Category: Habari
-
NAIBU WAZIRI KWAGILWA AHIMIZA USHIRIKIANO USAFI WA MAZINGIRA – Habari Mpya
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa leo Mei 25, 2026 akiongoza zoezi la usafi wa mazingira lililohusisha uokotaji wa taka na kusafisha mifereji ya maji machafu katika eneo la Taifa Road ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo kilele chake kitafanyika jijini Dodoma Juni…
-

Wahitimu waonywa kutegemea vyeti pekee soko la ajira
Dar es Salaam. Katika kipindi ambacho ushindani wa ajira unaongezeka na teknolojia mpya kama akili unde zikibadili mfumo wa kazi duniani, wahitimu wa vyuo vikuu nchini wameonywa kutotegemea vyeti pekee kama tiketi ya mafanikio, bali kujenga uwezo wa ubunifu, maadili na kutatua changamoto za jamii. Ujumbe huo umetolewa leo Mei 25,2026 na viongozi wa Chuo…
-

DKT. MWIGULU KUMWAKILISHA RAIS SAMIA CONGO BRAZAVILLE – Habari Mpya
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameondoka nchini leo (Jumatatu, Mei 25, 2026) kwenda Brazzaville, Jamhuri ya Kongo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB). Mkutano huo utafanyika Mei 26 – 27, 2026, katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa…
-

‘Ofisi ubalozi mdogo wa Italia Zanzibar zipo’
Dodoma. Serikali ya Tanzania imesema nchi ya Italia bado ina ofisi ndogo ya ubalozi (Vice-Consulate) iliyopo eneo la Kiembesamaki, Barabara ya kwenda Uwanja wa Ndege wa Karume Unguja, Zanzibar. Aidha imemtaja mwakilishi wake (Konseli Mkuu) anaitwa Stefano Totisco wa Cafe 27. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Mei 25, 2026 na Waziri wa Mambo ya Nje…
-

TMA YATAHADHARISHA ATHARI ZA EL NINO OKTOBA-DESEMBA, JOTO KUONGEZEKA – Habari Mpya
Na John Bukuku, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetahadharisha kuhusu uwezekano wa kuongezeka kwa viwango vya joto la bahari pamoja na mabadiliko ya mifumo ya hali ya hewa vinavyohusishwa na hali ya El Niño, hali inayoweza kuathiri mwenendo wa mvua, upepo na afya za wananchi katika kipindi cha Juni hadi…
-

WANARUDI NYUMBANI CHIMBUKO LA ASILI YAO – Habari Mpya
Kumekuwa na mwitikio mkubwa wa watalii wa ndani kutembelea hifadhi ya Ngorongoro hii ikimaanisha wanarudi nyumbani eneo ambalo ndilo pekee lenye ushahidi wa kisayansi usiotiliwa shaka kuwa ndio chanzo cha binadamu wa kale. Safari hii ni zamu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT ) chini ya Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo Usharika wa…
-

TMA YATAHADHARISHA ATHARI ZA EL NIÑO, JOTO KUONGEZEKA JUNI HADI AGOSTI 2026 – Habari Mpya
Na John Bukuku, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetahadharisha kuhusu uwezekano wa kuongezeka kwa viwango vya joto la bahari pamoja na mabadiliko ya mifumo ya hali ya hewa vinavyohusishwa na hali ya El Niño, hali inayoweza kuathiri mwenendo wa mvua, upepo na afya za wananchi katika kipindi cha Juni hadi…
-

Vifo vya Ebola vyafikia 200 DRC, wagonjwa wakiongezeka Uganda
Dar es Salaam. Jumla ya watu 200 wamefariki dunia huku zaidi ya wagonjwa 850 wakihusishwa na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), hali inayozua taharuki kubwa katika nchi jirani. Hata hivyo, Uganda iliyokuwa na kifo kimoja cha Ebola, sasa imetoa takwimu mpya ya kuwa na wagonjwa watano, licha ya…
-

Mahakama kusikiliza tena maombi ya Lissu Juni 2
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imewapa siku saba wajibu maombi katika shauri la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, kujibu maombi yake huku ikipanga kusikiliza shauri hilo Juni 2, 2026. Lissu, ambaye yuko mahabusu kutokana na kesi ya uhaini, ameomba kujumuishwa katika kesi ya madai ya…
-

TMA yataja athari magonjwa haya msimu wa kipupwe, El-nino ikitarajiwa
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema msimu wa kipupwe unaotarajiwa kuanza Juni hadi Agosti 2026 utakuwa na hali ya baridi katika maeneo mengi ya nchi. Aidha, imesema kunatarajiwa kuambatana na upepo mkali, vumbi, magonjwa ya mfumo wa hewa pamoja na vipindi vya mvua za nje ya msimu katika baadhi ya…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed











