Category: Habari

  • Mapya yaibuka Msigwa, Selasisini kurudi Chadema

    Mapya yaibuka Msigwa, Selasisini kurudi Chadema

    Dar es Salaam. Kurejea kwa Mchungaji Peter Msigwa na Joseph Selasini ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumezua jambo, makada na wafuasi wa chama hicho, wakigawanyika kimitazamo kuhusu mapokezi ya wanasiasa hao. Baadhi ya wafuasi wanasema hawakupaswa kupokewa hasa kutokana na matendo yao, walipoondoka ndani ya Chadema, waliisema vibaya na hata kuitusi katika…

    Continue Reading

  • Msajili awaweka kiporo CCM, Chadema

    Msajili awaweka kiporo CCM, Chadema

    Dar es Salaam. Msajili wa Vyama vya Siasa amesema bado anaendelea kufanya tathmini ya kina kabla ya kutoa uamuzi kuhusu majibu yaliyowasilishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufuatia tuhuma zilizotolewa dhidi yao. CCM na Chadema vinadaiwa, kwa nyakati tofauti, kutoa kauli kupitia viongozi wao ambazo zinatafsiriwa za kuchochea…

    Continue Reading

  • Wamerudi Nyumbani | Mwananchi

    Wamerudi Nyumbani | Mwananchi

    Dar es Salaam. Kurejea kwa Mchungaji Peter Msigwa na Joseph Selasini ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumezua jambo, makada na wafuasi wa chama hicho, wakigawanyika kimitazamo kuhusu mapokezi ya wanasiasa hao. Baadhi ya wafuasi wanasema hawakupaswa kupokewa hasa kutokana na matendo yao, walipoondoka ndani ya Chadema, waliisema vibaya na hata kuitusi katika…

    Continue Reading

  • SERIKALI YASISITIZA UWAZI KATIKA BIASHARA YA KABONI – Habari Mpya

    SERIKALI YASISITIZA UWAZI KATIKA BIASHARA YA KABONI – Habari Mpya

    Na. OWM TAMISEMI, Dodoma Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( OWM – TAMISEMI) Bw. Sospeter Mtwale, amesema Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii ili kuwanufaisha wananchi na Taifa kwa ujumla.  Bw. Mtwale amesema hayo katika Kikao…

    Continue Reading

  • Mauaji ya Mchina Dar yaiibua Serikali, yatoa tamko

    Mauaji ya Mchina Dar yaiibua Serikali, yatoa tamko

    Dar eSalaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Serikali imepokea kwa masikitiko kifo cha mfanyabiashara na mmiliki wa kiwanda cha XIL LI, Bhaozang Ge (50), aliyekuwa akichangia maendeleo ya sekta ya uwekezaji na ajira nchini. Mmiliki huyo raia wa China aliuawa na watu wanaodaiwa ni walinzi binafsi wa…

    Continue Reading

  • GGML Kili Challenge kusaidia mapambano dhidi ya VVU

    GGML Kili Challenge kusaidia mapambano dhidi ya VVU

    Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikiendelea kupambana na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi(VVU) na upatikanaji wa huduma kwa wanaoishi na virusi hivyo, Taasisi ya GGML Kilimanjaro Challenge Against HIV/AIDS Trust imetangaza uzinduzi wa kampeni mpya ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi ya Ukimwi nchini. Uzinduzi huo utafanyika Mei 30, 2026 jijini Dar…

    Continue Reading

  • Serikali yaja na mkakati mazingira kufikia uchumi wa kati na juu

    Serikali yaja na mkakati mazingira kufikia uchumi wa kati na juu

    Mbeya. Serikali imesema imeweka mkakati wa kuimarisha usimamizi wa mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kama nguzo muhimu ya kufikia uchumi wa kati na juu. Akizungumza leo Mei 24, 2026  jijini Mbeya wakati wa maandalizi ya Siku ya Mazingira Duniani, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk Richard Muyungi amesema…

    Continue Reading

  • Mtendaji matatani tuhuma za kuwatoza fedha waliotaka vitambulisho vya Nida

    Mtendaji matatani tuhuma za kuwatoza fedha waliotaka vitambulisho vya Nida

    Morogoro. Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Kichangani kilichopo katika Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, Sarah Ngonyani amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) akidaiwa kuchangisha Sh2,000 kwa wananchi waliokuwa wakihitaji huduma ya uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa (Nida), huduma inayotolewa bure kwa mujibu wa utaratibu wa Serikali. Akizungumza na Mwananchi leo Mei…

    Continue Reading

  • NMB YAIMARISHA UBIA NA SMZ KUSUKUMA UKUAJI ENDELEVU ZANZIBAR – Habari Mpya

    NMB YAIMARISHA UBIA NA SMZ KUSUKUMA UKUAJI ENDELEVU ZANZIBAR – Habari Mpya

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipokea zawadi maalum kutoka kwa Meneja wa Biashara Zanzibar wa Benki ya NMB, Bi. Naima Said Shaame, wakati wa Mkutano wa Watendaji Wakuu na Wenyeviti wa Bodi wa Taasisi za Kizanzibari uliofanyika Golden Tulip Airport Hotel, Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa…

    Continue Reading

  • Sh44 bilioni kutumika ujenzi wa mradi wa umwagiliaji Bwawa la Yongoma Same

    Sh44 bilioni kutumika ujenzi wa mradi wa umwagiliaji Bwawa la Yongoma Same

    Same. Serikali imetoa Sh44.1 bilioni kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa umwagiliaji wa Bwawa la Yongoma, unaotarajiwa kuwanufaisha wakulima zaidi ya 23,000 katika tarafa za Ndungu na Gonja, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro. Hatua hiyo inalenga kuimarisha sekta ya kilimo na kuongeza uzalishaji wa mazao kupitia upatikanaji wa uhakika wa maji ya umwagiliaji kwa…

    Continue Reading

About the Author

Easy WordPress Websites Builder: Versatile Demos for Blogs, News, eCommerce and More – One-Click Import, No Coding! 1000+ Ready-made Templates for Stunning Newspaper, Magazine, Blog, and Publishing Websites.

BlockSpare — News, Magazine and Blog Addons for (Gutenberg) Block Editor

Search the Archives

Access over the years of investigative journalism and breaking reports