomba Mahakama itoe hati ya wito wa kuwapeleka washtakiwa mahakamani kutoka rumande, kwa sababu kesi…
-

Mwaselela alivyotatua kero ya uzio Kituo cha Afya Iyela
Mbeya. Kilio cha wagonjwa na watoa huduma za afya katika Kituo cha Afya Kata ya Iyela mkoani Mbeya juu ya muingiliano wa shughuli za wananchi huenda kikabaki historia baada ya changamoto ya uzio kupatiwa ufumbuzi. Hii ni baada ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (MNEC) Mkoa wa Mbeya, Ndele Mwaselela kukabidhi…
-

Urithi wa Dk Salim wazua mjadala wa uhuru wa kiuchumi Afrika
Dar es Salaam. Maonyesho ya muda ya kuenzi urithi wa mwana diplomasia mashuhuri, Dk Salim Ahmed Salim yaliyozinduliwa wiki hii, yameibua mjadala mpana kuhusu mwelekeo wa kiuchumi nchini Tanzania, utegemezi wa mitaji ya nje na mustakabali wa ajenda ya maendeleo ya bara la Afrika. Maonyesho hayo ya mwezi mmoja, yaliyoandaliwa kupitia Salim Ahmed Salim Digital…
-

Vigogo wa zamani wa Temesa, CWT kortini kwa uhujumu uchumi
Dodoma. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) imewafikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma waliokuwa viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) pamoja na watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (Temesa). Viongozi na watendaji hao wanatuhumiwa kwa makosa ya kuunda genge la uhalifu, uhujumu uchumi, utakatishaji fedha kwa kujipatia fedha…
-

TANZANIA KUANDAA MPANGO WA HATUA ZA MAPEMA ZA KUJIANDAA KUKABILIANA NA UKAME – DKT. YONAZI – Habari Mpya
Na Mwandishi wetu – Msumbiji TANZANIA inaandaa Mpango wa Kitaifa wa Hatua za Mapema za kujiandaa, kukabiliana na ukame kwa maeneo yanayokabiliwa na janga hilo kwa kushirikiana na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), ikiwa ni jitihada za kupunguza athari za janga hilo nchini. Hatua hiyo inaonesha dhamira ya serikali kuachana na utaratibu wa…
-

Serikali kushirikiana na mataifa ya Afrika kuwawezesha vijana
Arusha. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi mbalimbali za Afrika katika kuandaa na kutekeleza mipango ya maendeleo ya vijana kwa lengo la kukabiliana na changamoto zinazowakabili, pamoja na kuongeza ushiriki wao katika maendeleo ya uchumi. Nanauka amesema changamoto zinazowakabili vijana hazipo Tanzania…
-

WANAHABARI WATAKIWA KUJIUNGA VYAMA VYA WAFANYAKAZI KULINDA HAKI ZAO – Habari Mpya
Na.Sophia Kingimali. Rais wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya, amewataka wanahabari nchini kujiunga na vyama vya wafanyakazi ili kujenga umoja, kulinda maslahi yao na kupigania haki zao mahali pa kazi kwani kupitia umoja huo waandishi wa habari wataweza kupata nguvu ya pamoja katika kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakabili ikiwemo ukosefu wa mikataba…
-

Akutwa amefariki dunia chumbani kwake kwa kukosa hewa
Makete. Mkazi wa Kijiji cha Ikonda kilichopo Wilaya ya Makete mkoani Njombe, Nestory Mbilinyi (43), amefariki dunia baada ya mwili wake kukutwa ndani ya chumba alichokuwa amejiwekea kufuli kwa siku kadhaa huku chanzo cha kifo kikielezwa kuwa ni kukosa hewa kutokana na matatizo ya kiafya aliyokuwa nayo. Tukio hilo limeelezwa leo Mei 25, 2026 na…
-
SERIKALI YAHAKIKISHA MAZINGIRA BORA KATIKA MAKAZI YA WATOTO NCHINI – Habari Mpya
Na Jackline Minja, Dodoma Serikali imeendelea kuweka utaratibu madhubuti wa kuhakikisha watoto wanaoishi katika vituo vya kulelea watoto wanakuwa katika mazingira bora, salama na yenye kuzingatia ustawi wao kwa mujibu wa sheria, kanuni na miongozo ya nchi. Kauli hiyo imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mhandisi…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













