Author: admin

  • Sh Bil 200 na safari ya kutafuta Ajira, mitaji vijana mil.20

    Sh Bil 200 na safari ya kutafuta Ajira, mitaji vijana mil.20

    SAA 12 alfajiri, wakati sehemu kubwa ya Jiji la Dar es Salaam bado ipo usingizini, Benedicto Makwisa tayari ameshaanza kazi. Pembeni mwa Daraja la Tanzanite, anapanga madafu yake kwa ustadi huku akisubiri wateja wa kwanza wa siku. Dakika chache baadaye, mamia ya wakazi wa jiji wanaanza kuwasili kwa ajili ya mazoezi. Wengine wanakimbia. Wengine wanatembea.…

    Continue Reading

  • AI kutoa majibu kwa dakika tano JKCI

    AI kutoa majibu kwa dakika tano JKCI

    Dar es Salaam. Ile hali ya kutumia dakika 30 kusubiri majibu ya vipimo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inabaki historia, baada ya taasisi hiyo kusimika mtambo wa Akili Unde (AI) utakaotoa majibu ndani ya dakika tatu. Kwa mujibu wa JKCI, mtambo huo wa AI una uwezo wa kuchakata sampuli 4,000 za wagonjwa…

    Continue Reading

  • Kadogosa: Biashara ndogondogo zahitaji mazingira wezeshi

    Kadogosa: Biashara ndogondogo zahitaji mazingira wezeshi

    MBUNGE wa Bariadi Vijijini, Masanja Kadogosa, amesema biashara ndogondogo zinapaswa kuwekewa mikakati madhubuti na mazingira rafiki ili ziweze kustawi na kutoa mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi wa taifa. Akichangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2025, Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa 2026/27 pamoja na Bajeti ya Serikali ya mwaka 2026/27,…

    Continue Reading

  • Chalamila awatumia ujumbe ‘wanaoleta chokochoko mitandaoni’

    Chalamila awatumia ujumbe ‘wanaoleta chokochoko mitandaoni’

    Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila ametaja mikakati ya kuimarisha ulinzi na usalama wa jiji hilo dhidi ya alichokiita chokochoko mitandaoni. Chalamila ameyasema hayo leo Jumatatu Juni 15, 2026 alipozungumza na wenyeviti na watendaji wa mitaa jijini Dar es Salaam. Akitaja sababu za kuweka mikakati ya usalama wa…

    Continue Reading

  • Profesa Muhongo ataja maeneo sita yatakayobeba uchumi wa Tanzania

    Profesa Muhongo ataja maeneo sita yatakayobeba uchumi wa Tanzania

    Dar es Salaam. Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo amependekeza Tanzania kuelekeza nguvu zake katika sekta sita za kimkakati ili kuharakisha ukuaji wa uchumi, kupunguza umasikini na kufikia lengo la kuwa uchumi wa dola trilioni moja katika miaka 25 ijayo. Profesa Muhongo ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini amebainisha hayo leo…

    Continue Reading

  • Spika ahoji TCRA, CMSA – HabariLeo

    Spika ahoji TCRA, CMSA – HabariLeo

    SPIKA wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, ameziagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) kufika mbele ya Kamati ya Bajeti ya Bunge kutoa maelezo kuhusu kutotekelezwa kwa sheria inayozitaka kampuni za mawasiliano kuuza sehemu ya hisa zao kwa umma. Maelekezo hayo yametolewa leo bungeni baada ya Spika…

    Continue Reading

  • Kortini akidaiwa kujipatia Sh80 milioni kwa njia ya udanganyifu

    Kortini akidaiwa kujipatia Sh80 milioni kwa njia ya udanganyifu

    Dar es Salaam. Mhasibu, Hassan  Ramdan (34) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na shtaka la wizi wa Sh80 milioni, mali ya kampuni ya Preeta Track Company Ltd. Mshtakiwa amefikishwa Mahakamani hapo, leo Jumatatu Juni 15, 2026 na kusomewa shtaka moja la wizi na wakili wa Serikali, Titus Aron, mbele ya Hakimu Mkazi…

    Continue Reading

  • Gereji pembezoni mwa barabara, vyuma chakavu marufuku Dar

    Gereji pembezoni mwa barabara, vyuma chakavu marufuku Dar

    Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaagiza wafanyabiashara wote wa vyuma chakavu pamoja na wamiliki wa biashara nyingine zinazotazama barabarani na kuathiri mandhari ya jiji, kuondoa vifaa hivyo na kuvipeleka ndani ya maeneo yao ya biashara. Amesema Serikali ya mkoa imetoa mwezi mmoja kwa wamiliki wa gereji na biashara…

    Continue Reading

  • Kutoka ngurumo za jenereta madukani, hadi usikivu tulivu wa AC

    Kutoka ngurumo za jenereta madukani, hadi usikivu tulivu wa AC

    Miaka mitano iliyopita, haikuwa jambo la ajabu kutembea katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusikia ngurumo za jenereta karibu kila kona. Maduka ya jumla, maghala, karakana, viwanda vidogo na hata ofisi nyingi zilikuwa na jenereta kama sehemu ya kawaida ya shughuli za kila siku. Kukatika kwa umeme kulimaanisha uzalishaji kusimama, biashara kuchelewa…

    Continue Reading

  • Chadema kujibu madai kesi ya mali Julai Mosi

    Chadema kujibu madai kesi ya mali Julai Mosi

    Dar es Salaam. Mchakato wa usikilizwaji wa kesi ya madai ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali usio sawa ndani ya  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kati ya Tanzania Bara na Zanzibar umeanza baada ya kesi hiyo kutajwa kwa mara ya kwanza leo Jumatatu, Juni 15, 2026. Kesi hiyo ya madai namba 13832 ya mwaka…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports