Category: Habari
-

RAIS DKT. SAMIA KUPOKEA GAWIO LA SERIKALI JUNI 30 IKULU DAR ES SALAAM – Habari Mpya
Naibu Msajili wa Hazina, Lightness Mauki, amesema Serikali itaendelea kuimarisha uwazi, uwajibikaji na usimamizi wa uwekezaji wa umma ili kuhakikisha rasilimali zilizowekezwa katika taasisi, mashirika ya umma na kampuni zenye hisa za Serikali zinaendelea kuleta tija kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Bi. Mauki amesema hayo leo Juni 15, 2026 wakati akizungumza na waandishi wa…
-

ITALIA KUWEKEZA BIASHARA YA KABONI TANZANIA – Habari Mpya
Ushirikiano baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SJMT) na Serikali ya Italia umeleta manufaa nchini ambapo taifa hilo limeonesha nia ya kufanya uwekezaji katika biashara ya kaboni na hifadhi ya mazingira kwa ujumla. Hayo yamebainika wakati Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi…
-

Serikali yaanza mpango kuondoa uchimbaji wa kubahatisha
DAR ES SALAAM: Serikali imeanza safari ya kuondoa uchimbaji wa kubahatisha nchini baada ya kuweka mfumo utakaowezesha asilimia 10 ya makusanyo ghafi ya mapato ya madini kubaki kwenye Sekta ya Madini kwa ajili ya kugharamia utafiti na uwekezaji. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema hatua hiyo ni moja ya maamuzi makubwa ya Serikali ya Awamu…
-
NILIVYOPATA HESHIMA KWENYE KIKAO CHA FAMILIA BAADA YA KUPUUZWA KWA MIAKA NA MAONI YANGU KUTOSIKILIZWA – Habari Mpya
Kwa miaka mingi, nilihisi kama sauti yangu haikuwa na maana ndani ya familia yetu. Kila kulipokuwa na kikao cha kifamilia, wazee na ndugu wengine walizungumza na kufanya maamuzi muhimu huku maoni yangu yakipuuzwa. Mara nyingi nilijaribu kutoa mawazo yangu, lakini watu walionekana kutoyapa uzito wowote. Mwanzoni nilivumilia. Nilijiaminisha kwamba labda siku yangu ingefika. Lakini kadri…
-
NILIVYOSHANGAA BAADA YA MTEJA ALIYEKUWA AMENIKIMBIA NA DENI KUBWA KURUDI MWENYEWE KULIPA KILA KITU – Habari Mpya
Miaka miwili iliyopita, nilikuwa nikifanya biashara yangu kwa matumaini makubwa. Biashara ilikuwa inaendelea vizuri na nilikuwa nimejijengea wateja wengi wa kudumu. Kwa sababu ya uaminifu tuliokuwa nao, mara nyingine nilikuwa nikiwaruhusu baadhi yao kuchukua bidhaa kwa mkopo na kulipa baadaye. Mmoja wao alikuwa mteja niliyemwamini sana. Tulikuwa tumefanya biashara kwa muda mrefu bila matatizo yoyote.…
-

Ni siku saba za uamuzi bungeni
Dar es Salaam. Mjadala wa Bajeti ya Serikali ya mwaka 2026/27 unaanza leo bungeni jijini Dodoma huku wadau wakitaka hoja za wabunge zijikite kuangalia mifumo ya ukusanyaji wa mapato iliyopendekezwa na huduma za wananchi. Wadau hao wanasema mara nyingi Bunge hupitisha makadirio makubwa ya mapato bila kujiridhisha kama mifumo iliyopo inaweza kufanikisha ukusanyaji huo bila…
-

Wema wa kusaidia mzigo wa mtu unavyoweza kukuponza
Dar es Salaam. “Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo niliwahi kumsaidia mama mmoja aliyepanda kwenye daladala akiwa amechoka kumbeba mtoto aliyekuwa naye nikatumia hekima na utu wangu kutokana na uchovu wake, lakini kumbe bila kujua naenda kuangushiwa jumba bovu. “Nilivyombeba mtoto huyo mwenye umri kati ya mwaka mmoja na nusu hadi miwili kuanzia kituo alichopanda katika…
-

Mfupa uliomshinda baba CCM, binyite auweza akiwa upinzani
Dodoma. Kila mwanadamu ana mapito yake hapa duniani. Wapo walioamini katika mafanikio lakini hawakufikia ndoto zao, na wengine walikutana na mafanikio bila kutarajia. Katika safari hiyo, wapo waliotarajia na huenda walijipa matumaini ya ushindi, lakini wakaishia njiani bila kujua upande wa kuelekea. Hata hivyo, jambo muhimu ni kuendelea kuamini katika ushindi bila kukata tamaa. Mifano…
-

Utoto wauzwa kwa Sh2,000 migodini Geita -1
Geita. Katika eneo la Kwa Emmanueli Lwamgasa mkoani Geita, mvulana mwenye miaka 14 (jina limehifadhiwa) hutumia siku za maisha yake kuvunja mawe chini ya jua kali ili kujikimu yeye na ndugu zake wawili wenye miaka 17 na 19. Kutokana na hali ngumu ya maisha ya familia yenye kipato kisichotabirika, ndugu hao hutegemea kila shilingi wanayoipata…
-

Katavi wanufaika huduma za afya za kibingwa bure
KATAVI; Wananchi wa Mkoa wa Katavi wamepongeza hatua ya Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Empower Society Build the Nation (ESBN) kuweka kambi maalumu ya huduma za afya bure, wakisema imewasaidia kupata matibabu ya kibingwa ambayo wengi wao walikuwa wakishindwa kuyamudu kutokana na gharama zake. Huduma hizo zinazotolewa kwa siku saba zinahusisha upimaji wa magonjwa mbalimbali,…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













