Category: Habari
-

Manara ateuliwa msemaji timu za Taifa
DODOMA: WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amemteua Haji Manara kuwa msemaji wa timu zote za Taifa za Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo Mei 28, 2026, Waziri Makonda amesema Manara atafanya kazi chini ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na atakuwa akizisemea timu…
-

Hivi hapa vipaumbele Ardhi bajeti 2026/27
DODOMA; Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imepanga kutekeleza vipaumbele vinane katika mwaka wa fedha 2026/27. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Leonard Akwilapo, leo Mei 28, 2028 akiwasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2026/27. Amevitaja vipaumbele hivyo kuwa ni kuongeza kasi ya…
-

‘Lipeni kodi ya ardhi kuepuka kuepuka kufutiwa umiliki’
DODOMA; Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Leonard Akwilapo, ametoa rai kwa wamiliki wote wa ardhi nchini kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao wa msingi wa kulipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria, ikiwemo kufutiwa umiliki wa ardhi husika.Dk Akwilapo amesema kuwa kutolipa kodi ya pango la…
-

WAZIRI MKUU MGENI RASMI KONGAMANO LA WADAU WA MAZINGIRA, MIAKA 40 YA NEMC – Habari Mpya
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 28, 2026 amewasili kuwa Mgeni Rasmi katika Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Mazingira pamoja na maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) yanayofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam. Katika kongamano hilo, Dkt.…
-

Marekani kuweka kituo cha karantini Kenya kwa raia wake wanaoshukiwa kuugua Ebola
Dar es Salaam. Marekani inakusudia kujenga eneo la karantini na matibabu kwa raia wake nchini Kenya, watakaogundulika kuwa na ugonjwa wa Ebola nchini DRC Congo. Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu ya Marekani White House Mei 27, 2026, kituo hicho kinakusudiwa kuhakikisha Wamarekani wanaohitaji kuondoka haraka DRC wanapata huduma bora za afya na sehemu salama…
-

Migogoro ya ardhi 5,573 yatatuliwa
DODOMA; Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Leonard Akwilapo, amesema hadi Mei 15, 2026, jumla ya migogoro ya ardhi 5,573 ilitatuliwa. “Katika mwaka 2025/26, wizara ilipanga kushughulikia migogoro ya ardhi 3,000. Hadi tarehe 15 Mei 2026, jumla ya migogoro ya ardhi 5,573 imetatuliwa ambapo kati ya hiyo, migogoro 3,183 imetatuliwa kupitia Kliniki…
-

SAMIA HOUSING SCHEME YAFIKIA NYUMBA 628 – Habari Mpya
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo amesema Serikali kupitia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) inaendelea kutekeleza mradi wa Samia Housing Scheme wa ujenzi wa nyumba 5,000 nchi nzima unaotarajiwa kugharimu shilingi bilioni 466.Dkt. Akwilapo ameyasema hayo leo Mei 28, 2026 bungeni jijini Dodoma…
-

Wananchi 3,682 walipwa fidia Sh47 bilioni kupisha miundombinu
Unguja. Serikali ya imesema wananchi 3,682 wamelipwa fidia ya Sh47 bilioni katika maeneo 44 ya Unguja na Pemba waliopisha ujenzi wa miundombinu. Hayo yameelezwa leo Mei 28, 2026 na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dk Khalid Salum Mohamed wakati akihitimisha mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake katika Baraza la Wawakilishi Unguja…
-

Ugumu wa kukuza biashara ya kilimo kwa jembe la mkono
Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mabadiliko ya kushangaza katika maeneo mengi ya vijijini nchini, ambapo wakulima wanaacha kilimo cha mazao ya biashara na kuelekeza nguvu zao katika kuuza ardhi kwa ajili ya viwanja vya makazi. Mwelekeo huu unaibua mjadala mpana kati ya dhana ya kilimo cha kibiashara na kile kinachojulikana kama “hoe-culture” yaani…
-

WIZARA YA ARDHI YAOMBA KUIDHINISHIWA SH. BILIONI 210.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2026/2027 – Habari Mpya
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imeomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi bilioni 210.2 kwa ajili ya kutekeleza vipaumbele mbalimbali vya sekta ya ardhi katika mwaka wa fedha 2026/2027.Dkt.Akwilapo Amebainisha kuwa fedha hizo zitaelekezwa katika matumizi ya kawaida pamoja na utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayolenga kuimarisha huduma…
Latest News
About the Author
Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

Search the Archives
Access over the years of investigative journalism and breaking reports
You May Have Missed













