Category: Habari

  • Wadau: Afrika inapaswa kujitegemea katika chakula

    Wadau: Afrika inapaswa kujitegemea katika chakula

    DAR ES SALAAM: Mabadiliko yanayoendelea kufanyika katika mpango wa Marekani wa Food for Peace yameibua mjadala muhimu ambao Afrika haiwezi tena kuupuuza: utegemezi wa muda mrefu wa misaada ya chakula kutoka nje ya bara. Kwa zaidi ya miongo saba, mpango huo umekuwa miongoni mwa vyanzo vikubwa vya msaada wa chakula kwa mataifa yanayokabiliwa na njaa,…

    Continue Reading

  • TIMU YA WATAALAM KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU YAANZA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI MABIBO DSM – Habari Mpya

    TIMU YA WATAALAM KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU YAANZA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI MABIBO DSM – Habari Mpya

    Timu ya watalaam kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Juni 15, 2026 imeanza kutatua mgogoro wa malalamiko ya Kituo cha St. Charles Missionary Society, Tanzania wa kuzuiwa kuendeleza eneo lao Kiwanja Namba “794”, Kitalu “D” Mabibo katika Manispaa ya Ubungo jijini Dar es salaam.  Pichani, Mwenyekiti wa Wadhamini wa Kituo hicho, Sister Flossy Sequiere akiwa katika…

    Continue Reading

  • Wabunge wafagilia PSSSF, NSSF utekelezaji miradi

    Wabunge wafagilia PSSSF, NSSF utekelezaji miradi

    WABUNGE wamepongeza Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuendelea kupanua wigo wa huduma za hifadhi ya jamii kupitia Skimu ya Hifadhi kwa Wananchi Waliojiajiri, wakisema mpango huo unatoa fursa kwa mamilioni ya Watanzania kunufaika na huduma za hifadhi ya jamii. Aidha, wamepongeza uwekezaji uliofanywa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi…

    Continue Reading

  • TANGA KUPOKEA MWENGE WA UHURU JUNI 17, MIRADI YA BIL. 27.7 KUKAGULIWA – Habari Mpya

    TANGA KUPOKEA MWENGE WA UHURU JUNI 17, MIRADI YA BIL. 27.7 KUKAGULIWA – Habari Mpya

    Na Oscar Assenga, Tanga Mkoa wa Tanga unatarajia kuupokea Mwenge wa Uhuru Juni 17, mwaka huu, ambapo utakimbizwa katika halmashauri zote 11 za mkoa huo na kukagua, kuzindua pamoja na kuweka mawe ya msingi katika miradi 73 yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 27.7. Hayo yalisemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi…

    Continue Reading

  • JUST AFUNGA MAWILI, IRAN YACHOMOA SARE YA 2-2 – Habari Mpya

    JUST AFUNGA MAWILI, IRAN YACHOMOA SARE YA 2-2 – Habari Mpya

    Iran na New Zealand zimetoka sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa Kundi G wa Kombe la Dunia, huku mshambuliaji wa Motherwell, Just, akifunga mabao mawili kwa upande wa New Zealand. Iran ilifanikiwa kusawazisha kupitia bao la ustadi la Rezaeian, aliyefunga kwa mpira wa kisigino na kurejesha matumaini ya timu yake. Baadaye, Mohebbi aliifungia Iran…

    Continue Reading

  • Mtoto aliyetekwa apatikana hai msituni, baba adaiwa kuhusika

    Mtoto aliyetekwa apatikana hai msituni, baba adaiwa kuhusika

    Mbeya. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia kikosi maalumu cha kupambana na uhalifu, limefanikiwa kumpata mtoto Razaki Mwakatundu (5) aliyekuwa ameripotiwa kutekwa akiwa hai. Mtoto huyo amepatikana akiwa ametelekezwa katika Msitu wa Hifadhi ya Kitulo, mpakani mwa mikoa ya Mbeya na Njombe. Razaki anayesoma elimu ya awali katika Shule ya Msingi Mwakimome, aliripotiwa kutekwa…

    Continue Reading

  • Wazee Chadema kujifungia Singida kujadili mustakabali wa chama

    Wazee Chadema kujifungia Singida kujadili mustakabali wa chama

    Dar es Salaam. Baraza la Wazee la Chadema) (Bazecha) linatarajiwa kukuketi kwa siku mbili mkoani Singida kujadili masuala mbalimbali ya chama na kutoa ushauri kwa viongozi kuanzia ngazi za chini hadi taifa. Mkutano huo, unaotarajiwa kufanyika Juni 23 hadi 24, 2026, utawakutanisha wajumbe kutoka mikoa mbalimbali nchini kwa lengo la kukumbushana majukumu yao ya kikatiba,…

    Continue Reading

  • Safari bajeti za maendeleo zilivyoibadili Tanzania

    Safari bajeti za maendeleo zilivyoibadili Tanzania

    Katika kipindi cha miaka mitano, Serikali ilitenga zaidi ya Sh trilioni 228 kwenye bajeti zake huku Sh trilioni 76.3 zikielekezwa kwenye maendeleo. Je fedha hizo zimeleta matokeo gani katika maisha ya wananchi na uchumi wa Taifa? Ungana na SYLIVESTER DOMASA katika makala haya. Mwaka 2021, mkazi wa Sumbawanga aliyekuwa akihitaji huduma ya CT Scan au…

    Continue Reading

  • Mwendokasi kuachiwa kutoa huduma Mbagala, daladala kuhamishwa

    Mwendokasi kuachiwa kutoa huduma Mbagala, daladala kuhamishwa

    Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imesema kuanzia Julai mosi, mwaka huu, daladala zote zinazotumia Barabara ya Kilwa hazitaruhusiwa kutoa huduma katika maeneo yanayohudumiwa na mradi wa mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi). Kwa mujibu wa Latra, wananchi wanaotoka Mkuranga, Tuangoma na vitongoji vingine, daladala zitakuwa zikiishia Kituo cha Mwendokasi cha Mbagala Rangitatu, na…

    Continue Reading

  • KIWANDA KIKUBWA CHA KUZALISHA BIDHAA ZA CHUMA KUJENGWA NALA, JIJINI DODOMA – Habari Mpya

    KIWANDA KIKUBWA CHA KUZALISHA BIDHAA ZA CHUMA KUJENGWA NALA, JIJINI DODOMA – Habari Mpya

    ▪️Ni uwekezaji wa zaidi ya Tsh Bilioni 600 ▪️Malighafi ya madini chuma kutumika kama bidhaa kuu ▪️Ajira 1500 kuzalishwa, huku ujenzi ukikamilika ndani ya miezi 15 kuanzia Julai, 2026  ▪️Rais Samia apongezwa kwa mazingira rafiki ya Uwekezaji ▪️Waziri Mavunde apongeza uongezaji thamani madini kutengeneza bidhaa 📍Dodoma Kufuatia mazingira mazuri ya uwekezaji yaliyowekwa na Serikali ya…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports