Author: admin

  • Mtoto akatwa mkono baada ya kupigwa shoti ya umeme Dodoma

    Mtoto akatwa mkono baada ya kupigwa shoti ya umeme Dodoma

    ‎Dodoma. Mtoto, Mgulumi Saning’o (11), mkazi wa Kijiji cha Kongogo Kata ya Babayu wilayani Bahi, Mkoa wa Dodoma, amekatwa mkono wa kulia baada ya kujeruhiwa na waya wa umeme uliokuwa uliokuwa unaning’inia eneo la kijiji hicho. ‎‎Mbali na kupoteza mkono, mtoto huyo ameungua sehemu mbalimbali za mwili kuanzia miguuni hadi mikononi baada ya kupigwa shoti…

    Continue Reading

  • ‘Taasisi imara msingi ukuaji wa uchumi Afrika’

    ‘Taasisi imara msingi ukuaji wa uchumi Afrika’

    Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa ukuaji wa uchumi wa Afrika utategemea uwezo wa nchi zake kujenga taasisi imara zinazoweza kuimarisha imani ya wawekezaji, kuvutia mitaji ya muda mrefu na kuelekeza fedha katika sekta za uzalishaji. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa NMB Bank Plc, Ruth Zaipuna, alipohutubia Kongamano la Cambridge…

    Continue Reading

  • Tume ya Mipango yabainisha vipaumbele 12, mikakati ya utekelezaji Dira 2050

    Tume ya Mipango yabainisha vipaumbele 12, mikakati ya utekelezaji Dira 2050

    Dar es Salaam. Ukiwa umebaki mwezi mmoja kuanza kwa utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 (Dira 2050), Tume ya Taifa ya Mipango imeeleza vipaumbele 12 vitakavyofanyiwa kazi huku ikiainisha maeneo muhimu yanayohitaji msukumo wa kipekee ili kuleta mageuzi. Hayo yamebainishwa leo Jumapili Mei 31, 2026 Ikulu jijini Dar es Salaam na…

    Continue Reading

  • Tume ya Mipango yabainisha vipaumbele 12, mikakati ya utekelezaji Dira 2050

    Tume ya Mipango yabainisha vipaumbele 12, mikakati ya utekelezaji Dira 2050

    Dar es Salaam. Ukiwa umebaki mwezi mmoja kuanza kwa utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 (Dira 2050), Tume ya Taifa ya Mipango imeeleza vipaumbele 12 vitakavyofanyiwa kazi huku ikiainisha maeneo muhimu yanayohitaji msukumo wa kipekee ili kuleta mageuzi. Hayo yamebainishwa leo Jumapili Mei 31, 2026 Ikulu jijini Dar es Salaam na…

    Continue Reading

  • Vita dhidi ya shisha, sigara yaendelea

    Vita dhidi ya shisha, sigara yaendelea

    Dar es Salaam. Wakati matumizi ya shisha na sigara za kielektroniki yakizidi kuenea kwa baadhi ya vijana nchini, wataalamu wa afya wameeleza tabia hiyo itaongeza mzigo wa saratani na magonjwa mengine yasiyoambukiza ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa. Ili kudhibiti hilo, wanaandaa mpango wa Taifa wa kudhibiti matumizi ya tumbaku na bidhaa zake ili kulinda afya…

    Continue Reading

  • Baba Levo, Nondo kutunishiana misuli mahakamani

    Baba Levo, Nondo kutunishiana misuli mahakamani

    Dar es Salaam. Mvutano kati ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando (Baba Levo) na Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT-Wazalendo, Abdul Nondo, umechukua sura mpya baada ya kila upande kuonyesha dhamira ya kumfikisha mwenzake mahakamani kwa madai ya kuchafuliana taswira na kuharibu heshima zao. Chanzo cha mgogoro huo ni tuhuma ambazo kila mmoja…

    Continue Reading

  • DKT. MWIGULU AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA BILIONI 29.6 ITIGI – Habari Mpya

    DKT. MWIGULU AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA BILIONI 29.6 ITIGI – Habari Mpya

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumapili Mei 31, 2026 amekagua ujenzi wa Barabara ya Noranga (Doroto)–Itigi (Mlongojii) yenye urefu wa kilomita 25 inayojengwa katika Halmashauri ya Itigi, Wilaya ya Manyoni mkoani Singida kwa gharama ya shilingi bilioni 29.6. Akipokea taarifa ya utekelezaji wa mradi huo kutoka kwa Mkurugenzi wa Miradi wa Wakala ya Barabara…

    Continue Reading

  • Hemed: Hatuwezi kusonga mbele bila kushirikisha sekta binafsi

    Hemed: Hatuwezi kusonga mbele bila kushirikisha sekta binafsi

    Unguja. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema maendeleo ya kweli hayawezi kupatikana bila ushirikiano, hivyo Serikali inahitaji kushikamana na sekta binafsi kujenga uchumi imara. Hemed ametoa kauli hiyo leo Jumapili Mei 31, 2026 Fumba baada ya matembezi ya hiari ya kilometa tano yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (Zipa).…

    Continue Reading

  • Mambo sita yanayonogesha uhusiano | Mwananchi

    Mambo sita yanayonogesha uhusiano | Mwananchi

    Dar es Salaam. Wengi wetu tunapitia changamoto nyingi katika ndoa au uhusiano wetu. Wapo ambao hawapendi hali wanazopitia lakini hawajui chanzo ni nini; wengine wanajua tatizo lilipo, lakini hawajui namna ya “kuchomoka,” jambo linaloongeza msongo wa mawazo. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya msingi ambayo wengi hawayajui, na wale wanaoyajua mara nyingi hawayafanyii kazi, hivyo…

    Continue Reading

  • Ndoa si kikwazo cha maendeleo binafsi

    Ndoa si kikwazo cha maendeleo binafsi

    Dar es Salaam. Ndoa ni aina ya uhusiano wenye uzito mkubwa zaidi katika maisha ya mwanadamu. Ni ahadi ya kushirikiana maisha, hisia, mipango na changamoto. Hata hivyo, wataalamu wengi wa masuala ya ndoa wanakubaliana kwamba  ndoa haipaswi kumfanya mtu apoteze utambulisho au maendeleo binafsi ikiwamo umiliki wa mali. Mtaalamu mashuhuri wa masuala ya ndoa, Dk…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports