Category: Habari

  • HAKUNA MTOTO ATAKAYEACHWA NYUMA KATIKA ELIMU – Habari Mpya

    HAKUNA MTOTO ATAKAYEACHWA NYUMA KATIKA ELIMU – Habari Mpya

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema kuwa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika ni kumbusho kwa jamii kuhusu wajibu wa kulinda na kuendeleza haki za watoto, sambamba na kumbukumbu ya watoto wa Soweto nchini Afrika Kusini waliopigania haki ya kupata elimu bora.    Akizungumza Juni 16, 2026 jijini Dodoma, Prof. Mkenda…

    Continue Reading

  • Kenya kutumia Sh40.6 bilioni kulipa fidia waathirika wa maandamano

    Kenya kutumia Sh40.6 bilioni kulipa fidia waathirika wa maandamano

    Nairobi. Serikali ya Kenya inayoongozwa na Rais William Ruto imetenga Ksh2 bilioni, sawa na Sh40.6 bilioni za Tanzania, kwa ajili ya kuwalipa fidia waathirika wa vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu, vikiwamo vya ukatili wa polisi. Ukiukwaji huo ulitokana na maandamano ya mwaka 2017 na 2022 yaliyohusishwa na migogoro iliyotokana na uchaguzi mkuu, maandamano…

    Continue Reading

  • TAKUKURU MWANZA YAOKOA TSH. MILIONI 106 KATIKA KESI YA UHUJUMU UCHUMI – Habari Mpya

    Na Mwandishi wetu, Mwanza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imetoa hukumu katika shauri la jinai Na. ECC 13121/2026 linalowakabili viongozi wa Chama cha Ushirika cha SUGECO cha Mkoa wa Morogoro, kwa makosa ya uhujumu uchumi yaliyosababisha hasara kwa serikali. Katika hukumu iliyotolewa Juni 12, 2026, mahakama iliwatia hatiani Bw. Revocatus Vallery Kimario na…

    Continue Reading

  • Kamati, wabunge wafichua ‘matobo’ ya bajeti 2026/27

    Kamati, wabunge wafichua ‘matobo’ ya bajeti 2026/27

    Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiwasilisha bajeti ya Sh62.3 trilioni, Kamati ya Bunge ya Bajeti imesema hatua za kubana matumizi zilizotajwa hazitekelezeki huku ikiitaka Serikali kupitia upya baadhi ya mapendekezo kwa kuwa, yanaumiza wananchi na vijana. Juni 11, mwaka huu Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, aliwasilisha bajeti hiyo ya mwaka 2026/27, ikitaja baadhi…

    Continue Reading

  • MIRADI YA BULUU KABONI KUNUFAISHA JAMII UKANDA WA PWANI – Habari Mpya

    Serikali imesema utekelezaji wa miradi ya biashara ya kaboni hasa kaboni ya buluu utakapokamilika na mauzo kufanyika, itanufaisha jamii inayozunguka maeneo mengi ya Ukanda wa Pwani.    Hayo yamesemwa bungeni jijini Dodoma leo Juni 16, 2026 na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa wakati akijibu swali la Mbunge…

    Continue Reading

  • Ushahidi kupinga ubunge wa Baba Levo kuanza kutolewa Juni 18

    Ushahidi kupinga ubunge wa Baba Levo kuanza kutolewa Juni 18

    Dar es Salaam. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Kigoma, imepanga kuanza kusikiliza kesi ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Mjini katika hatua ya ushahidi kuanzia keshokutwa, Alhamisi, Juni 18, 2026. Hatua hiyo inatokana na kukamilika kwa taratibu za awali na za msingi za usikilizaji wa kesi hiyo, ambazo zimehitimishwa katika hatua ya usikilizwaji wa awali…

    Continue Reading

  • DUME LA RIKA UMASAINI NDIO SAFARI YA KUAGA UJANA – Habari Mpya

    DUME LA RIKA UMASAINI NDIO SAFARI YA KUAGA UJANA – Habari Mpya

    Katika jamii ya Kimaasai, maisha ya mwanaume hupitia hatua mbalimbali za kimila zinazoonyesha ukuaji, Miongoni mwa hatua hizo muhimu ni kufanyiwa sherehe inayojulikana kwa jina la *Orkiteng le Sirit* ikimaanisha ni mwisho wa ujana na kuingia uzeeni. Katika hatua hii ambapo mtu anatawazwa kuingia rika la uzee, wazee wa jamii hiyo huchagua *Dume la rika*…

    Continue Reading

  • Kiza alivyomkwepa Mbowe akatua kwa Zitto-2

    Kiza alivyomkwepa Mbowe akatua kwa Zitto-2

    Dodoma. Katika simulizi ya safari ndefu ya kisiasa iliyosheheni matumaini, changamoto na uthubutu wa muda mrefu, mbunge wa Kigoma Kaskazini (ACT- Wazalendo), Kiza Mayeye, ameeleza kwa undani namna ndoto aliyoiweka moyoni kwa zaidi ya miaka 30 ilivyotimia kupitia msimamo, ujasiri na safari yenye misukosuko ya kisiasa. Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwananchi simulizi iliyoanza jana,…

    Continue Reading

  • Uchimbaji madini kichocheo kwa wanafunzi kuacha shule -2

    Uchimbaji madini kichocheo kwa wanafunzi kuacha shule -2

    Geita. Katika Kijiji cha Lwamgasa, mkoani Geita, takribani watoto 60 waliokuwa wanatarajiwa kuanza kidato cha kwanza mwaka huu hawajulikani walipo, hali inayozua hofu kwa walimu na viongozi wa eneo hilo. Licha ya kuwapo kwa hatua kali za kuhakikisha wanafunzi wanahudhuria masomo, mvuto wa shughuli za uchimbaji madini zilizo karibu unaonekana kuwa mkubwa kuliko wito wa…

    Continue Reading

  • Boni Yai aripoti Polisi Oysterbay, aambatana na mawakili wawili

    Boni Yai aripoti Polisi Oysterbay, aambatana na mawakili wawili

    Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Boniface Jacob maarufu Boni Yai, amewasili katika Ofisi za Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa (RCO) wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa ajili ya kuitikia wito wa Jeshi la Polisi uliomtaka kuripoti katika ofisi hizo. Boni Yai amewasili katika ofisi hizo…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports