Category: Habari

  • NMB Foundation, Tacaids waungana kumkomboa msichana dhidi ya Ukimwi

    NMB Foundation, Tacaids waungana kumkomboa msichana dhidi ya Ukimwi

    Dodoma. Taasisi ya NMB Foundation na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids) zimesaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa Timiza Malengo unaolenga kuwafikia zaidi ya wasichana na wanawake 10,000 katika halmashauri 36 za mikoa kumi nchini. Makubaliano hayo yaliyosainiwa jijini Dodoma yanatajwa kuwa sehemu ya mkakati wa kuunganisha mapambano dhidi ya Ukimwi na uwezeshaji wa…

    Continue Reading

  • Wito wa maridhiano, amani, maadili watawala swala ya Eid Mbeya

    Wito wa maridhiano, amani, maadili watawala swala ya Eid Mbeya

    Mbeya. Waislamu na wananchi kwa ujumla nchini wameshauriwa kutumia sikukuu ya Eid El Adh’haa kurejesha umoja, mshikamano, amani na maridhiano kama alivyoelekeza Mungu katika kitabu kitukufu cha Quran. Leo Mei 27, Waislamu duniani kote wanaungana kusherehekea sikukuu hiyo ambayo ni maalumu kwa ajili ya kuchinja. Kwa Mkoa wa Mbeya, ibada hiyo imefanyika katika Uwanja wa…

    Continue Reading

  • Kampuni tatu kubwa za madini zaamriwa kulipa Sh5.6 bilioni

    Kampuni tatu kubwa za madini zaamriwa kulipa Sh5.6 bilioni

    Dar es Salaam. Mahakama Kuu, Divisheni ya Biashara, imeyaamuru makampuni matatu ya uchimbaji madini hapa Tanzania, kuilipa kampuni ya Petrolube Tanzania Limited, Sh5.62 bilioni, kama malimbikizo ya madai ya bidhaa walizohudumiwa. Makampuni hayo ambayo yameamriwa na Mahakama Kuu kulipa fedha hizo ni pamoja na kampuni ya Bulyanhulu Mining Limited, North Mara Gold Limited na Pangea…

    Continue Reading

  • NMB FOUNDATION, TACAIDS WAUNGANISHA AFYA NA UCHUMI KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI YA VVU – Habari Mpya

    NMB FOUNDATION, TACAIDS WAUNGANISHA AFYA NA UCHUMI KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI YA VVU – Habari Mpya

    Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dkt. Adam Mrisho kulia, akibadilishana hati ya makubaliano na Meneja Mkuu wa NMB Foundation, Nelson Karumuna, mara baada ya kusaini makubaliano ya utekelezaji wa pamoja wa Mradi wa TIMIZA Malengo kati ya TACAIDS na NMB Foundation, jijini Dodoma jana.  Meneja Mkuu wa NMB Foundation, Nelson Karumuna…

    Continue Reading

  • Dk Mwinyi: Tunachukua hatua kudhibiti athari bei ya nishati

    Dk Mwinyi: Tunachukua hatua kudhibiti athari bei ya nishati

    Unguja. Rais wa Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inaendelea kuchukua hatua mbalimbali kukabiliana na athari za vita vya Mashariki ya Kati, hususan kupanda kwa bei ya nishati ya mafuta kunakochangia ugumu wa maisha kwa wananchi. Mbali na hilo, Dk Mwinyi amewasihi wananchi kudumisha umoja, mshikamano na upendo, akionya kuwa machafuko…

    Continue Reading

  • Wanawake wakumbushwa kuepuka mashindano ya mavazi na mapambo

    Wanawake wakumbushwa kuepuka mashindano ya mavazi na mapambo

    Moshi. Wanawake wa Kiislamu nchini wametakiwa kuepuka kushindana kwa mavazi na mapambo yasiyo na tija, badala yake wazingatie maadili mema, hofu ya Mungu na malezi bora ya familia. Eid Al Adha ni sikukuu ya pili katika Uislamu inayosherehekewa kwa kukumbuka utayari wa Nabii Ibrahim kumtoa mwanawe Isihaka kama dhabihu kwa amri ya Mungu. Msingi wake…

    Continue Reading

  • RC Tanga ahimiza ulinzi wa watoto swala ya Eid

    RC Tanga ahimiza ulinzi wa watoto swala ya Eid

    Tanga. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk Batilda Burian amewasihi wakazi wa mkoa huo, wanaposherehekea Sikukuu ya Eid Al Adha, wahakikishe wanalinda usalama wa watoto. Amewataka pia, kulinda amani na kujenga mshikamano baina yao ili kuwe na umoja miongoni mwa wananchi wa mkoa huo na maeneo mengine. Dk Batilda ametoa kauli hiyo leo, Jumatano Mei…

    Continue Reading

  • Mahakama yatupilia mbali kesi ya uchaguzi Tunduru Kusini

    Mahakama yatupilia mbali kesi ya uchaguzi Tunduru Kusini

    Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Songea imetupilia mbali shauri la uchaguzi lililokuwa likipinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge wa Jimbo la Tunduru Kusini baada ya kubaini kuwa walalamikaji walishindwa kutimiza masharti ya kisheria kuhusu ulipaji wa dhamana ya gharama za kesi. Shauri hilo la Uchaguzi namba 29982/2025 lilifunguliwa na Mohamed Rais na Odax John…

    Continue Reading

  • Papa Leo aishukia AI, ataka iwahiwe kabla haijaleta madhara

    Papa Leo aishukia AI, ataka iwahiwe kabla haijaleta madhara

    Dar es Salaam. Wakati teknolojia ya akili unde (AI), ikizidi kushika kasi duniani, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, ameonya teknolojia hiyo akisema inapaswa kudhibitiwa na kuvuliwa uwezo wa kuleta madhara kabla haijageuka tishio kwa utu wa binadamu. Katika waraka wake wa kwanza wa mafundisho uitwao Magnifica Humanitas (Ubinadamu Mkuu), Papa amesema dunia…

    Continue Reading

  • MHANDISI JOANES AWATAKA OLCHORONYORI KUWA MABALOZI WA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI – Habari Mpya

    Na Mwandishi wetu, Simanjiro  HALMSHAURI ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, baada ya kupata mradi wa mpango wa kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi (SCALE), wataalamu mbalimbali wamekuwa wakipita maeneo tofauti yatakayonufaika na mpango huo kwa kutoa elimu kwa jamii. Wananchi wa Kijiji cha Olchoronyori Kata ya Msitu wa Tembo, wamepatiwa elimu endelevu kuhusu mbinu za…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports