Author: admin

  • ‎TARURA YAFUNGUA FURSA ZA AJIRA KUPITIA VIKUNDI VYA KIJAMII VYA MATENGENEZO YA BARABARA – Habari Mpya

    ‎TARURA YAFUNGUA FURSA ZA AJIRA KUPITIA VIKUNDI VYA KIJAMII VYA MATENGENEZO YA BARABARA – Habari Mpya

    Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kupitia mradi wa RISE imeendelea kuimarisha ushiriki wa wananchi katika shughuli za matengenezo ya barabara kwa kutumia vikundi vya Kijamii vya Matengenezo ya Kawaida ya Barabara (CBRM) hatua inayolenga kuongeza ajira, kukuza uchumi wa wananchi na kuhakikisha barabara zinabaki katika hali nzuri mwaka mzima. ‎ ‎Akizungumza katika…

    Continue Reading

  • Mchungaji wa Congo jela miaka mitatu gerezani

    Mchungaji wa Congo jela miaka mitatu gerezani

    Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu mchungaji na raia wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), Jean Mbunzu (35) kulipa faini ya jumla ya Sh1 milioni au kwenda jela miaka mitatu, baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia kitambulisho cha Taifa (Nida) na kutoa taarifa za uongo kwa maofisa wa Uhamiaji. Mbunzu…

    Continue Reading

  • Mwinyi kuwakilisha Tanzania mkutano wa bahari

    Mwinyi kuwakilisha Tanzania mkutano wa bahari

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewasili jijini Mombasa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa 11 wa Kimataifa wa Masuala ya Bahari unaofanyika nchini Kenya. Rais Dk. Mwinyi aliwasili katika Uwanja wa…

    Continue Reading

  • Mwinyi kuwakilisha Tanzania mkutano wa bahari

    Mwinyi kuwakilisha Tanzania mkutano wa bahari

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewasili jijini Mombasa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa 11 wa Kimataifa wa Masuala ya Bahari unaofanyika nchini Kenya. Rais Dk. Mwinyi aliwasili katika Uwanja wa…

    Continue Reading

  • Ruto anavyonyooshewa kidole ziara za kimataifa, mwenyewe ajitetea

    Ruto anavyonyooshewa kidole ziara za kimataifa, mwenyewe ajitetea

    Nairobi. Ziara za nje ya nchi za Rais wa Kenya, William Ruto zimeibua gumzo nchini humo ambapo wananchi na wakosoaji wake wanaona ziara hizo zinaliongezea mzigo taifa hilo la Afrika Mashariki, hasa wakati huu ambao kuna mfumuko wa bei. Ruto amefanya ziara kadhaa za kimataifa mfululizo kuanzia Mei hadi Juni 2026 ambapo wakosoaji wanazitazama ziara…

    Continue Reading

  • Hii hapa timu ya Chadema kuchora ramani ya katiba mpya

    Hii hapa timu ya Chadema kuchora ramani ya katiba mpya

    Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza wajumbe 11 wanaounda kamati maalumu ya Kamati Kuu yenye lengo la kukwamua na kuendeleza mchakato wa kukusanya maoni ya upatikanaji wa katiba mpya, kabla ya mwaka 2027 ili kuchochea ustawi wa wananchi. Kamati hiyo iliyopewa hadidu za rejea nne na muda wa miezi mitatu kutekeleza…

    Continue Reading

  • TEEMO YAZINDUA KITUO CHA UKUSANYAJI WA PLASTIKI KUKABILI TISHIO LA UCHAFUZI WA BAHARI MAFIA – Habari Mpya

    TEEMO YAZINDUA KITUO CHA UKUSANYAJI WA PLASTIKI KUKABILI TISHIO LA UCHAFUZI WA BAHARI MAFIA – Habari Mpya

    Na Mwamvua Mwinyi, Mafia Uchafuzi wa mazingira unaotokana na taka za plastiki zinazotupwa ovyo baharini umeendelea kuwa tishio kubwa kwa mifumo ya ikolojia ya bahari, viumbe wa majini na shughuli za kiuchumi zinazotegemea rasilimali hizo, ikiwemo uvuvi, utalii na kilimo cha mwani katika fukwe mbalimbali ikiwemo Mafia. Kutokana na changamoto hiyo, Shirika la Harakati na…

    Continue Reading

  • Sensa ya uvuvi kufanyika Z’bar kuimarisha uchumi buluu

    Sensa ya uvuvi kufanyika Z’bar kuimarisha uchumi buluu

    Unguja. Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, inakusudia kufanya sensa ya uvuvi kupata takwimu sahihi za watu waliopo katika mnyororo wa thamani. Hatua hiyo inaelezwa kuwa inalenga kuongeza maendeleo katika sekta hiyo. Sensa hiyo inayotarajiwa kuanza kufanyika mwezi huu, itawahusisha wavuvi, vyombo vya uvuvi, waanika dagaa pamoja na wakulima wa mwani. Kwa sasa…

    Continue Reading

  • SAFARI YA NETUMBO NA URAFIKI WA TANZANIA NA NAMIBIA – Habari Mpya

    SAFARI YA NETUMBO NA URAFIKI WA TANZANIA NA NAMIBIA – Habari Mpya

    Ktoka mitaa ya Magomeni jijini Dar es Salaam hadi Ikulu ya Windhoek nchini Namibia, safari ya maisha ya Rais Netumbo Nandi-Ndaitwah ni moja ya simulizi za kipekee katika historia ya harakati za ukombozi barani Afrika. Miaka kadhaa kabla ya Namibia kupata uhuru wake mwaka 1990, Netumbo alikuwa miongoni mwa wanaharakati wa SWAPO waliolazimika kuishi uhamishoni…

    Continue Reading

  • Profesa Shivji atetea kizazi cha kidijitali, Udasa walilia uhuru wa mawazo

    Profesa Shivji atetea kizazi cha kidijitali, Udasa walilia uhuru wa mawazo

    Dar es Salaam. Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Issa Shivji, amewataka wanazuoni na waandishi wa vitabu kubadili mbinu za kufundisha na kuandika ili kuendana na mabadiliko ya dunia ya sasa. Wakati Profesa Shivji akisema hayo, Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa) wamesema wanazuoni wanahitaji kuwa na…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports